Bayern, Atletico zasonga mbele
Mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Bayern Munich pamoja na Atletico Madrid, zimekuwa timu za kwanza kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili02 Dec
Sudan, Rwanda zasonga mbele Cecafa
Timu mbili za Sudan na Rwanda zimefuzu kwa hatua ya nusu fainali ya michuano ya Cecafa
10 years ago
Vijimambo28 Jan
AFCON: Ghana na Algeria zasonga mbele
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2014/06/30/140630051002_ghana_football_team_world_cup_624x351_afp.jpg)
Ghana na Algeria zimesonga mbele hatua ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kutoka kundi C.
Ghana imesonga mbele hatua hiyo baada ya kuibamiza Afrika Kusini Bafabana kwa jumla ya magoli mawili kwa moja.
Goli la kwanza la Ghana limefungwa na John Boye kabla ya lile lilolowavukisha Ghana kwenda hatua ya robo fainali lilil0tiwa wavuni na Andre Ayew katika dakika ya 83.
Goli pekee la Afrika Kusini limefungwa na Mandla Misango.
Nayo Algeria...
10 years ago
BBCSwahili15 Jan
Tottenham,Bradford,Southampton zasonga mbele
Timu za Tottenham, Bradford na Southampton zilishinda michezo yao ya Marudiano na kuingia Raundi ya 4 ya kombe la FA.
10 years ago
BBCSwahili26 Jan
Equatorial Guinea na Congo zasonga mbele
Wenyeji Equatoria Guinea na Congo Brazaville zimekuwa timu za kwanza kusonga mbele katika hatua ya robo fainali kutoka kundi A ya Michuano ya Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika
10 years ago
BBCSwahili11 Dec
Timu 16 zasonga mbele klabu bingwa Ulaya
Michezo 8 ya kuhitimisha hatua ya makundi kwa michuano ya klabu bigwa barani ulaya ilipigwa hapo jana.
11 years ago
Mwananchi12 Apr
Chelsea v Atletico, Real v Bayern
Mabingwa watetezi Bayern Munich watawavaa mabingwa mara tisa Real Madrid wakati Chelsea wataivaa Atletico Madrid kwa mujibu wa ratiba ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa iliyopangwa jana.
11 years ago
Mwananchi17 Mar
Bayern, Real, Atletico juu kwa juu
Ujerumani. Vinara wa Bundesliga, Bayern Munich wameweka rekodi ya kutofungwa mechi 50 za mashindano yote msimu huu baada ya kushinda mabao 2-1 dhidi ya Bayer Leverkusen.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania