Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAANDAMANO YAIBUKA UPYA MJINI BUJUMBURA, BURUNDI

Waandamanaji mjini Bujumbura wakikimbia hovyo baada ya kurushiwa risasi za moto na polisi.
Waandamanaji wakionesha msimamo wao wa kumtaka Rais Pierre Nkurunziza kutogombea tena nafasi hiyo muhula ujao.
Jeshi la Polishi na wanajeshi…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BASI LACHOMWA MOTO NA WAANDAMANAJI MJINI BUJUMBURA, BURUNDI

Vurugu za kuchoma moto vitu mbalimbali zikiendelea. Waandamanaji wakiendeleza maandamano mjini Bujumbura. Magurudumu yakichomwa moto, barabara ikiwa imefungwa na waandamanaji. Bujumbura,…

 

10 years ago

GPL

MAREKANI YAFUNGA UBALOZI WAKE MJINI BUJUMBURA-BURUNDI

Jengo la ubalozi wa Marekani nchini Burundi lililopo mjini Bujumbura. Ubalozi wa malekani nchini Burundi. Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, Jeff Rathke. Serikali ya Marekani kupitia Wizara yake ya Mambo ya Nje imetangaza kufunga ubalozi wake wa mjini Bujumbura,…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kashfa ya Kapuya yaibuka upya

TUHUMA za ubakaji zinazomkabili Mbunge wa Urambo Magharibi, Profesa Juma Kapuya, zimeibuka upya baada ya baadhi ya wananchi wa jimbo lake kumtaka ajitokeze hadharani kutoa kauli juu ya kashfa hiyo....

 

10 years ago

CloudsFM

10 years ago

GPL

POLISI WAWILI WAUAWA KWA GURUNETI BUJUMBURA, BURUNDI

Taswira za machafuko nchini Burundi wakati wa maandamano ya kupinga hatua ya Rais wa nchi hiyo Pierre Nkurunziza ya kuamua kugombea tena katika uchaguzi mkuu ujao nchini humo. Polisi wawili wameuawa katika machafuko yanayoendelea nchini Burundi katika mwendelezo wa maandamano ya wapinzani ya kupinga hatua ya Rais wa nchi hiyo Pierre Nkurunziza ya kuamua kugombea katika uchaguzi mkuu ujao nchini humo. Polisi ya Burundi imetangaza...

 

10 years ago

GPL

RAIS NKURUNZIZA AWAHUTUBIA WANAHABARI MJINI BUJUMBURA

RAIS Pierre Nkurunziza wa Burundi amewahutubia wanahabari mjini Bujumbura ikiwa ni mara ya kwanza tangu arejee nchini humo akitokea Tanzania baada ya jaribio la kutaka kumpindua kukwama. Rais huyo alirejea Burundi juzi Ijumaa ikiwa ni siku mbili tangu jaribio la kutaka kumpindua kugonga mwamba.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola yaibuka mjini Freetown

Maofisa wa afya nchini Sierra Leone wamesema kwamba kuna wagonjwa wawili wapya wanaougua ugonjwa wa ebola.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani