Bajeti Shilingi trilioni 19.7
SERIKALI imepanga kutumia Sh trilioni 19. 7 katika mwaka wa fedha 2014/2015, kwa ajili ya matumizi ya kawaida na maendeleo, tofauti na Sh trilioni 18.2 ya mwaka huu wa fedha unaoishia Juni 30.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo30 Apr
Bajeti ya mwaka 2015/16 ni ya kula. Ni Shilingi trilioni 22.5, Za maendeleo trilioni 5 tu.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Mkuya-30April2015(1).jpg)
Serikali imetangaza sura ya bajeti ya mwaka 2015/16, ikiwa imejielekeza zaidi katika matumizi ya kawaida ya safari, posho za viongozi na matumizi mengine kuliko miradi ya maendeleo inayogusa maisha ya Watanzani moja kwa moja.
Bajeti ya mwaka ujao inatarajiwa kuwa Sh. Trilioni 22.480, kwa matumizi ya kawaida na maendeleo.
Makadirio hayo ni ongezeko la asilimia 13.2 ya bajeti ya mwaka 2014/15 ambayo ilikuwa ni Sh. Trilioni 19.853.
Waziri wa Fedha, Saada Salum...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-MYxE5erONNI/VO8kY7uIGhI/AAAAAAAHGC0/-LvtUnxdJKg/s72-c/unnamedM.jpg)
PATO LA TAIFA LAONGEZEKA, LAFIKIA SHILINGI TRILIONI 21.2.
![](http://2.bp.blogspot.com/-MYxE5erONNI/VO8kY7uIGhI/AAAAAAAHGC0/-LvtUnxdJKg/s1600/unnamedM.jpg)
Aron Msigwa –MAELEZO.
Pato la Taifa (GDP) katika kipindi cha robo ya tatu ya mwaka 2014 limeongezeka hadi kufikia...
5 years ago
MichuziWAZIRI MPANGO AWASILISHA BAJETI YA SH.TRILIONI 34.88
*Ni bajeti yenye kujali Watanzania wanyonge, yatoa mwanga wa maendeleo ya nchi yetu.Na Said Mwishehe,Michuzi TV.
NI bajeti ya kumjali Mtanzania na kuleta maendeleo kwa Watanzania wote.Hivyo ndivyo unavyoweza kuieleza Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2020/2021 yenye jumla ya Sh.trilioni 34.88 .
Bajeti hiyo ambayo imewasilishwa leo...
10 years ago
Mwananchi29 Apr
Bajeti ya Sh23 trilioni yawakumbuka wafanyakazi
Dar es Salaam. Waziri wa Fedha, Saada Mkuya leo atawasilisha mwelekeo wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2015/16 inayotarajiwa kuwa na ongezeko la kati ya asilimia 15 na 16, akidokeza kuwa “imewakumbuka wafanyakazi na huduma za jamii†na wafanyakazi.
5 years ago
MichuziWAZIRI MPANGO AWASILISHA BAJETI YA SH.TRILIONI 34.44
*Ni bajeti yenye kujali Watanzania wanyonge, yatoa mwanga wa maendeleo ya nchi yetu.
Na Said Mwishehe,Michuzi TV.
NI bajeti ya kumjali Mtanzania na kuleta maendeleo kwa Watanzania wote.Hivyo ndivyo unavyoweza kuieleza Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2020/2021 yenye jumla ya Sh.trilioni 34.88 .
Bajeti hiyo ambayo imewasilishwa leo Juni...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8KNI8B2SjT1UngaSaklNUUPvR2ZCiyHH3zjfAeWFEyyYWiIsg5*xeczjkC53egh1DB6arZ-tS8OpVYQbPerz5Vfk*vbNBRgM/NBS2.jpg)
PATO LA TAIFA LAONGEZEKA, LAFIKIA SHILINGI TRILIONI 21.2.
Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Bw. Morrice Oyuke (Kulia)akitoa taarifa ya Pato la Taifa kwa kipindi cha robo tatu ya mwaka 2014 leo jiji Dar es salaam. Pato hilo kwa mwaka 2014 limefikia kiasi shilingi trilioni 21.2 kutoka trilioni 19.8 za mwaka 2013, Kushoto ni Mtakwimu Mkuu wa Ofisi hiyo Bw. Gregory Milinga, Pato la Taifa (GDP) katika kipindi cha robo ya tatu ya mwaka 2014...
10 years ago
VijimamboPATO LA TAIFA ROBO YA KWANZA YA MWAKA 2015 LAFIKIA SHILINGI TRILIONI 21.9
11 years ago
Mwananchi01 May
Waziri wa Fedha: Bajeti ya mwaka 2014/2015 ni Sh19.6 trilioni
Serikali imetoa mwelekeo wa Bajeti ya mwaka wa fedha wa 2014/15 kuwa ni Sh19.6 trilioni, ikilinganishwa na Sh18.2 za Bajeti iliyopita.
5 years ago
MichuziBenki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB yaipatia Tanzania Mkopo wa Masharti Nafuu kiasi cha shilingi trilioni 1.14
Serikali ya Tanzania na Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB), zimesaini mikataba mitano ya mkopo wa masharti nafuu ya Dola za Marekani milioni 495.59 ambayo ni sawa na TZS trilioni 1.14 zitakazowezesha kutekeleza ujenzi wa miradi ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Msalato Jijini Dodoma, Dola za Marekani milioni 271.63, ujenzi wa barabara ya Bagamoyo-Holoholo-Lungalunga–Malindi km.120.8 kwa gharama ya Dola za Marekani milioni 168.76 na Dola 55.2 kwa ajili ya Programu ya utawala bora na kuendeleza...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania
Magazeti ya Leo
Zinazosomwa Sasa
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10