Barcelona kumkatia rufaa Arda Turan
CATALOUNIA, HISPANIA
KLABU ya Barcelona inajiandaa kutuma maombi kwenye Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) ya kumtumia kiungo wake, Arda Turan, ili kuziba pengo la Rafinha, aliyeumia.
Barca haina uwezo wa kumtumia Turan waliyemsajili msimu huu kutoka Atlético Madrid, mpaka Januari mwakani kutokana na kifungo walichopewa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) kwa kukiuka kanuni za usajili za wachezaji vijana.
“Kitengo cha sheria kimethibitisha kuwa Fifa hawajajibu barua yao...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi03 Oct
Mbeya City kumkatia rufaa Nyoso
Suala la kufungiwa nahodha wa Mbeya City, Juma Nyoso limechukua sura mpya baada ya klabu hiyo kuwasilisha nia ya kukata rufaa.
10 years ago
BBCSwahili07 Jul
Turan:Barca yamsajili kiungo wa Atletico
Mabingwa wa Ulaya na Uhispania, Barcelona wamemsajili kiungo cha kati wa wapinzani wao Atletico Madrid Arda Turan raia wa Uturuki
5 years ago
CHADEMA Blog13 Feb
Mahakama ya Rufaa kutoa uamuzi rufaa ya Jamhuri dhidi ya Mbowe na Matiko
Mahakama ya Rufani leo imeketi kusikiliza hoja za wakata rufaa (Jamhuri) na wakatiwa rufaa (utetezi) kwenye maombi ya rufaa namba 344Â yaliyopo Mahakama Kuu kuhusu kufutiwa dhamana kwa washtakiwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (Mb) na Mbunge wa Tarime Mjini, Ester Matiko.
Upande wa Jamhuri umeiomba Mahakama ya Rufaa kuamuru maombi hayo 344 yatupiliwe mbali na Mahakama Kuu kwa sababu
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania