STAMICO YAJIIMARISHA KATIKA KULETA MABADILIKO YA USIMAMIZI WA RASILIMALI YA MADINI
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Taifa la Madini (Stamico),Zena Kangoyi akizungumza na waandishi wa habari juu mafanikio ya stamico baada ya maboresho yaliyofanywa katika shirika hilo katika Ofisi Makao Makuu jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi wa Utafiti na Uchorongaji ,Alex Rutagwelela akizungumza na waandishi wa habari juu Stamico linavyosimamia majukumu yake katika katika kuendeleza wachuimbaji wadogo iliyofanyika leo Makao Makuu ya Stamico,jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziRC SHINYANGA AZINDUA RASMI MRADI WA MIJADALA JUMUISHI KATIKA MASUALA YA UCHUMI NA USIMAMIZI WA RASILIMALI FEDHA
9 years ago
Dewji Blog01 Oct
Taasisi ya UONGOZI yaandaa warsha ya wadau wa Serikali katika usimamizi wa rasilimali za mafuta na gesi asilia
Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Mtwara Bw. Johansen Bukwali akisoma hotuba ya ufunguzi wa warsha ya usimamizi wa rasilimali za mafuta na gesi asilia kwa niaba ya mgeni rasmi Waziri wa Nchi -TAMISEMI Mh. Hawa Ghasia katika ukumbi wa hoteli ya NAF Beach mkoani Mtwara.
Mkuu wa Idara ya Utafiti na Sera kutoka Taasisi ya UONGOZI Bw. Dennis Rweyemamu akizungumza kwa niaba ya Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya UONGOZI Profesa Joseph Semboja wakati wa warsha ya usimamizi wa rasilimali za mafuta na...
9 years ago
MichuziUDHAIFU WA USIMAMIZI WA MIRADI MBALIMBALI NI CHANGAMOTO KATIKA KULETA KASI YA MAENDELEO NDANI YA JAMII
Katika sekta ya elimu, ongezeko kubwa la shule kuanzia ngazi ya awali hadi chuo kikuu limeshuhudiwa. Hii ni moja ya hatua kubwa kuwahi kufikiwa...
9 years ago
Michuzi01 Oct
TAASISI YA UONGOZI YAANDAA WARSHA YA NAFASI YA WADAU WA NGAZI YA MKOA, WILAYA NA HALMASHAURI KATIKA USIMAMIZI WA RASILIMALI ZA MAFUTA NA GESI ASILIA
11 years ago
Mwananchi09 Mar
Tuna safari ndefu katika kuchochea mabadiliko, kuleta usawa wa kijinsia
10 years ago
Mwananchi01 Jul
Usimamizi na ulinzi wa rasilimali za Taifa uwe ajenda ya Rais ajaye
10 years ago
Mwananchi10 Jun
Ukosefu rasilimali kikwazo kwa usimamizi wa vyama vya siasa
9 years ago
Habarileo18 Oct
Mabadiliko ya rasilimali
MJUMBE wa kampeni ya taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mwigulu Nchemba amesema mabadiliko yanayotakiwa wakati huu ni ya utendaji na usimamizi wa rasilimali za taifa na maslahi kwa jamii na sio kukiondoa chama kimoja na kukiweka kingine madarakani.
10 years ago
VijimamboSHIRIKA LA MADINI LA TAIFA (STAMICO), LAELEZEA MAFANIKIO YA MIRADI YAKE MBALIMBALI