Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BARAZA LA WAFANYAKAZI NFRA PAMBANANENI NA RUSHWA KWA VITENDO-HILDA KINANGA

Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu wa Wizara ya Kilimo Bi Hilda Kinanga akisisitiza jambo wakati akimuwakilisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Ndg Gerald Kusaya kwenye ufunguzi wa Baraza la wafanyakazi lililofanyika leo tarehe 21 Mei 2020 katika ukumbi wa mikutano wa chuo cha Ujenzi Mkoani Morogoro. (Picha Zote Na Mathias Canal, NFRA)Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu wa Wizara ya Kilimo Bi Hilda Kinanga akisisitiza jambo wakati akimuwakilisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Ndg...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

BARAZA LA WAFANYAKAZI NFRA WAASWA KUPAMBANA NA RUSHWA KWA VITENDO


Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu wa Wizara ya Kilimo Bi Hilda Kinanga akisisitiza jambo wakati akimuwakilisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Ndg Gerald Kusaya kwenye ufunguzi wa Baraza la wafanyakazi lililofanyika leo tarehe 21 Mei 2020 katika ukumbi wa mikutano wa chuo cha Ujenzi Mkoani Morogoro. Wengine pichani ni Mwenyekiti wa Baraza la wafanyakazi ambaye ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula NFRA Ndg Milton Lupa (Kulia) na Mwenyekiti wa Chama cha...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali ijali wafanyakazi kwa vitendo — RAAWU

KATIBU wa Chama cha Wafanyakazi wa taasisi za Elimu ya Juu, Habari, Ufundi na Utafuti (RAAWU) Mkoa wa Dodoma, Ramadhan Mwendwa, ameitaka serikali kutumia vema Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi)...

 

5 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI NFRA WAJADILI UFANISI WA KAZI NA MASLAHI YAO

Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) Ndg Milton Lupa akizungumza wakati wa Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Taasisi hiyo unaofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Ujenzi mkoani Morogoro, leo tarehe 22 Mei 2020. (Picha Zote Na Mathias Canal, NFRA)Sehemu ya Wajumbe wa Baraza la wafanyakazi wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) wakifatilia mkutano unaofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Ujenzi mkoani Morogoro, leo tarehe 22 Mei 2020.Afisa Mtendaji Mkuu wa...

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA CHUO CHA UTALII NCHINI WAUNDA BARAZA LA WAFANYAKAZI.


Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasiliamaliwatu(DHRN) wa Wizara ya Maliasili na Utalii,Said Msambachi akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Chuo cha Utalii Tanzania, uliofanyika katika Kampasi ya Temeke jijini Dar es Salaam leo kwa niaba ya Katibu mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Adelhe Meru.  Afisa Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Utalii Kampasi ya Bustani,  Rosada Musoma akizungumza katika ufunguzi wa Mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa Chuo cha...

 

10 years ago

Vijimambo

Utafiti unasema 60% ya akina dada wafanyakazi wamepata kazi kwa kutoa rushwa ya ngono

Kumekuwa na tabia ya wanawake kutoa rushwa ya ngono makazini Kwa Research yangu Ndogo nimegunduaAsilimia 60 ya wanawake wanaopata hivyo vitu makazini ni kwa kutoa rushwa ya ngono30 ni kwa ajili wao wana watu wanaowajua10 wao wameingia kwa njia ya kawaidaHii imetokea sana hata humu ndani wapo wahanga mbalimbali ya wanawake mbalimbali walioingia kwenye hii disaster kwa pande zote mbiliWanaume nameWanawakeNilichogundua kuwa hii kitu haiepukiki kwani kwa mfumo wa maisha ulivyo tight halafu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wafahamu washukiwa wa vitendo vya rushwa

Maafisa sita wa soka wamekamatwa mjini Zurich nchini Uswisi kwa shutuma za vitendo vya rushwa ya dola milioni 100

 

10 years ago

Habarileo

Paroko wa RC akemea vitendo vya rushwa

PAROKO wa Kanisa Katoliki (RC) , Parokia ya Masasi jimbo la Tunduru-Masasi mkoani Mtwara, Dominick Mkapa amekemea vitendo vya rushwa vinavyofanywa na baadhi ya watu waliopewa mamlaka serikalini mazingira yanayochangia kuwepo kwa mikataba mingi isiyo na tija kwa taifa letu.

 

5 years ago

CCM Blog

MBUNGE WA USHETU AKEMEA VITENDO VYA RUSHWA


 Mbunge wa jimbo la Ushetu, Mheshimiwa Elias Kwandikwa akizinduajengo la  Chama cha Msingi cha Ushirika (Uyogo AMCOS) katika kataya Uyogo na kuahidi mifuko ya saruji 100 kwa ajili ya ujenzi wa jengohilo.
 Mbunge   wa   jimbo   la   Ushetu,   Mheshimiwa   Elias   Kwandikwa,akizungumza na wananchi wa kata ya Uyogo kuhusu maendeleo yajimbo   katika   miradi   inayoendelea   kutekelezwa   na   ile   iliyokamilikakatika kata hiyo.

 Mbunge wa jimbo la Ushetu, Mheshimiwa Elias Kwandikwa akikaguajengo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani