RAIS KIKWETE, TUCTA WAJADILI JINSI YA KUBORESHA MASLAHI NA USTAWI WA WAFANYAKAZI
![](http://api.ning.com:80/files/8pnqwPqNt2O2qiS8lFY7QE0bBqZJ6mHiP0K5X2skD89iJsqVlbXmtn5QF02qSiZqfm82s7OV8mW*af-TpYy8LNTxsHTOC6DD/IKULU.jpg?width=650)
-Aagiza kukamilishwa kwa uundwaji wa mabaraza ya wafanyakazi katika utumishi wa umma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete juzi, Alhamisi, Aprili 17, 2014, alifanya mazungumzo na majadiliano ya kina na viongozi wa vyama vyote vya wafanyakazi nchini yenye nia ya kutafuta njia za kuboresha maslahi na ustawi wa wafanyakazi nchini. Mazungumzo hayo ya muda mrefu yaliyofanyika Ikulu, Dar es Salaam...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog20 Apr
Rais Kikwete, TUCTA wajadili jinsi ya kuboresha maslahi na ustawi wa wafanyakazi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.
-Aagiza kukamilishwa kwa uundwaji wa mabaraza ya wafanyakazi katika utumishi wa umma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Alhamisi, Aprili 17, 2014, alifanya mazungumzo na majadiliano ya kina na viongozi wa vyama vyote vya wafanyakazi nchini yenye nia ya kutafuta njia za kuboresha maslahi na ustawi wa wafanyakazi nchini.
Mazungumzo hayo ya muda mrefu yaliyofanyika Ikulu, Dar...
5 years ago
MichuziWAFANYAKAZI NFRA WAJADILI UFANISI WA KAZI NA MASLAHI YAO
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-yKW_n438w2Q/VUPBbIGnWyI/AAAAAAAHUfs/J0JsLsLwqr0/s72-c/unnamedm.jpg)
RAIS KIKWETE ATUNUKIWA TUZO NA TUCTA
![](http://2.bp.blogspot.com/-yKW_n438w2Q/VUPBbIGnWyI/AAAAAAAHUfs/J0JsLsLwqr0/s1600/unnamedm.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-7lHn9qB8DmI/VUPBbFglqJI/AAAAAAAHUfo/2_ysox3j11c/s1600/unnamedmm.jpg)
10 years ago
Dewji Blog11 May
Rais Kikwete: Wekeni waambata kulinda maslahi ya wanafunzi wa Tanzania nje
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameielekeza Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kuhakikisha kuwa Balozi mbali mbali za Tanzania nje ya nchi zinakuwa na Waambata wa Elimu kwa nia ya kukabiliana na kutatua matatizo ya wanafunzi wa Tanzania wanaosoma katika nchi mbali mbali duniani.
Aidha, Rais Kikwete amesema kuwa moja ya wajibu mkubwa wa mabalozi wanaoziwakilisha Tanzania nje ya nchi ni kutetea na kulinda maslahi ya Watanzania walioko...
10 years ago
Tanzania Daima02 Sep
TUCTA: Tazara lipeni wafanyakazi
RAIS wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), Gratian Mukoba ameitaka Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) kuwalipa wafanyakazi wake malimbikizo ya mishahara ya miezi mitano ndani ya...
11 years ago
Mwananchi01 May
JK kuhutubia wafanyakazi, Tucta yalilia mishahara
11 years ago
Tanzania Daima17 Apr
TUCTA yalia mishahara duni kwa wafanyakazi
SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), limebaini kuwa wafanyakazi wengi nchini bado wanakabiliwa na maisha magumu kutokana na malipo duni ya ujira. Pia limesema kutozingatiwa kwa sheria za kazi,...
11 years ago
Uhuru Newspaper07 Aug
Kinana: Tutazidi kulinda maslahi ya wafanyakazi
NA WAANDISHI WETU, DODOMA
KATIBU Mkuu wa CCM, Abrahaman Kinana, amesema Chama kitaendelea kuwa karibu na wafanyakazi katika kuhakikisha maslahi yao yanapatikana. .
Kinana alisema hayo jana alipokuwa akipokea kadi ya uanachama kutoka Chama cha Wafanyakazi wa Hifadhi, Hotelini, Nyumbani, Huduma za Jamii na Ushauri (CHODAWU) katika ukumbi wa CCM Makao Makuu, mjini hapa.
Alisema mara nyingi wafanyakazi wamekuwa wakijitetea wenyewe lakini kwa sasa kutokana na kupokea kadi hiyo kunakifanya chama kuwa...