Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baraza dogo la Dk Magufuli laokoa Sh23 bilioni

Uamuzi wa Rais John Magufuli kupunguza idadi ya mawaziri kutoka 55 waliokuwepo katika Serikali ya Awamu ya Nne hadi 34 aliowateua jana, ikiwa ni punguzo la mawaziri 21, kutaifanya Serikali yake kuokoa Sh22.9bilioni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Baraza dogo la Rais John Magufuli

Ahadi ya Rais John Magufuli kuwa ataunda Baraza dogo la Mawaziri imejenga shauku ya Watanzania kufahamu kiwango cha ukubwa au udogo wa baraza hilo ikilinganishwa na mabaraza yaliyoundwa na watangulizi wake baada ya kuapishwa, tangu Tanzania ipate Uhuru mwaka 1961.

 

9 years ago

Habarileo

BREAKING NEWS: Rais Magufuli atangaza baraza dogo la mawaziri

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli hivi punde ametangaza baraza lake la mawaziri, amesema wizara nyingi wameunganisha na atakuwa na wizara 18, na watakuwa na mawaziri 19 tu, na baadhi ya wizara zitakuwa na manaibu waziri huku zingine hazitakuwa na manaibu waziri.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Baraza dogo lingetosha kuleta mabadiliko chanya

HIVI karibuni Rais Jakaya Kikwete alitangaza mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri. Katika mabadiliko hayo rais aliziba nafasi za mawaziri watano ambapo wanne walitokomezwa na Operesheni Tokomeza Ujangili. Mawaziri hao...

 

5 years ago

Michuzi

Kailima Afungua Kikao Cha Baraza Dogo la Wafanyakazi Jeshi la Zimamoto na Uokoaji jijini Dodoma


Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani kailima (Pichani), akifafanua jambo kwa Viongozi na Wajumbe (hawapo pichani) walioshiriki Kikao Cha Baraza Dogo la Wafanyakazi Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, kilichofanyika katika Ukumbi wa Chuo Cha Mipango, jijini Dodoma leo. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani kailima...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI AZINDUA BARAZA DOGO LA WAFANYAKAZI JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI MJINI BAGAMOYO LEO

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil (kushoto) akizungumza na wajumbe wa Baraza Dogo la Wafanyakazi la Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kabla ya kulizindua Baraza hilo katika Hoteli ya Livingstone mjini Bagamoyo leo. Katika hotuba yake, Abdulwakil aliwataka viongozi wakuu wa jeshi hilo kushirikiana kikamilifu na watumishi wote ili kuleta mabadiliko chanya ndani ya jeshi hilo. Wapili kulia ni Kamishna Jenerali wa Jeshi hilo, Pius Nyambacha, Kulia ni...

 

11 years ago

GPL

DOGO LILA NA DOGO HILAL WAKIFANYA YAO NDANI YA DAR LIVE

Dogo Lila na Dogo Hilal wakifanya makamuzi ya nguvu ndani ya Dar Live.

 

11 years ago

Bongo5

Lady Jaydee ajibu habari ya gazeti la udaku kuwa na uhusiano na ‘Dogo Dogo’

Lady Jaydee ameamua kujibu habari iliyoandikwa kwenye gazeti la udaku la Risasi kuhusu kuwa na uhusiano na aliyewahi kuwa mtuma salamu maarufu kwenye redio, Meddy Ahmed aka ‘Mtoto wa Vitoto’. Kwenye habari hiyo, Risasi wanadai kuwa Jaydee ambaye anadaiwa kuachana na mume wake Gadner G Habash ameonekana mara kadhaa na Mtoto wa Vitoto na kwamba […]

 

5 years ago

Michuzi

BARAZA LA MADIWANI NYASA LAPITISHA BAJETI YA SH.BILIONI 24.5 MPANGO WA FEDHA 2020/21


Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa mh. Altho Komba akizungumza katika kikao cha  Baraza la madiwani la Bajeti lililofanyika katika Ukumbi wa Kepten John Komba Mbamba-bay wilayani hapa,kushoto na Kaimu Mkurugenzi wa Wilaya ya Nyasa Bw Bernad Semwaiko……………………………………………………………………………………….Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa  Mkoani Ruvuma limepitisha Mpango na Bajeti ya TSh.bilioni 24.5 kwa ajili kutekeleza shughuli mbalimbali za Halmashauri zilizopangwa kufanyika...

 

10 years ago

Mwananchi

Bajeti ya Sh23 trilioni yawakumbuka wafanyakazi

Dar es Salaam. Waziri wa Fedha, Saada Mkuya leo atawasilisha mwelekeo wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2015/16 inayotarajiwa kuwa na ongezeko la kati ya asilimia 15 na 16, akidokeza kuwa “imewakumbuka wafanyakazi na huduma za jamii” na wafanyakazi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani