Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAFF, BONGO MUVI, NANI ALIYEWAROGA?

KWENU,
Uongozi wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF) na Klabu ya Bongo Movie Unity ‘Bongo Muvi’. Bila shaka ni wazima na mnaendelea na majukumu yenu ya kila siku salama kabisa. Kuna jambo nahitaji kuwashauri maana naona kama msipoliweka sawa, hali inaweza kuwa mbaya na mkaibomoa sanaa yenu kwa mikono yenu wenyewe. Kuna kipindi fulani huko nyuma niliwahi kusikia mgogoro wa chinichini kati yenu. Hoja hasa za tofauti...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Bongo Muvi, Taff wamaliza tofauti zao

MwakifwambaSimon Mwakifwamba.

HAMIDA HASSAN

BIFU kubwa lililokuwepo kati ya wasanii wa fi lamu wanaounda Bongo Movie na wale wa Shirikisho la Filamu Tanzania ‘Taffff ’ limeyeyuka baada ya viongozi wa pande zote mbili kukutana na kuona kuna ulazima wa kuwa kitu kimoja.

Taarifa za pande hizo mbili kumaliza tofauti zao zilitua kwenye dawati la gazeti hili na kuthibitishwa na Rais wa Taff , Simon Mwakifwamba ambaye alisema wameona  aufanyie kazi msemo usemao Umoja ni Nguvu wakiamini wakiwa wamoja wanaweza...

 

11 years ago

GPL

MIKE AIKACHA TAFF, AJIUNGA BONGO MOVIE

Na Gladness Mallya MUIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Michael Sangu ‘Mike’ amejiuzulu ujumbe wa Bodi ya Shirikisho la Filamu (TAFF) na kujiunga rasmi na Klabu ya Bongo Movie. Muigizaji wa sinema za Kibongo, Michael Sangu ‘Mike’. Akizungumza na paparazi wetu, Mike alisema amefikiri kwa kina na kuona bora ajiengue katika Taff na badala yake aelekeze nguvu zake katika Klabu ya Bongo Movie ambayo anaamini kwa...

 

10 years ago

GPL

BONGO MUVI WACHAFUKA!

Na: Gladness Mallya na Imelda Mtema
JAMBO limezua jambo! Baada ya hivi karibuni wasanii wa Bongo Muvi (Movie) kufanya dua kwa ajili ya wenzao waliofariki dunia, baadhi ya ndugu wa marehemu wamecharuka na kudai kuwa waandaaji wa kisomo hicho walifanya kwa manufaa yao binafsi. Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ . Kwa mujibu wa chanzo makini, baadhi ya ndugu wa marehemu wanalalamika kuwa...

 

11 years ago

GPL

BONGO MUVI KIMENUKA

Na Hamida Hassan
BONGO Muvi kimenuka! Viongozi wapya wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ (mwenyekiti) na William Mtitu (katibu), wametofautiana kauli na kuanza kurushiana maneno mazito wakitaka kukunjana mbele ya wajumbe wa klabu hiyo. Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’. Chanzo makini kilitonya kuwa, kilichosababisha kuibuka kwa ugomvi huo ni baada ya...

 

11 years ago

GPL

BONGO MUVI KWAWAKA MOTO

Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan PENYE wengi pana mengi! Lile kundi la mastaa waigizaji wa Kibongo, Bongo Movie Unity, linadaiwa kuparanganyika baada ya kuwaka moto kufuatia mwenyekiti wao, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ kudaiwa kuwa na upendeleo kwa baadhi ya wanachama wa jinsia ya kike. Mmoja wa waasisi wa Bongo Muvi Jimmy mafufu (kushoto), Mtitu na baadhi ya wadau wa Bongo Muvi pichani. Habari za uhakika...

 

11 years ago

GPL

MTANDAO WA NGONO BONGO MUVI

Na Waandishi Wetu
NDANI ya klabu ya mastaa wa sinema za Kibongo, Bongo Movie Unity (au Bongo Muvi), kumetibuka upya baada ya mwenyekiti na kiongozi mpya wa kundi hilo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ kuanika makubwa na mazito juu ya uchafu, ufuska na mtandao nzima wa ‘kushea’ wapenzi miongoni mwao, aya zinazofuata zitakupa mwanga. Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ Akiwa amezungukwa na jopo...

 

10 years ago

GPL

MASTAA WAJIENGUA BONGO MUVI

Stori: Hamida Hassan na Imelda Mtema
HALI bado tete! Siku chache baada ya Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ kujiuzulu, upepo mbaya unaendelea kuitafuna klabu hiyo ambapo sasa wasanii wengine watano wamejiengua, Risasi Mchanganyiko linakupa mchapo kamili. Msanii wa filamu Bongo, Halima Yahya ‘Davina’. Kutokana na wasanii hao kujitoa, klabu hiyo inaonekana...

 

11 years ago

GPL

MISS BONGO MUVI KUSAKWA

Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steve Nyerere. Stori: Hamida Hassan
MWENYEKITI wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Nyerere’ amesema watafanya shindano la kumsaka mlimbwende wa kundi lao, siku ya sherehe ya kuadhimisha miaka mitatu ya klabu hiyo ambayo itafanyika Machi 28, mwaka huu. Akizungumza na Stori Mix, Nyerere alisema, wana imani ndani ya kundi lao kuna walimbwende wengi hivyo wametoa nafasi ya kuwashindanisha...

 

5 years ago

Bongo Movies

Duma Kuirudisha Bongo Muvi

Msanii wa filamu bongo, Daudi Michael maarufu kama ‘Duma’ amesema lengo la yeye kumuita nchini msanii kutoka nchi ya Australia John K ni kutaka kuirudisha hadhi ya filamu ambayo imepotea kwa kipindi kirefu katika macho ya watu.

Duma amebainisha hayo wakati alipokuwa anazungumza kwenye kipindi cha eNewz kutoka EATV muda mchache baada ya kumpokea mgeni wake huyo kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Jijini Dar es Salaam.

“Watanzania wanapaswa watupe ushirikiano sana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani