Baraza dogo la Rais John Magufuli
Ahadi ya Rais John Magufuli kuwa ataunda Baraza dogo la Mawaziri imejenga shauku ya Watanzania kufahamu kiwango cha ukubwa au udogo wa baraza hilo ikilinganishwa na mabaraza yaliyoundwa na watangulizi wake baada ya kuapishwa, tangu Tanzania ipate Uhuru mwaka 1961.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo10 Dec
BREAKING NEWS: Rais Magufuli atangaza baraza dogo la mawaziri
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli hivi punde ametangaza baraza lake la mawaziri, amesema wizara nyingi wameunganisha na atakuwa na wizara 18, na watakuwa na mawaziri 19 tu, na baadhi ya wizara zitakuwa na manaibu waziri huku zingine hazitakuwa na manaibu waziri.
9 years ago
Mwananchi11 Dec
Baraza dogo la Dk Magufuli laokoa Sh23 bilioni
10 years ago
VijimamboWAZIRI WA UJENZI DKT. JOHN MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO WA TANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA TANROADS MJINI MOROGORO
9 years ago
MichuziRAIS KIKWETE ATOA SALAMU ZA PONGEZI KWA RAIS MTEULE WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANANIA,JOHN POMBE MAGUFULI
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARISalamu za pongezi kwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli zimeanza kumiminika nchini, za kwanza zikiwa zimetumwa na Rais wa Rwanda, Mheshimiwa Paul Kagame na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kiarabu ya Saharawi Mheshimiwa Mohammed Abdelaziz.
Katika salamu zake kwa Rais Mteule Magufuli, Rais wa Rwanda Mheshimiwa Kagame amesema: “Kufuatia...
9 years ago
MichuziRais wa Ireland Mhe. Michael D. Higgins ampongeza Dkt John Pombe Magufuli kwa kuchaguliwa kuwa Rais
SALAMU ZA PONGEZI
Rais wa Ireland, Mheshimiwa Michael D. Higgins amemtumia Salamu za Pongezi Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kwa kuchaguliwa kwake kuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Katika Salamu zake hizo, Rais Higgins amesema Ireland na Tanzania zimekuwa na uhusiano mzuri na wa kirafiki kwa miaka mingi, hivyo ana matarajio kwamba katika kipindi cha uongozi wa Rais Magufuli, uhusiano huo utaimarishwa zaidi.
“Ireland na Tanzania zimekuwa na mipango ya maendeleo na...
9 years ago
MichuziRAIS MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA SPIKA WA BARAZA LA SENETI NA MJUMBE MAALUM WA RAIS WA JAMHURI YA BURUNDI,PIERRE NKURUNZINZA
9 years ago
VijimamboRAIS KIKWETE AMPONGEZA RAIS MTEULE DKT JOHN POMBE MAGUFULI, MAMA ANNA MGHWIRA WA ACT WAZALENZO ATUMA SALAMU ZA PONGEZI
9 years ago
Dewji Blog30 Oct
Rais Kikwete ampongeza Rais Mteule Dkt. John Pombe Magufuli, Mama Anna Mghwira wa ACT Wazalendo atuma salamu za pongezi
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza kwa furaha mshindi wa kinyang’anyiro cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli mara baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva kutangaza kutangaza rasmi matokeo ya uchaguzi mkuu Ikulu jijini Dar es salaam ambako walifuatilia kwa pamoja matangazo hayo ya moja kwa moja kupitia vituo vya televisheni jana jioni Oktoba 29, 2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsomea sms za pongezi kutoka kila...
9 years ago
Dewji Blog29 Oct
Rais ni Dkt. John Pombe Magufuli
Ni muda mfupi uliopita baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kumtangaza rasmi Mgombea Urais wa chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt.John Pombe Magufuli aliyepata 58.46% dhidi ya Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa 39.97%.
Modewji blog inatoa pongezi kwa Mgombea mweza Mama Samia Suluhu Hassan kwa ushindi huo.
Happy Birthday to you…. Mheshimiwa Rais uwe na siku njema ikiwa leo pia unasheherekea siku...