Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bajeti ya Sh23 trilioni yawakumbuka wafanyakazi

Dar es Salaam. Waziri wa Fedha, Saada Mkuya leo atawasilisha mwelekeo wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2015/16 inayotarajiwa kuwa na ongezeko la kati ya asilimia 15 na 16, akidokeza kuwa “imewakumbuka wafanyakazi na huduma za jamii” na wafanyakazi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Bajeti ya mwaka 2015/16 ni ya kula. Ni Shilingi trilioni 22.5, Za maendeleo trilioni 5 tu.

Waziri wa Fedha, Saada Salum Mkuya
Serikali imetangaza sura ya bajeti ya mwaka 2015/16, ikiwa imejielekeza zaidi katika matumizi ya kawaida ya safari, posho za viongozi na matumizi mengine kuliko miradi ya maendeleo inayogusa maisha ya Watanzani moja kwa moja.

Bajeti ya mwaka ujao inatarajiwa kuwa Sh. Trilioni 22.480, kwa matumizi ya kawaida na maendeleo.

Makadirio hayo ni ongezeko la asilimia 13.2 ya bajeti ya mwaka 2014/15 ambayo ilikuwa ni Sh. Trilioni 19.853.

Waziri wa Fedha, Saada Salum...

 

11 years ago

Habarileo

Bajeti Shilingi trilioni 19.7

Waziri wa Fedha, Saada Salum Mkuya .SERIKALI imepanga kutumia Sh trilioni 19. 7 katika mwaka wa fedha 2014/2015, kwa ajili ya matumizi ya kawaida na maendeleo, tofauti na Sh trilioni 18.2 ya mwaka huu wa fedha unaoishia Juni 30.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MPANGO AWASILISHA BAJETI YA SH.TRILIONI 34.88

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akiwa amenyanyua mkoba wa Bajeti Kuu ya Serikali, ya mwaka 2020/2021 Bungeni jijini Dodoma.
*Ni bajeti yenye kujali Watanzania wanyonge, yatoa mwanga wa maendeleo ya nchi yetu.Na Said Mwishehe,Michuzi TV.
NI bajeti ya kumjali Mtanzania na kuleta maendeleo kwa Watanzania wote.Hivyo ndivyo unavyoweza kuieleza Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2020/2021 yenye jumla ya Sh.trilioni 34.88 .
Bajeti hiyo ambayo imewasilishwa leo...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MPANGO AWASILISHA BAJETI YA SH.TRILIONI 34.44

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akiwa amenyanyua mkoba wa Bajeti Kuu ya Serikali, ya mwaka 2020/2021 Bungeni jijini Dodoma.
 *Ni bajeti yenye kujali Watanzania wanyonge, yatoa mwanga wa maendeleo ya nchi yetu. 
Na Said Mwishehe,Michuzi TV.
NI bajeti ya kumjali Mtanzania na kuleta maendeleo kwa Watanzania wote.Hivyo ndivyo unavyoweza kuieleza Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2020/2021 yenye jumla ya Sh.trilioni 34.88 .
Bajeti hiyo ambayo imewasilishwa leo Juni...

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri wa Fedha: Bajeti ya mwaka 2014/2015 ni Sh19.6 trilioni

Serikali imetoa mwelekeo wa Bajeti ya mwaka wa fedha wa 2014/15 kuwa ni Sh19.6 trilioni, ikilinganishwa na Sh18.2 za Bajeti iliyopita.

 

5 years ago

Michuzi

UTUMISHI YAFANYA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI KUJADILI TAARIFA YA MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA BAJETI WA MWAKA 2019/20 NA MPANGO WA BAJETI KWA MWAKA 2020/21


Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro (katikati) akiongoza kikao cha Baraza la Wafanyakazi kujadili taarifa ya Mapitio ya Utekelezaji wa Mpango wa Bajeti wa Mwaka 2019/20 na Mpango wa Bajeti kwa Mwaka 2020/21 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Kituo cha Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa jijini Dodoma.
Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakimsikiliza Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais,...

 

9 years ago

Mwananchi

Baraza dogo la Dk Magufuli laokoa Sh23 bilioni

Uamuzi wa Rais John Magufuli kupunguza idadi ya mawaziri kutoka 55 waliokuwepo katika Serikali ya Awamu ya Nne hadi 34 aliowateua jana, ikiwa ni punguzo la mawaziri 21, kutaifanya Serikali yake kuokoa Sh22.9bilioni.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Vodacom yawakumbuka wajawazito

WAJAWAZITO 225,000 wanaotumia mtandao kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom wamejiunga na huduma ya ujumbe mfupi wa uzazi salama chini ya mpango wa Healthy Pregnancy, Healthy Baby (HPHB). Mpango...

 

11 years ago

Mwananchi

BAJETI 2014/2015: Bajeti yawagawa wabunge, CCM waipongeza, upinzani waiponda

>Bajeti ya Serikali iliyowasilishwa jana bungeni na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum imewagawa wabunge ambao baadhi wameipongeza, huku wengine wakiiponda.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani