BASI LACHOMWA MOTO NA WAANDAMANAJI MJINI BUJUMBURA, BURUNDI
![](http://api.ning.com:80/files/Oi8IGTb-jSIK*NKsuMwT3**ER6sTuipLpg8mnVoxd9AO*9qJxbTcilbm23HUQEcIOKwqdjPeIheihTTqDRJLsrpuqNfwYsvt/12.jpg?width=650)
Vurugu za kuchoma moto vitu mbalimbali zikiendelea. Waandamanaji wakiendeleza maandamano mjini Bujumbura. Magurudumu yakichomwa moto, barabara ikiwa imefungwa na waandamanaji. Bujumbura,…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV26 May
Vurugu zaendelea Burundi, Basi lachomwa moto.
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/05/23/150523093715_burundian_protests_640x360_reuters_nocredit.jpg)
Basi lachomwa Burundi
Basi moja la uchukuzi limechomwa moto mjini Bujumbura Burundi na waandamanaji waliorejea mabarabarani kupinga uamuzi wa rais Pierre Nkurunziza kuwania muhula wa tatu.
Waandamanaji wanachoma moto magurudumu haswa katika eneo la Kanyosha.
Kitongoji hicho kimekuwa kitovu cha maandamano haya dhidi ya awamu ya tatu ya rais Nkurunziza.
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/624/amz/worldservice/live/assets/images/2015/05/24/150524032622_burundi_protest_624x351_epa.jpg)
Maandamano mjini Bujumbura
Mwandishi wa BBC mjini Bujumbura Ismael Misigaro amesema milio ya risasi inasikika mjini humo.
Maandamano haya...
10 years ago
BBCSwahili25 May
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XkRrFz4ymKk*j8peVa1sCjggpkjIor7zz7xGFH-V2aUyZ8lTxBLbYoucWvREKnp60mBukoM7q04Gikb9gcgIArAfqADyhjP0/22.jpg?width=650)
MAANDAMANO YAIBUKA UPYA MJINI BUJUMBURA, BURUNDI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pHhBdYiNnuIalx21XIuFjsawGRQF26l61MzENlF8WOwJJqSthChfiwuyElWmGJPTTqDATjfcJcEXJnpBN5jX3LcXyIJmtfPH/burundi1.png?width=650)
MAREKANI YAFUNGA UBALOZI WAKE MJINI BUJUMBURA-BURUNDI
10 years ago
Habarileo22 Mar
Shamba la miwa lachomwa moto
SHAMBA la miwa inayokadiriwa kufikia tani 6,000 baada ya kuvunwa lenye ukubwa wa hekta 240, limechomwa moto na watu wasiojulikana na kusababisha hasara ya Sh milioni 280.2, mali ya wakulima wa wilaya ya Missenyi mkoani Kagera.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6ovfEf3pFLeig2G29BDKJrhGn1hzaO9*Il5Xg8h4xqkv1P1n56cuIoLSf61PCz4hN8akKw6C*xAN8-ZQaOeUmsuLu6vZUUPP/1.jpg)
BUNGE LA BURKINA FASO LACHOMWA MOTO
10 years ago
BBCSwahili16 Feb
Burundi yawaonya waandamanaji
10 years ago
BBCSwahili18 May
Polisi wakabiliana na waandamanaji Burundi
9 years ago
BBCSwahili08 Dec
Waandamanaji waachiliwa huru Burundi