Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Brotherhood wachoma moto vyuo vikuu

Kikundi cha Muslimu Brotherhood kilichopigwa marufuku nchini Misri kimechoma moto vyuo vikuu viwili katika mji mkuu wa Cairo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

BARAZA LA VYUO VIKUU AFRIKA MASHARIK(IUCEA)KUWA NA MAONESHO YA VYUO VIKUU UGANDA

Katibu Mtendaji wa Baraza la Vyuo Vikuu Afrika Mashariki(IUCEA)Profesa Mayunga Nkunya akizungumza na waandishi wa habari Jijini Arusha jana kuhusu hali ya wahitimu katika nchi za Afrika Mashariki na ushirikiano wa Baraza la Wafanyabiashara Afrika Mashariki(EABC) kuwajengea uwezo wahitimu ili kumudu soko la ajira .Taasisi hiyo itakuwa na maonesho ya vyuo katika nchi za EAC  Kampala ,Uganda mwezi Oktoba ,2015.Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Wafanyabiashara wa Afrika...

 

10 years ago

Vijimambo

TAMKO LA UONGOZI WA SERIKALI ZA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU DODOMA KULAANI KUHUSISHWA KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU VYA DODOMA NA KUMUOMBA MH. LOWASA KUGOMBEA URAIS.

Huyu si ndiyo alisema ni raisi wa wanafunzi na sauti zao hapa chini iweje leo waandike barua ya kujikana?. Siasa za bongo ni chenga kweli yani wala siyo {HD}

Tamko la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Dodoma Kulaani Kuhusishwa Kwao Kumshawishi Lowassa Kuchukua Form ya Uraisi
Ndugu Waandishi wa habari, Tunapenda kutanguliza shukrani za dhati kwenu kwa kufika katika eneo hili kutusikiliza.Mbele yenu ni viongozi wa serikali za wanafunzi kutoka Vyuo vikuu mbalimbali vilivyopo mkoani Dodoma.Ndugu waandishi...

 

11 years ago

GPL

PSPF YATOA MAFUNZO JINSI YA KUJIUNGA NA UWANACHAMA WAKATI WA MAONYESHO YA VYUO VYA ELIMU YA JUU YALIYOANDALIWA NA TUME YA VYUO VIKUU (TCU)

Afisa Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Rahma Ngassa (Kulia), akiwaeleza wanafunzi nhawa jinsi ya kujaza fomu za kujiunga na uanachama wa Mfuko huo, wakati wa maonyesho ya vyuo vya elimu ya juu yaliyoandaliwa na Tume ya vyuo vikuu (TCU), kwa kushirikiana na wizara ya elimu na mafunzo yan ufundi stadi. Maonyesho hayo ya siku tatu yamefunguliwa jana kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Afisa Uendeshaji wa...

 

11 years ago

GPL

MASHABIKI BRAZIL WACHOMA MOTO BASI

Basi lililochomwa na mashabiki wa Brazil waliokuwa na hasira likiteketea kwa moto. Vikosi vya zimamoto vikijaribu kuzuia moto huo.…

 

9 years ago

Mwananchi

CCM, Chadema wapigana, wachoma moto maduka

Zikiwa zimebakia siku saba kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu, hali ni tete katika Kijiji cha Nyamiyaga, Kata ya Bugomora wilayani Kyerwa, Mkoa wa Kagera baada ya wafuasi wanaodaiwa kuwa wa vyama vya CCM na Chadema kupigana kisha kuharibu magari, pikipiki na kuchoma moto maduka.

 

9 years ago

BBCSwahili

Vyuo vikuu Ghana vyahusishwa na IS

Ghana imeanzisha uchunguzi kuhusiana na madai kuwa vyuo vikuu vimetumika kama vituo vya kuwasajili wapiganaji wa Islamic State

 

11 years ago

Habarileo

'Wahitimu vyuo vikuu wajiamini'

VIJANA wahitimu wa vyuo vikuu wameshauriwa kuingia katika soko la ajira wakijiamini na kujipambanua kiuwezo, kutokana na elimu waliyopata wakiwa chuoni. Makamu Mkuu Chuo Kikuu Mzumbe, Kampasi ya Mbeya, Profesa Joseph Kuzilwa, alisema hayo mwishoni mwa wiki katika mahafali ya 12 ya chuo hicho.

 

11 years ago

Habarileo

‘Wahitimu vyuo vikuu hawaajiriki’

Mkurugenzi wa Elimu ya Juu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sylivia TemuUBORA hafifu wa wahitimu wa vyuo vikuu kiasi cha kusababisha wengine kutoajirika, vimeigusa serikali na sasa inatarajia kuja na mpango wa kukabili hali hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Moto wachoma nyaraka, waahirisha kesi ya Kaseja, Yanga

>Kesi inayomkabili kipa Juma Kaseja dhidi ya Yanga kumeilazimisha kupigwa kalenda hadi Machi 10, baada ya nyaraka zake  kutetea kwa moto.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani