Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kapuya, Kagasheki na Zambi watupwa nje

WAZIRI katika Serikali ya Awamu ya Nne, Godfrey Zambi pamoja na waliokuwa mawaziri katika Serikali hiyo, Profesa Juma Kapuya na Balozi Khamis Kagasheki ni miongoni mwa wabunge waliotupwa nje katika matokeo ya ubunge yanayoendelea kutolewa baada ya Uchaguzi Mkuu wa Jumapili wiki hii.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

Yondani, Cannavaro watupwa nje Yanga

Beki tegemeo wa Yanga, Kelvin Yondani Na Waandishi Wetu
WAKATI homa ya pambano la watani wa jadi, Simba na Yanga, ikizidi kupamba moto, mabeki tegemeo wa Yanga, Kelvin Yondani na nahodha, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ wametupwa nje ya kikosi hicho baada kushindwa kufanya mazoezi na timu hiyo kutokana na kupata majeraha. Katika mazoezi ya jana asubuhi yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Boko Veterani, Dar, Yondani alianza...

 

10 years ago

Michuzi

KAGERA WATUPWA NJE YA MASHINDANO YA WANAWAKE TAIFA CUP KWA MATUTA 4-3 NA TIMU YA MWANZA


Na Faustine Ruta, MwanzaTimu ya Wanawake kutoka Mkoa wa Kagera imetupwa nje ya Mashindano kwa Matuta baada ya kumaliza mtanange wao kwa sare ya Nyumbani ya Ushindi wa 2-1 na  Ugenini,CCM Kirumba Mwanza na Matuta kupigwa na Timu ya Mwanza kuibuka na Ushindi wa bao 4-3. 


Mchezo huo uliochezwa katika Uwanja wa CCM Kirumba Timu ya Mwanza ndio walianza kupata bao mapema dakika ya 2 kupitia kwa mchezaji wao matata Meriam Kimbuya (10) kwa kukatiza katikati ya mabeki na kufunga bao hilo la kwanza....

 

11 years ago

Mwananchi

Zambi ahimiza ushirika

 Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Godfrey Zambi, amewataka wakulima nchini kuanzisha vyama vya ushirika ili waweze kukopesheka kwa urahisi.

 

11 years ago

Mwananchi

Zambi: Serikali mbili ni maagizo ya JK

>Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mbeya, Godfrey Zambi amefichua sababu za chama hicho kushikilia msimamo wa muundo wa serikali mbili katika mjadala wa Katiba Mpya, akisema ni “maagizo ya mwenyekiti wa CCM”.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kwanini Chiza asiyaige ya Zambi katika ushirika?

KUNA usemi wa Kihaya wa kwamba: “Kato azalwa Kakuru asigara omunda”, ukiwa na maana kwamba Doto hutangulia kutoka nje ndipo anapofuata Kulwa. Wahaya wana imani kwamba katika kuzaliwa mapacha anayetangulia...

 

11 years ago

Mwananchi

Zambi: Ushabiki wa siasa si suluhu ya kero za vijana

Katika shughuli za kisiasa si jambo la ajabu kuona kuwa vijana ndiyo wamekuwa wakitumika kwa wingi hapa nchini na kwingineko kuwapigia kampeni viongozi, kufanya propaganda za kampeni,  kupiga na kulinda kura.

 

11 years ago

Michuzi

WANANCHI WA MKOA WA LINDI WAASWA KUJIUNGA NA CHF-ZAMBI

SERIKALI imeutaka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kuendesha huduma za elimu ya kuepukana na magonjwa yasiyoambukiza katika mikoa yote hususani vijijini pamoja na upimaji wa afya bure ili wananchi watambue afya zao na hatimaye kuongeza uzalishaji katika sekta za kilimo na uvuvi na biashara kwa ujumla.
Agizo hilo lilitolewa na Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Godfrey Zambi wakati wa maonesho ya Nane Nane Kitaifa yanayoendelea mkoani Lindi ambapo Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya...

 

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

Tanzania Daima

Kashfa ya Kapuya yaibuka upya

TUHUMA za ubakaji zinazomkabili Mbunge wa Urambo Magharibi, Profesa Juma Kapuya, zimeibuka upya baada ya baadhi ya wananchi wa jimbo lake kumtaka ajitokeze hadharani kutoa kauli juu ya kashfa hiyo....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani