Baraza la Wafanyakazi Polisi latakiwa kusimamia maslahi
BARAZA la Wafanyakazi wa Idara ya Jeshi la Polisi nchini limetakiwa kufungua milango ya ushirikishaji wafanyakazi katika mipango ya kazi na kusimamia maslahi ya watumishi ya kupanda vyeo, kupandishwa mishahara na kuwalipa posho wanazostahili kwa wakati.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI IDARA YA POLISI WAFUNGULIWA MJINI MOROGORO
9 years ago
Michuzi26 Nov
KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA JESHI LA POLISI
9 years ago
MichuziNAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AFUNGA MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA IDARA YA JESHI LA POLISI
9 years ago
Dewji Blog30 Nov
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya ndani ya nchi ahamasisha Baraza la Wafanyakazi wa Idara ya jeshi la Polisi kufanya kazi kwa bidii!
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,John Mngodo,akizungumza na wajumbe wa mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa Idara ya Jeshi la Polisi(hawapo pichani),wakati alipoalikwa kufunga mkutano huo uliofanyika Chuo cha Taaluma ya Polisi,Kilwa Road,jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu wa Baraza la Wafanyakazi,Stanford Busumbiro(kulia) akimpongeza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,John Mngodo, muda mfupi baada ya kumaliza kufunga mkutano wa Baraza la Wafanyakazi...
10 years ago
MichuziWAFANYAKAZI WA CHUO CHA UTALII NCHINI WAUNDA BARAZA LA WAFANYAKAZI.
Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasiliamaliwatu(DHRN) wa Wizara ya Maliasili na Utalii,Said Msambachi akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Chuo cha Utalii Tanzania, uliofanyika katika Kampasi ya Temeke jijini Dar es Salaam leo kwa niaba ya Katibu mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Adelhe Meru. Afisa Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Utalii Kampasi ya Bustani, Rosada Musoma akizungumza katika ufunguzi wa Mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa Chuo cha...
11 years ago
Uhuru Newspaper07 Aug
Kinana: Tutazidi kulinda maslahi ya wafanyakazi
NA WAANDISHI WETU, DODOMA
KATIBU Mkuu wa CCM, Abrahaman Kinana, amesema Chama kitaendelea kuwa karibu na wafanyakazi katika kuhakikisha maslahi yao yanapatikana. .
Kinana alisema hayo jana alipokuwa akipokea kadi ya uanachama kutoka Chama cha Wafanyakazi wa Hifadhi, Hotelini, Nyumbani, Huduma za Jamii na Ushauri (CHODAWU) katika ukumbi wa CCM Makao Makuu, mjini hapa.
Alisema mara nyingi wafanyakazi wamekuwa wakijitetea wenyewe lakini kwa sasa kutokana na kupokea kadi hiyo kunakifanya chama kuwa...
9 years ago
StarTV26 Dec
Jeshi la Polisi latakiwa kuwachukulia hatua za kinidhamu askari wanaotoa siri za jeshi hilo
Jeshi la polisi mkoani Tabora limeagizwa kuwachukulia hatua za kinidhamu za kijeshi askari polisi ambao wanajihusisha na vitendo vya kihalifu na utoaji siri za jeshi kwa wahalifu kwa makusudi ya kujipatia kipato.
Agizi hilo limetolewa na Mkuu wa mkoa wa Tabora, Ludovick Mwananzila amesema ni aibu kubwa kwa Jeshi la Polisi kuendelea kufanya kazi na Askari wasio waaminifu wanaovujisha siri za kupambana na uhalifu.
Agizo hilo la Mkuu wa mkoa wa Tabora Ludovick Mwananzila amelitoa katika hafla...
10 years ago
Vijimambo05 Jan
VIJANA NCHINI TANZANIA WAMTAJA MWIGULU NCHEMBA KUWA NDIYE RAIS MPYA WANAYEMTEGEMEA,ASIFIKA KWA KUSIMAMIA KIDETE MASLAHI YA NCHI
*Vijana wataka chama chake kimpe nafasi
Claudia Kayombo
WAKATI vyama vya siasa havijatangaza majina ya wagombea urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu, vijana mbalimbali wameanza kutoa maoni ya nani anafaa kumrithi Rais Jakaya Kikwete.
Vijana wengi wamesema kuwa, Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba, ndiye anayestahili kumrithi Rais Kikwete kutokana na utendaji wake wa kazi.
Hatua ya vijana kumtaja Nchemba, ni mwendelezo...