WAFANYAKAZI NFRA WAJADILI UFANISI WA KAZI NA MASLAHI YAO
Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) Ndg Milton Lupa akizungumza wakati wa Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Taasisi hiyo unaofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Ujenzi mkoani Morogoro, leo tarehe 22 Mei 2020. (Picha Zote Na Mathias Canal, NFRA)
Sehemu ya Wajumbe wa Baraza la wafanyakazi wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) wakifatilia mkutano unaofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Ujenzi mkoani Morogoro, leo tarehe 22 Mei 2020.
Afisa Mtendaji Mkuu wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog20 Apr
Rais Kikwete, TUCTA wajadili jinsi ya kuboresha maslahi na ustawi wa wafanyakazi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.
-Aagiza kukamilishwa kwa uundwaji wa mabaraza ya wafanyakazi katika utumishi wa umma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Alhamisi, Aprili 17, 2014, alifanya mazungumzo na majadiliano ya kina na viongozi wa vyama vyote vya wafanyakazi nchini yenye nia ya kutafuta njia za kuboresha maslahi na ustawi wa wafanyakazi nchini.
Mazungumzo hayo ya muda mrefu yaliyofanyika Ikulu, Dar...
11 years ago
GPL
RAIS KIKWETE, TUCTA WAJADILI JINSI YA KUBORESHA MASLAHI NA USTAWI WA WAFANYAKAZI
10 years ago
VijimamboCHAMA CHA WAFANYAKAZI MADEREVA TANZANIA (TADWU), CHAMKABIDHI MLEZI WAO MKUU WA WILAYA YA KINONDONI PAUL MAKONDA RASIMU YA MKATABA WA MABORESHO YA MASLAHI YAO.
5 years ago
MichuziBARAZA LA WAFANYAKAZI NFRA WAASWA KUPAMBANA NA RUSHWA KWA VITENDO
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu wa Wizara ya Kilimo Bi Hilda Kinanga akisisitiza jambo wakati akimuwakilisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Ndg Gerald Kusaya kwenye ufunguzi wa Baraza la wafanyakazi lililofanyika leo tarehe 21 Mei 2020 katika ukumbi wa mikutano wa chuo cha Ujenzi Mkoani Morogoro. Wengine pichani ni Mwenyekiti wa Baraza la wafanyakazi ambaye ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula NFRA Ndg Milton Lupa (Kulia) na Mwenyekiti wa Chama cha...
5 years ago
MichuziBARAZA LA WAFANYAKAZI NFRA PAMBANANENI NA RUSHWA KWA VITENDO-HILDA KINANGA
10 years ago
BBCSwahili24 Mar
Ugiriki na Ujerumani wajadili madeni yao
11 years ago
Uhuru Newspaper07 Aug
Kinana: Tutazidi kulinda maslahi ya wafanyakazi
NA WAANDISHI WETU, DODOMA
KATIBU Mkuu wa CCM, Abrahaman Kinana, amesema Chama kitaendelea kuwa karibu na wafanyakazi katika kuhakikisha maslahi yao yanapatikana. .
Kinana alisema hayo jana alipokuwa akipokea kadi ya uanachama kutoka Chama cha Wafanyakazi wa Hifadhi, Hotelini, Nyumbani, Huduma za Jamii na Ushauri (CHODAWU) katika ukumbi wa CCM Makao Makuu, mjini hapa.
Alisema mara nyingi wafanyakazi wamekuwa wakijitetea wenyewe lakini kwa sasa kutokana na kupokea kadi hiyo kunakifanya chama kuwa...
11 years ago
Habarileo19 Oct
Baraza la Wafanyakazi Polisi latakiwa kusimamia maslahi
BARAZA la Wafanyakazi wa Idara ya Jeshi la Polisi nchini limetakiwa kufungua milango ya ushirikishaji wafanyakazi katika mipango ya kazi na kusimamia maslahi ya watumishi ya kupanda vyeo, kupandishwa mishahara na kuwalipa posho wanazostahili kwa wakati.
9 years ago
Dewji Blog22 Dec
Wafanyakazi wa TBL Group watunukiwa vyeti vya ufanisi
Mkurugenzi wa kampuni ya TBL Group,Roberto Jarrin akiwa katika picha na baadhi ya wafanyakazi waliotunukiwa tuzo ya you Make the Difference katika kiwanda cha Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group, Roberto Jarrin (Kushoto) akiwa na mfanyakazi wa kitengo cha ufundi wa kiwanda cha Mbeya Godwin Kambi baada ya kumtunukia cheti kwa kufanyia kazi kiwandani hao kwa kipindi cha miaka 15.Hafla ya kuwatunuku wafanyakazi vyeti ilifanyika hivi karibuni kiwandani hapo.
Margaret Simon Mlwale...