Mchezaji afariki akisherehekea bao kwa kuruka sarakasi
Mchezaji wa soka nchini India, Peter Biaksangzuala amefariki kutokana na majeraha aliyoyapata baada ya kuanguka vibaya uwanjani akisherehekea goli alilofunga. Mchezaji huyo alikuwa na umri wa miaka 23 na alijeruhi uti wake wa mgongo baada ya kuanguka uwanjani akisherehekea bao lake la kusawazisha kw atimu yake Bethlehem Vengthlang FC dhidi ya Chanmari West FC. Biaksangzuala […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili20 Oct
Mchezaji afariki akisherehekea bao
Mchezaji wa soka nchini India, Peter Biaksangzuala amefariki kutokana na majeraha aliyoyapata baada ya kuiga pindu akisherehekea bao
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MCHEZAJI WA KMKM NA ZANZIBAR HEROES ALI SULEIMAN AFARIKI DUNIA KWA KUANGUKIWA NA MTI
MCHEZAJI wa KMKM na timu ya taifa ya Zanzibar ‘Zanzibar Heroes’,  Ali Suleiman Abdi amefariki dunia baada ya kuangukiwa na mti wakati wa mvua kubwa iliyoambatanana na upepo mkali iliyonyesha jana mjini humo!
10 years ago
BBCSwahili11 May
Mchezaji kugharamia hasara ya bao lake
Mchezaji kandanda ameahidi kulipia hasara iliyosababishwa na shabiki wake alipofunga bao.
10 years ago
Mwananchi23 Sep
Bao la mkongwe Lampard laua mchezaji wa Simba, Uganda
Mchezaji wa Simba FC inayoshiriki Ligi Kuu Uganda, Fahad Musana amefariki dunia ghafla wakati akiwa kwenye banda la video kushuhudia mechi ya Ligi Kuu England kati ya Manchester City na Chelsea juzi.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/CcVG7ou8sBXa1WNhF0jHh-1Az4wRdW9Fi5xLXSsYpNgtc3R6TgxbZdyhgB4bVWZjgo4SWfgAIg6nD5MBTeSBB0ckguJ79zKs/BREAKINGNEWS.gif)
SHABIKI AFARIKI AKISHANGILIA BAO LA YANGA TAIFA
SHABIKI wa Timu ya Yanga SC, Deodatus Isaya Lusinde, mkazi wa Kipunguni A, amefariki dunia leo baada ya kuanguka ghafla wakati akishangilia bao la Yanga lililofungwa na Didier Kavumbagu katika dakika ya 14 kipindi cha kwanza. Marehemu amepoteza maisha akiwa chumba cha matibabu mara baada ya kuwekewa mashine ya oksijeni na taarifa kuhusu kifo cha shabiki huyo zimethibitishwa na mmoja wa madaktari aliyemhudumia akiwa uwanjani ...
11 years ago
BBCSwahili05 May
Baltacha: Mchezaji wa Uingereza afariki
Mchezaji wa zamani wa tennis nambari moja wa Uingereza Elena Baltacha amefariki dunia kwa ugonjwa wa saratani ya ini.
10 years ago
BBCSwahili24 Aug
Mchezaji afariki baada ya kupigwa
Mchezaji wa soka raia wa Cameroon amefariki baada ya kupigwa katika kichwa nchini Algeria.
11 years ago
BBCSwahili22 Apr
Mchezaji Gabon afariki uwanjani
Mchezaji wa klabu ya Ac Bongoville,Sylvain Azougoui amekufa baada ya kupigwa teke kwa kichwa wakati wa mechi ya ligi kuu nchini Gabon.
10 years ago
BBCSwahili22 Jun
Mchezaji wa raga afariki Australia
Mchezaji wa raga nchini Australia,aliyepata majeraha katika mchuano wa kombe la Queensland nchini humo, amefariki hospitalini.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania