Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Turan:Barca yamsajili kiungo wa Atletico

Mabingwa wa Ulaya na Uhispania, Barcelona wamemsajili kiungo cha kati wa wapinzani wao Atletico Madrid Arda Turan raia wa Uturuki

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Real, Barca, Atletico mtifuano

Bilbao imefunga mabao 15, huku wakishinda mechi 13 kwenye uwanja wao mpya wa San Mames

 

11 years ago

Mwananchi

Barca, Real, Atletico kikaangoni leo la liga

Barcelona, Real Madrid na Atletico Madrid zote zilipata ushindi mzuri katika Ligi ya Mabingwa katikati ya wiki, lakini leo na kesho watakuwa na kazi pevu katika La Liga.

 

9 years ago

Mtanzania

Barcelona kumkatia rufaa Arda Turan

arda-turan (1)CATALOUNIA, HISPANIA

KLABU ya Barcelona inajiandaa kutuma maombi kwenye Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) ya kumtumia kiungo wake, Arda Turan, ili kuziba pengo la Rafinha, aliyeumia.

Barca haina uwezo wa kumtumia Turan waliyemsajili msimu huu kutoka Atlético Madrid, mpaka Januari mwakani kutokana na kifungo walichopewa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) kwa kukiuka kanuni za usajili za wachezaji vijana.

“Kitengo cha sheria kimethibitisha kuwa Fifa hawajajibu barua yao...

 

10 years ago

BBCSwahili

Arsenali yamsajili Paulista

Kilabu ya Arsenal nchini Uingereza imemsajili beki Gabriel Paulista kwa kitita cha Yuro millioni 15

 

10 years ago

GPL

Man U yamsajili kipa wa Barcelona

Victor Valdes akisaini kuichezea Man U.
MANCHESTER, England  
KLABU ya Manchester United imethibitisha kumsajili kipa wa zamani wa Barcelona, Victor Valdes kwa mkataba wa mwaka mmoja na nusu. Valdes mwenye umri wa miaka 32, alikuwa akifanya mazoezi na klabu hiyo tangu Oktoba, mwaka jana baada ya kuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu akisumbuliwa na maumivu ya goti. Valdes ameeleza kuwa amefurahishwa na usajili huo na yupo...

 

11 years ago

Mwananchi

Zesco yamsajili Juma Luizio

Mchezaji wa Tanzania, Juma Luizio ameweka historia mpya katika soka nchini baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu kuichezea timu ya Shirika la Ugavi wa Umeme la Zambia (Zesco FC) akitokea timu ya Mtibwa Sugar.

 

10 years ago

BBCSwahili

Chelsea yamsajili Radamel Falcao

Chelsea imemsajili mshambuliaji wa klabu ya Monaco Radamel Falcao kwa makubaliano ya mkopo lakini kuna uwezekano wa kuongeza kandarasi hiyo na kuwa ya kudumu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani