Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete, TUCTA wajadili jinsi ya kuboresha maslahi na ustawi wa wafanyakazi

kikwete

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.

-Aagiza kukamilishwa kwa uundwaji wa mabaraza ya wafanyakazi katika utumishi wa umma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Alhamisi, Aprili 17, 2014, alifanya mazungumzo na majadiliano ya kina na viongozi wa vyama vyote vya wafanyakazi nchini yenye nia ya kutafuta njia za kuboresha maslahi na ustawi wa wafanyakazi nchini.

Mazungumzo hayo ya muda mrefu yaliyofanyika Ikulu, Dar...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE, TUCTA WAJADILI JINSI YA KUBORESHA MASLAHI NA USTAWI WA WAFANYAKAZI

-Aagiza kukamilishwa kwa uundwaji wa mabaraza ya wafanyakazi katika utumishi wa umma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete juzi, Alhamisi, Aprili 17, 2014, alifanya mazungumzo na majadiliano ya kina na viongozi wa vyama vyote vya wafanyakazi nchini yenye nia ya kutafuta njia za kuboresha maslahi na ustawi wa wafanyakazi nchini. Mazungumzo hayo ya muda mrefu yaliyofanyika Ikulu, Dar es Salaam...

 

5 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI NFRA WAJADILI UFANISI WA KAZI NA MASLAHI YAO

Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) Ndg Milton Lupa akizungumza wakati wa Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Taasisi hiyo unaofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Ujenzi mkoani Morogoro, leo tarehe 22 Mei 2020. (Picha Zote Na Mathias Canal, NFRA)Sehemu ya Wajumbe wa Baraza la wafanyakazi wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) wakifatilia mkutano unaofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Ujenzi mkoani Morogoro, leo tarehe 22 Mei 2020.Afisa Mtendaji Mkuu wa...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATUNUKIWA TUZO NA TUCTA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea tuzo maalumu toka kwa Gratian Mukoba, Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) wakati wa kilele cha Mei Mosi Uwanja wa CCM Kirumbna jijini Mwanza leo mei 1, 2015. Picha na IKULU

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete: Wekeni waambata kulinda maslahi ya wanafunzi wa Tanzania nje

Jakaya-Kikwete1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameielekeza Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kuhakikisha kuwa Balozi mbali mbali za Tanzania nje ya nchi zinakuwa na Waambata wa Elimu kwa nia ya kukabiliana na kutatua matatizo ya wanafunzi wa Tanzania wanaosoma katika nchi mbali mbali duniani.

Aidha, Rais Kikwete amesema kuwa moja ya wajibu mkubwa wa mabalozi wanaoziwakilisha Tanzania nje ya nchi ni kutetea na kulinda maslahi ya Watanzania walioko...

 

10 years ago

Tanzania Daima

TUCTA: Tazara lipeni wafanyakazi

RAIS wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), Gratian Mukoba ameitaka Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) kuwalipa wafanyakazi wake malimbikizo ya mishahara ya miezi mitano ndani ya...

 

11 years ago

Mwananchi

JK kuhutubia wafanyakazi, Tucta yalilia mishahara

Wakati Rais Jakaya Kikwete akitarajiwa kuhutubia wafanyakazi katika kilele cha Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta), limeitaka Serikali kupandisha kima cha chini hadi kufikia Sh750,000.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TUCTA yalia mishahara duni kwa wafanyakazi

SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), limebaini kuwa wafanyakazi wengi nchini bado wanakabiliwa na maisha magumu kutokana na malipo duni ya ujira. Pia limesema kutozingatiwa kwa sheria za kazi,...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Kinana: Tutazidi kulinda maslahi ya wafanyakazi


NA WAANDISHI WETU, DODOMA
KATIBU Mkuu wa CCM, Abrahaman Kinana, amesema Chama kitaendelea kuwa karibu na wafanyakazi katika kuhakikisha maslahi yao yanapatikana. .
Kinana alisema hayo jana alipokuwa akipokea kadi ya uanachama kutoka Chama cha Wafanyakazi wa Hifadhi, Hotelini, Nyumbani, Huduma za Jamii na Ushauri (CHODAWU) katika ukumbi wa CCM Makao Makuu, mjini hapa.
Alisema mara nyingi wafanyakazi wamekuwa wakijitetea wenyewe lakini kwa sasa kutokana na kupokea kadi hiyo kunakifanya chama kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani