BAYPORT FINANCIAL SERVICES YAZINDUA TOVUTI YA MIKOPO YA HARAKA
Msimamizi wa michezo ya kubahatisha kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, Mrisho Milao kulia akipata maelekezo kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Mauzo ya mtandao Online) wa Bayport Financial Services, Zainabu Kalufya, katika uzinduzi wa huduma mpya ya mikopo ya haraka kwa njia ya mtandao kwa www.kopabayport.co.tz, uzinduzi uliofanyika leo Makao Makuu ya Bayport, jijini Dar es Salaam. Mteja atakayekopa kwa njia ya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziBayport Financial Services yazindua huduma mpya ya mikopo ya viwanja kwa Watanzania wote
Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamKATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services, inayojihusisha na mikopo, imeanzisha huduma mpya ya kukopesha viwanja...
10 years ago
Michuzi
Bayport Financial Services yazidi kuchanja mbuga, yazindua tawi la 80 wilayani Ileje, mkoani Mbeya

10 years ago
Michuzi
TAASISI ya kifedha ya Bayport Financial Services yazindua tawi lake jipya wilayani Kwimba jijini Mwanza

10 years ago
Michuzi
Bayport Financial Services yamfuta machozi Latifa Said

Na Mwandishi Wwetu, Dar es SalaamTAASISI ya Kifedha ya Bayport Financial Services, leo jioni imemkabidhi...
10 years ago
Michuzi
TAASISI ya Kifedha ya Bayport Financial Services yafutulisha wadau wake

TAASISI ya Kifedha ya Bayport Financial Services, jana imefuturisha wadau wake wanaoendelea na mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan, huku ikiwataka kudumisha amani, umoja, upendo na mshikamano kwa Watanzania wote. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Utawala wa...
10 years ago
GPLBAYPORT FINANCIAL SERVICES YAENDESHA SHINDANO LA KUKOPA PESA KWA NJIA YA MTANDAO
10 years ago
Michuzi
Bayport Financial Services yafutulisha wadau wake, DC Kilwa na Balozi wetu Saudi Arabia wajumuika pamoja

Viongozi wa Taasisi ya Bayport Financial Services na wageni waalikwa...
10 years ago
MichuziBayport yazindua huduma ya mikopo kwa njia ya mtandao
Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamTAASISI ya Kifedhaya Bayport Financial...
11 years ago
Michuzi.jpg)
Bayport Tanzania yazindua huduma mpya ya Mikopo ya bidhaa