Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kashfa ya Kapuya yaibuka upya

TUHUMA za ubakaji zinazomkabili Mbunge wa Urambo Magharibi, Profesa Juma Kapuya, zimeibuka upya baada ya baadhi ya wananchi wa jimbo lake kumtaka ajitokeze hadharani kutoa kauli juu ya kashfa hiyo....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kashfa nzito yaibuka Bandari

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imeitaka menejimenti ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kurejesha nyongeza ya fedha zote za malipo ya safari ilizowalipa watendaji wake tangu mwaka 2011, baada ya kubainika kuwa zililipwa bila kuidhinishwa na Msajili wa Hazina.

 

10 years ago

GPL

MAANDAMANO YAIBUKA UPYA MJINI BUJUMBURA, BURUNDI

Waandamanaji mjini Bujumbura wakikimbia hovyo baada ya kurushiwa risasi za moto na polisi.
Waandamanaji wakionesha msimamo wao wa kumtaka Rais Pierre Nkurunziza kutogombea tena nafasi hiyo muhula ujao.
Jeshi la Polishi na wanajeshi…

 

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

Tanzania Daima

Denti wa Kapuya atinga Marekani

WAKATI polisi wakiendelea kukalia jalada la Mbunge wa Urambo Magharibi, Profesa Juma Kapuya (CCM), anayetuhumiwa kubaka na kutishia kuua binti wa miaka 16, sasa suala hilo limefikishwa katika ubalozi wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Kapuya, Misanga wampiga vijembe Sitta

 Utani wa Simba na Yanga ni sehemu ya kukumbukwa na Watanzania katika shughuli za Bunge Maalumu la Katiba linalotarajiwa kumalizika siku chache zijazo.

 

10 years ago

Habarileo

Kapuya apinga Kiswahili kutumika kufundishia

Mbunge wa Urambo Magharibi, Profesa Juma KapuyaSERIKALI imehadharishwa kutowatenga Watanzania na ulimwengu kwa kutekeleza sehemu ya Sera ya Elimu, inayotaka Kiswahili kiwe lugha ya kufundishia kutoka shule ya awali mpaka chuo kikuu.

 

9 years ago

Habarileo

Kapuya, Kagasheki na Zambi watupwa nje

WAZIRI katika Serikali ya Awamu ya Nne, Godfrey Zambi pamoja na waliokuwa mawaziri katika Serikali hiyo, Profesa Juma Kapuya na Balozi Khamis Kagasheki ni miongoni mwa wabunge waliotupwa nje katika matokeo ya ubunge yanayoendelea kutolewa baada ya Uchaguzi Mkuu wa Jumapili wiki hii.

 

10 years ago

Michuzi

uzinduzi wa kitabu kipya na yassini a.kapuya

Yassini A Kapuya Business Consultant, Author na mmliki wa  TBX Entrepreneurs Magazine Kuzindua kitabu chake cha Tatu.. Ni jinsi gani ya kuwa bingwa katika mauzo.  Ameandika kutokana na ujuzi ulio mpatia tuzo za mauzo bora  nyingi tu Marekani. 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani