Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baraza la Dk. Magufuli sawa na ‘strike force’ ya makomandoo?

MOJAWAPO ya maswali ambayo Watanzania wanasubiri kusikia majibu yake ni Baraza la Mawaziri la Rai

Lula wa Ndali Mwananzela

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

BARAZA LA MADIWANI IKUNGI LAJIWEKA MGUU SAWA KUKABILIANA NA MVUA ZINAZOENDELEA


Mwenyekiti wa Halmashauri ya Ikungi (kushoto) Ally Mwanga na Makamu wake Stephano Missai wakifuatilia matukio ya kikao cha Baraza la Madiwani wa halmashauri hiyo.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Ikungi, Justise Kijazi akizungumza kwenye kikao cha baraza hilo.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Ikungi Ally Mwanga akizungumza.
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, (aliyevaa shati ya bluu katikati) Edward Mpogolo, na viongozi mbalimbali wakiwa kwenye moja ya tukio la kikao hicho.
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Edward...

 

9 years ago

Habarileo

Mwakyembe- Nitaenda sawa na Magufuli

Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Harrison Mwakyembe amesema atafanya kazi kwa kasi ya Rais Magufuli katika kukabiliana na changamoto zilizopo katika wizara hiyo.

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli aiweka sawa Dar

SIKU tatu kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani, Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli ameunguruma Dar es Salaam na kutoa wosia kwa Watanzania kwamba wanatakiwa kupiga kura kwa umakini ili wamchague kiongozi mwenye maamuzi makini na si maamuzi magumu.

 

10 years ago

Habarileo

Magufuli leo mguu sawa kwa urais

MGOMBEA Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli leo anatarajiwa kuchukua fomu ya uteuzi katika Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ili kusaka wadhamini na kisha kuidhinishwa kuwa mgombea katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu.

 

5 years ago

Michuzi

KIKUNDI CHA WANAWAKE ‘WOMEN FORCE’ CHATOA MSAADA WA VIFAA KUJIKINGA NA CORONA SHINYANGA


Kikundi cha Wanawake maarufu ‘ Women Force’ kinachojihusisha na Masuala ya Hisa na Kusaidia Jamii kimetoa msaada wa vifaa kinga vyenye Thamani ya Shilingi 700,000/= kwa ajili ya kukabiliana na Maambukizi ya Virusi vya Corona (COVID -19) katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga.
Vifaa hivyo vimekabidhiwa leo Ijumaa Mei 22,2020 na Mwenyekiti wa Kikundi cha Women Force, Magreth Mambali kwa Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt. Yudas Ndungile katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga.
Vifaa...

 

10 years ago

Bongo5

Mashabiki walumbana kuhusu video ya Alikiba ‘Mwana’, kama ni sawa au si sawa kwa video kutofuata maudhui ya wimbo

Wiki moja baada ya video ya Alikiba ‘Mwana’ iliyofanyiika Afrika Kusini na kuongozwa na Godfather, itoke, kumekuwa na maoni tofauti kuhusiana na video hiyo. Baadhi yao wameonekana kuifurahia na wengine wameonekana kutoridhishwa na baadhi ya vitu. Baadhi ya waliotoa maoni wamesema kuwa walitegemea kuona video yenye script inayoendana na maudhui ya wimbo ili kumuwezesha hata […]

 

9 years ago

Mtanzania

Baraza la Magufuli lachambuliwa

MTZ IJUMAA new1.inddElizabeth Hombo na Jonas Mushi

BAADHI ya wachambuzi na wanasiasa wamempongeza Rais, Dk. John Magufuli kwa kuteua baraza la mawaziri kwa kuwa na idadi ndogo, huku wakitoa kasoro mbalimbali.

Akizungumza na MTANZANIA baada ya kutangazwa kwa baraza hilo jana, Mtaalamu wa Uchumi ambaye pia alipata kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, alikosoa uteuzi wa baraza hilo, ingawa alipongeza kuwapo kwa idadi ndogo ya mawaziri.

Profesa Lipumba alishangaa kitendo cha Rais...

 

9 years ago

Mwananchi

Dk Magufuli akamilisha Baraza la Mawaziri

Rais John Magufuli amemalizia kujaza nafasi za uteuzi wa mawaziri na naibu waziri alizobakiza wakati akitangaza Baraza la Mawaziri la kwanza la Serikali ya Awamu ya Tano.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani