Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MASHABIKI BRAZIL WACHOMA MOTO BASI

Basi lililochomwa na mashabiki wa Brazil waliokuwa na hasira likiteketea kwa moto. Vikosi vya zimamoto vikijaribu kuzuia moto huo.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

CloudsFM

Mashabiki Brazil walichoma moto Basi

Baada ya kubugizwa mabao 7-1 na Ujerumani katika mechi ya nusu fainali ya Kombe la Dunia 2014, mashabiki wa Brazil wameamua kuchoma moto basi.

Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo huko Sao Paulo nchini humo baada ya mechi hiyo iliyopigwa Belo Horizonte.

Mashabiki walichukua hatua hiyo kutokana na hasira za timu yao kuondolewa katika michuano hiyo inayofanyika nyumbani kwao.

 

11 years ago

BBCSwahili

Brotherhood wachoma moto vyuo vikuu

Kikundi cha Muslimu Brotherhood kilichopigwa marufuku nchini Misri kimechoma moto vyuo vikuu viwili katika mji mkuu wa Cairo.

 

9 years ago

Mwananchi

CCM, Chadema wapigana, wachoma moto maduka

Zikiwa zimebakia siku saba kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu, hali ni tete katika Kijiji cha Nyamiyaga, Kata ya Bugomora wilayani Kyerwa, Mkoa wa Kagera baada ya wafuasi wanaodaiwa kuwa wa vyama vya CCM na Chadema kupigana kisha kuharibu magari, pikipiki na kuchoma moto maduka.

 

10 years ago

Mwananchi

Moto wachoma nyaraka, waahirisha kesi ya Kaseja, Yanga

>Kesi inayomkabili kipa Juma Kaseja dhidi ya Yanga kumeilazimisha kupigwa kalenda hadi Machi 10, baada ya nyaraka zake  kutetea kwa moto.

 

10 years ago

Mwananchi

Mwanafunzi agongwa, wakazi wachoma moto kituo cha polisi

Dar es Salaam. Wakazi wa Bunju ‘A’, wamechoma kituo cha polisi cha eneo hilo kwa kile kilichodaiwa kushindwa kuelewana na askari baada ya mwanafunzi wa darasa la nne kugongwa na gari na kufariki dunia.

 

10 years ago

Michuzi

Wawili wachoma moto kwa tuhuma za uwizi huko Tabata jijini Dar

Vijana wawili wamechomwa moto katika eneo la Tabata Liwiti wakituhumiwa kuiba pochi ya mwanamke katika eneo hilo,Walioshuhudia tukio hilo walisema kuwa lilitokea asubuhi ya jana (Jumamosi) ambapo walikuwa watatu wakafukuzwa na watu mbalimbali.
Alisema kuwa walipokamatwa walipigwa na kisha kuchomwa moto.
"Matukio haya yamekuwa yakitokea mara kwa mara hapa Tabata na wezi wanaoiba kwa kutumia pikipiki wamekuwa ni kero kubwa sasa na kila wakikamatwa na kupelekwa vituoni...

 

10 years ago

Vijimambo

DEREVA WA BASI LA SHABIBY AWEKWA KITI MOTO NA ABIRIA BAADA YA BASI HILO KUHARIBIKA NA YEYE KUWAKIMBIA ABIRIA

Gari lenye namba za usajili T 607 CVL likiwa limeegeshwa pembezoni mwa barabara baada ya kuharibika.

Leo hii asubuhi nikitokea Singida kwenda Dar kwa basi la Shabiby Line, lenye nambari za usajili T607 CVL iliondoka stendi ya Misuna Singida mnaomo saa 12.48(moja kasoro 12) za asubuhi. Safari ilikuwa nzuri mpaka gari ilipofika nje kidogo ya Manyoni kuelekea Dodoma mnamo saa 2.30 kwa muda wa sekunde chache mpaka dkk moja hivi ulisikika mlio usio wa kawaida ingawa dereva wa gari hilo aliendelea...

 

10 years ago

Mwananchi

Wananchi wavamia kituo cha polisi, wachoma moto magari manne, wafunga barabara kwa saa 5

>Polisi wa wa kituo cha Ilula kilicho Kilolo mkoani Iringa wanatuhumiwa kuua mtu mmoja, jambo lililoamsha vurugu kubwa zilizosababisha magari mawili kuchomwa moto.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Breaking News: Vijana wa UKAWA Mwanza Wachoma MOto Masanduku Yaliopigwa Kura Za MAGUFULI na Wamshikilia Dereva Aliebeba Masanduku hayo

HABARI NJEMA…. Tumepokea taarifa kutoka Mwanza, Geita, Shinyanga, Mara na Kagera muda huu saa 4.15 usiku.. Masanduku 3,470 yamekamatwa kwenye magari ya serikali (TANROADS) Yakiwa na jumla ya kura 1,600,00 za Magufuli. Vijana wamekubaliana walale vituoni […]

The post Breaking News: Vijana wa UKAWA Mwanza Wachoma MOto Masanduku Yaliopigwa Kura Za MAGUFULI na Wamshikilia Dereva Aliebeba Masanduku hayo appeared first on Mzalendo.net.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani