Barabara ya Kongowe — Mji Mwema — Kigamboni tayari inapitika
Matengenezo yakiendelea katika Daraja la Mpiji.
Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akifuatilia matengenezo katika Daraja la Mpiji.
Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) kwa kushirikiana na Jeshi la Wananchi la Tanzania wamefanikisha kuifungua barabara ya Kongowe kuelekea Mjimwema hadi Kigamboni ambayo ilijifunga kutokana na kukatika kwa kalvati katika mto Mtokozi . Kalvati hilo lilibomolewa na mvua kubwa zilizonyesha kwa siku kadhaa hapa jijini.
Hapo juzi siku ya Jumanne,...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-DVdfg42RkUE/U07w-DTKeRI/AAAAAAAFbYk/XoNPLMnGaS0/s72-c/Picha+Na.+1.jpg)
BARABARA YA KONGOWE — MJI MWEMA — KIGAMBONI TAYARI IMEANZA KUPITIKA
Hapo jana siku ya Jumanne, Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli pia alishirikiana na watendaji kwa siku nzima akiwa eneo la Mpiji kuhakikisha barabara ya Dar es...
10 years ago
MichuziMbunge wa jimbo la Kigamboni Dr. Faustine Ndugulile Afungua Kiota kipya Mji Mwema Kigamboni
10 years ago
VijimamboMbunge wa jimbo la Kigamboni Dr. Faustine Ndugulile Afungua kipya Mji Mwema Kigamboni cha Fursat Dhahabiyya.
11 years ago
GPLTAASISI YA TWA YASHEHEREKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI NA KITUO CHA CHAWAWAKI MJI MWEMA KIGAMBONI
10 years ago
MichuziTBL YATOA MSAADA WA SH. MIL 45 ZA UCHIMBAJI KISIMA CHA MAJI ZAHANATI YA MJI MWEMA KIGAMBONI
10 years ago
Habarileo02 Jun
Mgogoro wa Mji Mpya Kigamboni waisha
HATIMAYE mgogoro wa ardhi uliokuwepo kwa muda mrefu baina ya serikali na wakazi wa Kigamboni, umefikia tamati baada ya serikali kukubaliana na wananchi kuhusu uendelezaji wa ardhi kupitia mpango wa Mji Mpya.
10 years ago
Mtanzania30 Mar
Lukuvi asimamisha ujenzi mji mpya Kigamboni
Na Grace Shitundu, Dar es Salaam
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi, amesitisha kuanza kwa mradi wa mji mpya Kigamboni hadi pale mikataba itakapopitiwa upya.
Pamoja na hali hiyo Lukuvi, amewataka wananchi wa maeneo hayo kutouza ardhi yao kwa sasa.
Ahadi ya hiyo aliitoa jana katika mkutano na wananchi wa Kigamboni baada ya kutokea kutoelewa baina ya aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Profesa Anna Tibaijuka na wananchi kuhusu ujenzi wa mji mpya wa Kigamboni.
Kutokana na hali...
11 years ago
Habarileo27 Mar
CCM kujadili sakata la Mji Mpya Kigamboni
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amewahakikishia wakazi wa Kigamboni, atawasilisha malalamiko yao dhidi ya mradi wa ujenzi wa Mji Mpya wa Kigamboni katika vikao ya juu vya chama hicho ili hatua za haraka zichukuliwe.
10 years ago
Mtanzania02 Jun
Lukuvi amaliza mgogoro mji mpya Kigamboni
Na Jonas Mushi, Dar es Salaam
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, ametegua kitendawili kuhusu hatima ya madai ya wananchi katika mradi wa ujenzi wa mji mpya wa Kigamboni.
Lukuvi amesema kutokana na hali hiyo kuanzia sasa kila mwananchi mwenye kiwanja au nyumba yake atalazimika kuuza kiwanja chake kwa bei anayoitaka au kujenga nyumba kwa mujibu wa ramani ya mji mpya
Akizungumza na wananchi hao juzi katika mkutano uliofanyika kwenye Uwanja wa Chuo cha Kumbukumbu ya...