Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BARAZA LA HABARI WAMUAGA BALOZI WA NORWAY

Balozi wa Norway nchini Mheshmiwa Balozi Ingunn Klepsvik akiwa kwenye picha ya pamoja na Watumishi wa Baraza la Habari,Wahariri na wadau wengine wa Habari kwenye Hotel ya Ledger Plaza Bahari Beach.
(Picha kwa Hisani ya kamerayangublog.com) .
 Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania Ndugu Kajubi Mukajanga akizungumza wakati wa tafrija ya kumuaga Balozi wa Norway nchini Mheshmiwa Balozi Ingunn Klepsvik kwenye Hotel ya Ledger Plaza Bahari Beach. Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAMIA WAMUAGA MWANDISHI WA HABARI WA NEW HABARI 2006 LTD, MAREHEMU INOCENT MUNYUKU

Baadhi ya waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lililokuwa na mwili wa Mwandishi wa Habari za Michezo wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd marehemu Inocent Munyuku wakati wa kuaga mwili katika hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam leo. Baadhi ya waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lililokuwa na mwili wa Mwandishi wa Habari za Michezo wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd marehemu Inocent Munyuku wakati wa kuaga mwili katika hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam leo. Matinyi akisoma...

 

10 years ago

GPL

RAIS JAKAYA KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO ZA BALOZI WA RWANDA NA NORWAY, AMWAPISHA BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI RWANDA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete (kushoto) akimkaribisha rasmi Balozi mpya wa Rwanda nchini Tanzania,Balozi Eugene Segore Kayihura alipowasilisha hati za utambulisho Ikulu jijini Dar es salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akimkaribisha rasmi Balozi mpya wa Rwanda nchini Tanzania,Balozi Eugene Segore Kayihura… ...

 

10 years ago

Vijimambo

WATANZANIA CALIFORNIA WAMUAGA BALOZI LIBERATA MULAMULA

 Watanzania California wakiongozwa na Balozi wa Heshima Mhe. Ahmed Issa walijumuika pamoja siku ya Ijumaa na kumuaga Balozi Liberata Mulamula anayemaliza muda wake kama Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico na kurudi nyumbani kwenda kulitumikia taifa kama Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Watanzania wa California wakipiga picha ya pamoja na Mhe. Balozi Libarata Mulamula (wapili toka kushoto) siku ya Ijumaa July 31, 2015 walipomuaga rasmi. Balozi...

 

11 years ago

Mwananchi

Mamia wamuaga Balozi Kazaura Dar es Salaam

Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa alikuwa miongoni mwa maelfu ya waombolezaji waliofika katika ibada ya kuaga mwili wa Balozi, Fulgence Kazaura aliyefariki dunia mwishoni mwa wiki akiwa katika matibabu nchini India.

 

9 years ago

Michuzi

MABALOZI WA AFRIKA, KARIBIANI NA PACIFIKI WAMUAGA BALOZI DR. KAMALA

Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala (katikati) akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa Mabalozi wa Afrika, Karibiani na Pasifiki Jumuiya ya Ulaya. Mabalozi hao wamemshukuru Balozi Kamala kwa kazi  aliyofanya ya kuongoza Kamati ya Mabalozi wa Afrika, Karibiani na Pasifiki. Balozi Kamala amemaliza kipindi chake cha kuwa Balozi wa Tanzania Ubeligiji, Luxembourg na Jumuiya ya Ulaya baada ya kuchaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Nkenge.

 

10 years ago

Vijimambo

UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI WAMUAGA BALOZI LIBERATA MULAMULA

Wafanyakazi wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani wakihakiki majina ya wageni waalikwa kwenye tafrija fupi ya Ubalozi huo ya kumuaga Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulumula (hayupo pichani) ambaye ndiye aliyekua Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani. Tafrija hiyo fupi ilifanyika Alhamisi Julai 23, 2015 kwenye jengo la Ubalozi lililopo mtaa wa 22, Washington, DC. Picha na Kwanza Production na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani