Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


uzinduzi wa kitabu kipya na yassini a.kapuya

Yassini A Kapuya Business Consultant, Author na mmliki wa  TBX Entrepreneurs Magazine Kuzindua kitabu chake cha Tatu.. Ni jinsi gani ya kuwa bingwa katika mauzo.  Ameandika kutokana na ujuzi ulio mpatia tuzo za mauzo bora  nyingi tu Marekani. 

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

BBCSwahili

Kitabu kipya cha Game of Thrones kuchelewa

Mwandishi wa mwendelezo wa vitabu vinavyotumiwa katika filamu za Game of Thrones amesema kitabu kipya cha mwendelezo huo kitachelewa.

 

9 years ago

CCM Blog

TANGAZO LA KITABU KIPYA KUHUSU RAIS DK. MAGUFULI

Heri ya mwaka mpya. Nina furaha kuwafahamisha kuwa kitabu kipya, "Dokta John Pombe Magufuli: Safari ya Urais, Mafaniko na Changamoto katika Urais wake" sasa kinapatikana. Kitabu hiki ni mfululizo wa vitabu kadhaa ninavyotarajia kuvichapisha mwaka huu 2016. 
Wakati kitabu hiki kikiingia sokoni, kitabu kingine kuhusu taaluluma ya Usalama wa Taifa kipo katika hatua za mwisho, na matarajio ni kukiingiza sokoni mwishoni mwa mwezi huu.
Kitabu hiki cha Dokta Magufuli kina sura sita. Katika...

 

9 years ago

Dewji Blog

Tangazo la Kitabu kipya kuhusu Dokta Magufuli!!

 Heri ya mwaka mpya. Nina furaha kuwafahamisha kuwa kitabu kipya, “Dokta John Pombe Magufuli: Safari ya Urais, Mafaniko na Changamoto katika Urais wake” sasa kinapatikana. Kitabu hiki ni mfululizo wa vitabu kadhaa ninavyotarajia kuvichapisha mwaka huu 2016.    Wakati kitabu hiki kikiingia sokoni, kitabu kingine kuhusu taaluluma ya Usalama wa Taifa kipo katika hatua za mwisho, na matarajio ni kukiingiza sokoni mwishoni mwa mwezi huu.   Kitabu hiki cha Dokta Magufuli kina sura sita....

 

10 years ago

Michuzi

Kitabu Kipya cha Mhe. Hamisi Kigwangalla: "Kigwanomics and The Tanzania We Want: From Renaissance to Transformation"

Ndugu,
Ninafuraha isiyokadirika kwa hatimaye kufanikisha kazi niliyoianza takriban miaka minne iliyopita kuandika kitabu kinachoainisha mawazo yangu juu ya Tanzania tuitakayo, Tanzania ya mabadiliko, Tanzania ya mapinduzi kuelekea kupata maisha bora kwa kila mtu. Ndani yake nimejaribu kuelezea, kwa kadri nilivyojaaliwa, jukumu la kizazi chetu ni nini haswa? Misingi ya ukombozi wa kiuchumi na kijamii ni ipi haswa? Nini chanzo cha umaskini na utajiri wa nchi? Nini kifanyike ili tuvune na...

 

10 years ago

Habarileo

Uzinduzi wa kitabu cha kumlinda msichana Desemba 21

KANISA la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Usharika wa Gide, jijini Dar es Salaam limeandaa kitabu maalumu kuhusu msichana ambacho pamoja na masuala mengine, kinalenga kumwepusha na vishawishi na kumpotezea dira ya maisha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani