Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bao la mkongwe Lampard laua mchezaji wa Simba, Uganda

Mchezaji wa Simba FC inayoshiriki Ligi Kuu Uganda, Fahad Musana amefariki dunia ghafla wakati akiwa kwenye banda la video kushuhudia mechi ya Ligi Kuu England kati ya Manchester City na Chelsea juzi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Mchezaji mkongwe Mario Coluna afariki

Aliyekuwa nahodha wa timu ya soka ya Benfica kutoka Msumbiji Mario Coluna amefariki Msumbuji

 

10 years ago

BBCSwahili

Mchezaji afariki akisherehekea bao

Mchezaji wa soka nchini India, Peter Biaksangzuala amefariki kutokana na majeraha aliyoyapata baada ya kuiga pindu akisherehekea bao

 

10 years ago

BBCSwahili

Mchezaji kugharamia hasara ya bao lake

Mchezaji kandanda ameahidi kulipia hasara iliyosababishwa na shabiki wake alipofunga bao.

 

9 years ago

Dewji Blog

Shabiki mkongwe wa Simba amuomba MO kuendeleza mpango wake wa kuinunua Simba

IMG_1615

Pichani ni Mohammed Dewji alipokuwa mgeni rasmi wa tamasha la Simba Day, akisalimiana na mmoja wa wadau kwenye jukwaa kuu. Kulia ni Nyange Kaburu.  (Picha na Maktaba yetu).

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Mmoja wa mashabiki wa wakongwe wa klabu ya Simba, Stanbul Mponda amemuomba Bilionea namba moja nchini, Mohammed Dewji ‘MO’ kuendeleza mipango yake ya kuinunua Simba ili aweze kufanya uwekezaji kama alivyokuwa amepanga awali.

Mponda ameyasema hayo ikiwa ni siku chache zimepita za tarehe ya mwisho...

 

10 years ago

Bongo5

Mchezaji afariki akisherehekea bao kwa kuruka sarakasi

Mchezaji wa soka nchini India, Peter Biaksangzuala amefariki kutokana na majeraha aliyoyapata baada ya kuanguka vibaya uwanjani akisherehekea goli alilofunga. Mchezaji huyo alikuwa na umri wa miaka 23 na alijeruhi uti wake wa mgongo baada ya kuanguka uwanjani akisherehekea bao lake la kusawazisha kw atimu yake Bethlehem Vengthlang FC dhidi ya Chanmari West FC. Biaksangzuala […]

 

11 years ago

Michuzi

Mtanange wa Simba na JKT Ruvu Uwanja wa Taifa hivi sasa: Simba washalala kwa bao 2 - 0

Mchezaji wa Timu ya JKT Ruvu,Emmanuel Switta akimpeleka markiti Golikipa wa timu ya Simba, Yaw Berko kwa mkwaju mkali wa Penati na kuiandikia timu yake bao la pili katika Mchezo wa Ligi kuu Tanzania bara,unaoendelea hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.hadi mapumziko Simba wamelala kwa Bao 2 - 0.kipindi cha pili kimeanza hivi punde na tutaendelea kujuzana kinachojili.
Wachezaji wa timu ya JKT Ruvu wakishangilia mara baada ya kuitandika Simba bao la pili.

 

10 years ago

Michuzi

Mchezo wa Kirafiki Kati ya Simba na Polisi Usiku Huu Uwanja wa Amaan Simba Ikiwa mbele kwa bao 2--0

Kamishna wa Polisi Zanzibar Kamishna Hamdan akisalimiana na wachezaji wa Timu ya Polisi Zanzibar kabla ya kuaza kwa mchezo wao wa kirafiki uliofanyika uwanja wa amaan.Kamishna wa Polisi Zanzibar Kamishna Hamdan akisalimiana na wachezaji wa Timu ya Polisi Zanzibar kabla ya kuaza kwa mchezo wao wa kirafiki uliofanyika uwanja wa amaan.
Kikosi cha timu ya Polisi Zanzibar kilichokubali kipigo cha bao 2--0 kutoka kwa timu ya Simba wakati wa mchezo wa kirafiki uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.

 

10 years ago

Mwananchi

Azam yazipiga bao Simba, Yanga

Klabu ya Azam FC ndiyo inayoongoza kwa kulipa posho kubwa wachezaji wake kati ya timu zote 14 zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara.

 

10 years ago

Vijimambo

BAO LA TAMBWE LA ZUA TAFRANI SIMBA HUKO

Mshambuliaji raia wa Burundi, Amissi Tambwe.
Na Wilbert MolandiBAO la dakika ya saba lililofungwa na mshambuliaji raia wa Burundi, Amissi Tambwe, limezua tafrani kwa mashabiki na viongozi wa klabu ya Simba.Mrundi huyo alifunga bao hilo katika mchezo wa nane wa Ligi Kuu Bara, dhidi ya Azam FC, uliomalizika kwa sare ya mabao 2-2, uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ukiwa ni mchezo wake wa kwanza kuitumikia timu hiyo.
Tafrani kubwa iliibuka uwanjani hapo, mara baada ya Tambwe...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani