Baraza dogo lingetosha kuleta mabadiliko chanya
HIVI karibuni Rais Jakaya Kikwete alitangaza mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri. Katika mabadiliko hayo rais aliziba nafasi za mawaziri watano ambapo wanne walitokomezwa na Operesheni Tokomeza Ujangili. Mawaziri hao...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
Ni wakati wa wasomi kushiriki mabadiliko chanya
KIONAMBALI alikuwa akisoma kitu kwenye mtandao. Mwandishi wa kitu kile alikuwa anasema kwamba wanafunzi wenye akili nyingi husoma na kuwa wahandisi. Wenye akili za wastani husoma na kuwa wahasibu na...
10 years ago
Dewji Blog05 Oct
Ziara ya Kikwete kuleta mabadiliko!
ZIARA ndefu ya Rais Jakaya Kikwete nchini Marekani huenda ikaibuka na mabadiliko katika Baraza la Mawaziri au Taasisi nyeti za serikali.
Rais Kikwete aliondoka wiki iliyopita kwa ziara ya wiki mbili Marekani, katika wakati ambao serikali yake imegubikwa na masuala mazito yanayohitaji maamuzi yake.
Masuala hayo ni mchakato wa Katiba na uchunguzi uliofanywa na Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) pamoja na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuhusu...
9 years ago
Michuzi23 Oct
ITUMIENI BRN KULETA MABADILIKO:KIKWETE
Rais Kikwete aliyasema hayo katika sherehe maalum iliyoandaliwa na watumishi wa umma kumuaga na kufanyika Dar es Salaam Alhamisi usiku. Watumishi wa umma walitumia fursa hiyo kumpa Rais tuzo na zawadi...
9 years ago
Mwananchi06 Dec
Baraza dogo la Rais John Magufuli
10 years ago
Mwananchi15 Oct
Viongozi wa dini wanayo nafasi ya kuleta mabadiliko
10 years ago
Dewji Blog06 Feb
NFT Consult wapania kuleta mabadiliko Tanzania
Baadhi ya washiriki wa warsha ya siku moja iliyoendeshwa na kampuni ya NFT Consult kwa maofisa rasilimali watu na watoa mafunzo kutoka makampuni mbalimbali nchini wakifanya usajili kabla ya kuanza kwa warsha hiyo.(Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog).
Na Mwandishi wetu
MOJA ya makampuni makubwa yanayoshughulika na ushauri wa jinsi ya kuongeza ufanisi katika maeneo ya kazi, NFT Consult wameendesha kongamano kubwa la kutambua haja ya mahitaji ya wadau mbalimbali wa maendeleo hapa...
9 years ago
Mwananchi11 Dec
Baraza dogo la Dk Magufuli laokoa Sh23 bilioni
10 years ago
Mwananchi24 Jun
Katiba Inayopendekezwa haiwezi kuleta mabadiliko kwa Watanzania
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/02/DSC_0252.jpg)
NFT CONSULT WAPANIA KULETA MABADILIKO TANZANIA