Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NFT CONSULT WAPANIA KULETA MABADILIKO TANZANIA‏

Baadhi ya washiriki wa warsha ya siku moja iliyoendeshwa na kampuni ya NFT Consult kwa maofisa rasilimali watu na watoa mafunzo kutoka makampuni mbalimbali nchini wakifanya usajili kabla ya kuanza kwa warsha hiyo. Na Mwandishi wetu MOJA ya makampuni makubwa yanayoshughulika na ushauri wa jinsi ya kuongeza ufanisi katika maeneo ya kazi, NFT Consult wameendesha kongamano kubwa la kutambua haja ya mahitaji ya wadau mbalimbali wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

NFT Consult wapania kuleta mabadiliko Tanzania

DSC_0252

Baadhi ya washiriki wa warsha ya siku moja iliyoendeshwa na kampuni ya NFT Consult kwa maofisa rasilimali watu na watoa mafunzo kutoka makampuni mbalimbali nchini wakifanya usajili kabla ya kuanza kwa warsha hiyo.(Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog).

Na Mwandishi wetu

MOJA ya makampuni makubwa yanayoshughulika na ushauri wa jinsi ya kuongeza ufanisi katika maeneo ya kazi, NFT Consult wameendesha  kongamano kubwa la kutambua haja ya mahitaji ya wadau mbalimbali wa maendeleo hapa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ziara ya Kikwete kuleta mabadiliko!

Jakaya-Kikwete

ZIARA ndefu ya Rais Jakaya Kikwete nchini Marekani huenda ikaibuka na mabadiliko katika Baraza la Mawaziri au Taasisi nyeti za serikali.

Rais Kikwete aliondoka wiki iliyopita kwa ziara ya wiki mbili Marekani, katika wakati ambao serikali yake imegubikwa na masuala mazito yanayohitaji maamuzi yake.

Masuala hayo ni mchakato wa Katiba na uchunguzi uliofanywa na Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) pamoja na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuhusu...

 

9 years ago

Michuzi

ITUMIENI BRN KULETA MABADILIKO:KIKWETE

Na Mwandishi WetuRAIS Jakaya Kikwete ambaye siku chache zijazo atamaliza muhula wake wa pili na wa mwisho wa kuiongoza Tanzania, amewaaga watumishi wa umma nchini kwa kutoa rai kuwa ili kuendeleza mageuzi katika kuwatumikia wananchi ni vyema wakautumia vyema mfumo wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN).
Rais Kikwete aliyasema hayo katika sherehe maalum iliyoandaliwa na watumishi wa umma kumuaga na kufanyika Dar es Salaam Alhamisi usiku. Watumishi wa umma walitumia fursa hiyo kumpa Rais tuzo na zawadi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Baraza dogo lingetosha kuleta mabadiliko chanya

HIVI karibuni Rais Jakaya Kikwete alitangaza mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri. Katika mabadiliko hayo rais aliziba nafasi za mawaziri watano ambapo wanne walitokomezwa na Operesheni Tokomeza Ujangili. Mawaziri hao...

 

10 years ago

Mwananchi

Viongozi wa dini wanayo nafasi ya kuleta mabadiliko

Wakati tunasoma mawasiliano ya umma Nairobi katika Chuo Kikuu cha Kanisa Katoliki cha Afrika Mashariki (Cuea) kuna siku tulijiuliza: “Hivi Afrika kuna viongozi au watawala?” Jawabu lilikuwa: “Afrika tuna viongozi wachache na watawala wengi.”

 

10 years ago

Mwananchi

Katiba Inayopendekezwa haiwezi kuleta mabadiliko kwa Watanzania

Rasimu iliyopitishwa na Bunge Maalumu la Katiba mjini Dodoma, ni kielelezo cha wazi cha ukweli huu kwamba ujinga ni mtaji mkubwa wa kisiasa unaotumiwa na chama tawala kwa wananchi wasiojitambua.

 

11 years ago

GPL

MBUZI MMOJA TU ANAWEZA KULETA MABADILIKO,JUNI 7,2014

Hapa ni club full muziki. Hawa nao walikuwa ni kichekesho tosha. Hiki ni choo cha muda.…

 

10 years ago

Michuzi

STAMICO YAJIIMARISHA KATIKA KULETA MABADILIKO YA USIMAMIZI WA RASILIMALI YA MADINI

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Taifa la Madini (Stamico),Zena Kangoyi akizungumza na waandishi wa habari juu mafanikio ya stamico baada ya maboresho yaliyofanywa katika shirika hilo katika Ofisi Makao Makuu jijini Dar es Salaam. Kaimu Mkurugenzi wa Utafiti na Uchorongaji ,Alex Rutagwelela akizungumza na waandishi wa habari juu Stamico linavyosimamia majukumu yake katika katika kuendeleza wachuimbaji wadogo iliyofanyika leo Makao Makuu ya Stamico,jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa...

 

11 years ago

GPL

WADAU WAKUTANA KUJADILI UTAYARI WA TANZANIA KUPOKEA NA KUTUMIA FEDHA ZA KUPAMBANA NA MABADILIKO YA TABIANCHI‏

 Meneja Mradi wa Mazingira UNDP, Helene Gichenje akifafanua jambo kwa wadau wa mazingira wakati wa mkutano wa kujadili ripoti ya awali juu utayari wa Tanzania katika kupokea na kutumia fedha za misaada za kupambana na mabadiliko ya tabianchi.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani