Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vurugu zaendelea Burundi, Basi lachomwa moto.


Basi lachomwa Burundi

Basi moja la uchukuzi limechomwa moto mjini Bujumbura Burundi na waandamanaji waliorejea mabarabarani kupinga uamuzi wa rais Pierre Nkurunziza kuwania muhula wa tatu.

Waandamanaji wanachoma moto magurudumu haswa katika eneo la Kanyosha.

Kitongoji hicho kimekuwa kitovu cha maandamano haya dhidi ya awamu ya tatu ya rais Nkurunziza.


Maandamano mjini Bujumbura

Mwandishi wa BBC mjini Bujumbura Ismael Misigaro amesema milio ya risasi inasikika mjini humo.

Maandamano haya...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BASI LACHOMWA MOTO NA WAANDAMANAJI MJINI BUJUMBURA, BURUNDI

Vurugu za kuchoma moto vitu mbalimbali zikiendelea. Waandamanaji wakiendeleza maandamano mjini Bujumbura. Magurudumu yakichomwa moto, barabara ikiwa imefungwa na waandamanaji. Bujumbura,…

 

10 years ago

BBCSwahili

Basi lachomwa Burundi

Waandamanaji wamechoma basi moja la uchukuzi mjini Bujumbura

 

10 years ago

Habarileo

Shamba la miwa lachomwa moto

SHAMBA la miwa inayokadiriwa kufikia tani 6,000 baada ya kuvunwa lenye ukubwa wa hekta 240, limechomwa moto na watu wasiojulikana na kusababisha hasara ya Sh milioni 280.2, mali ya wakulima wa wilaya ya Missenyi mkoani Kagera.

 

10 years ago

GPL

BUNGE LA BURKINA FASO LACHOMWA MOTO

Waandamanaji wakilitazama bunge la Burkina Faso likiteketea kwa moto. Waandamanaji hao wakishangilia baada ya kuchoma bunge.…

 

10 years ago

StarTV

Vurugu za kumpinga Rais Kabila zaendelea DRC.

Polisi katika Jamuhuri ya kidemokrasi ya Congo, wamefyatua risasi hewani ili kuwatawanya waandamanaji waliokuwa wamekusanyika katika mji mkuu Kinshasa kupinga sheria mpya ya uchaguzi.

Serikali inasema kuwa watu wanne walifariki katika vurugu za Jumatatu ingawa upinzani unasema idadi huo huenda ikwa kujuu kuliko iliyonakiliwa.

Wanafunzi wameweka vizuizi barabarani na pia wameshuhjudiwa wakichoma magurudumu, katika barabara zinazoelekea katika chuo kikuu mjini humo.

Wanatuhumu wanasia...

 

10 years ago

Vijimambo

DEREVA WA BASI LA SHABIBY AWEKWA KITI MOTO NA ABIRIA BAADA YA BASI HILO KUHARIBIKA NA YEYE KUWAKIMBIA ABIRIA

Gari lenye namba za usajili T 607 CVL likiwa limeegeshwa pembezoni mwa barabara baada ya kuharibika.

Leo hii asubuhi nikitokea Singida kwenda Dar kwa basi la Shabiby Line, lenye nambari za usajili T607 CVL iliondoka stendi ya Misuna Singida mnaomo saa 12.48(moja kasoro 12) za asubuhi. Safari ilikuwa nzuri mpaka gari ilipofika nje kidogo ya Manyoni kuelekea Dodoma mnamo saa 2.30 kwa muda wa sekunde chache mpaka dkk moja hivi ulisikika mlio usio wa kawaida ingawa dereva wa gari hilo aliendelea...

 

5 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi wa Burundi 2020: Vurugu na mauaji yakumba kampeini za uchaguzi Burundi

Polisi nchini Burundi wamesema kuwa wamewakamata watu wapatao 64 kutoka chama kikuu cha siasa cha CNL, kumekuwa na ghasia pamoja na mauaji dhidi ya wanachama wa chama kikuu katika kampeni za kuelekea uchaguzi mkuu wa rais tarehe 20 Mei.

 

10 years ago

Habarileo

Moto waua abiria 18 wa basi Morogoro

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Leonald PauloWATU 18 wamekufa papo hapo kwa kuteketea kwa moto na wengine 11 wamejeruhiwa vibaya kutokana na basi walilokuwa wakisafiria kugongana na lori aina ya Mitsubishi Fuso, katika kijiji cha Msimba tarafa ya Mikumi, barabara kuu ya Morogoro – Mbeya.

 

11 years ago

GPL

MASHABIKI BRAZIL WACHOMA MOTO BASI

Basi lililochomwa na mashabiki wa Brazil waliokuwa na hasira likiteketea kwa moto. Vikosi vya zimamoto vikijaribu kuzuia moto huo.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani