Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bashar Al Assad ashinda uchaguzi Syria

Rais Bashar Al Assad amepata ushindi mkubwa wa uchaguzi wa uraisnchini Syria kwa zaidi ya asili mia 89 ya kura

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Urusi yashambulia maadui wa Assad Syria

Urusi imeanza kufanya mashambulizi ya anga dhidi ya wanaompinga rais wa Syria Bashar al-Assad

 

11 years ago

BBCSwahili

Bouteflika ashinda uchaguzi Algeria

Rais Abdelaziz Bouteflika ameshinda uchaguzi mkuu uliofanyika mnamo siku ya Alhamisi nchini Algeria na sasa atatawala kwa muhula wa nne.

 

11 years ago

BBCSwahili

Bilionea ashinda uchaguzi wa Ukraine

Matokeo ya kura yaliotangazwa nchini Ukraine yanaonyesha kuwa tajiri Petro Porishenko ameshinda awamu ya kwanza ya uchaguzi wa urais.

 

11 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi mkuu wafnyika Syria

Wakazi wa Damascus wameambia BBC kuwa wanampigia kura Rais Assad kwa sababu anapambana na tisho la ugaidi.

 

10 years ago

Vijimambo

Lungu ashinda uchaguzi wa urais Zambia

Edga lungu kulia aliyeshinda uchaguzi wa urasi nchini Zambia
Mgombea wa chama cha Patriotic Front Edga Lungu ameshinda uchaguzi wa urais nchini Zambia.
Tume ya uchaguzi nchini humo imesema kuwa Lungu amepata asilimia 48 ya kura zilizopigwa.
Alikabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa mgombea wa upinzani Hakainde Hichilema.Raia wa zambia wakati wa kampeni za ucvhaguzi wa urais
Wote walikuwa wameahidi kuboresha mifumo ya elimu na kubuni nafasi za ajira.
Uchaguzi huo uliandaliwa kufuatia kifo cha rais...

 

9 years ago

BBCSwahili

Ouattara ashinda uchaguzi Ivory Coast

Alassane Ouattara ameshinda uchaguzi wa urais nchini Ivory Coast kwa wingi wa kura.Matokeo yalitangazwa kupitia runinga huku rais huyo akishinda kwa asilimia 84.

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais Omar al Bashir ashinda uchaguzi

Rais wa Sudan, Omar al-Bashir amechaguliwa kwa muhula mwengine wa miaka mitano kuendelea kuiongoza nchi hiyo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Magufuli ashinda uchaguzi wa urais Tanzania

Mgombea wa urais kupitia tiketi ya chama cha CCM John Pombe Magufuli ndiye rais mteule wa taifa la tanzania baada ya kushinda uchaguzi mkuu uliokamilika.

 

11 years ago

BBCSwahili

Marekani yapinga uchaguzi wa Urais Syria

Msemaji wa Ikulu ya White House ametaja uchaguzi wa Urais uliopangwa kufanywa nchini Syria kama "Mzaha wa Demokrasia".

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani