Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bbc swahili: Habari kwa njia ya kisasa

BBC Swahili yaanza kutumia Teknolojia Shirikishi kutoa habari zake kwenye simu yako ya mkononi ili kukurahisishia usomaji wako

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

BBC Swahili yafungua ofisi za kisasa nchini

>Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), limefungua ofisi zake jijini hapa kwenye Jengo la Tangaza, Mikocheni, zenye vifaa vya kisasa vilivyogharimu Dola 1 milioni za Marekani.

 

11 years ago

Dewji Blog

BBC Swahili yazindua studio nchini, Kipindi cha asubuhi cha amka na BBC kuruka moja kwa moja kutokea Dar

1

Mkuu wa Habari wa BBC Idhaa ya Ulimwengu,Bi. Nikki Clarke akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Kituo cha kurushia Matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya BBC jijini Dar es Salaam,katika Jengo lao lililopo Mikocheni.Kushoto ni Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili ya BBC, Ali Saleh.(Picha zote na Othman Michuzi).

BBC Idhaa ya Ulimwengu, imezindua ofisi zake jijini Dar es Salaam. Ofisi za Dar es Salaam zina studio ambazo zinatumika kuandaa matangazo maarufu ya redio ya asubuhi, Amka na BBC, na pia...

 

10 years ago

Michuzi

LHRC WAJITOA KUFANYA UANGALIZI UCHAGUZI WA JUMAPILI KWA NJIA ZA KISASA,TIZAMA WATAKAVYOFANYA KAZI HAPA

Mkuu wa dawati la uangalizi wa chaguzi na bunge LHRC KHAMIS MKINDI akizungumza na wnahabari juu ya mfumo huo ambao watautumia katika uchaguzi huo unaotarajiwa kuanza mwishoni mwa wiki huu siku ya jumapili

Na Exaud mtei
Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa nchini Tanzania uchaguzi unaotarajiwa kufanyika siku ya jumapili ya mwisho wa wiki hii,kituo cha sheria na haki za binadamu LHRC leo kimetangaza kufanya uangalizi wa uchaguzi huo kwa njia ya TEHEMA yaani ICT-election monitoring katika mikoa...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

BBCSwahili

Nafasi ya kazi BBC Swahili

BBC Swahili ofisi ya Nairobi inamtafuta mwandishi habari mwenye uwezo wa kuripoti kwa lugha ya kiingereza na kiswahili

 

11 years ago

Bongo5

Arnold Kayanda ajiunga na BBC Swahili

Habari njema kwa mashabiki wa aliyekuwa mtangazaji wa kituo cha Radio Clouds FM, Arnold Kayanda ni kuwa hivi karibuni ataanza kusikika tena Radioni baada ya kujiunga na Shirika la Utangazaji la BBC Swahili. Baruan Muhuza, Regina Mwalekwa na Arnold Kayanda Kayanda ambaye amejipatia umaarufu zaidi kupitia vipindi mbalimbali vya Clouds kikiwemo kipindi cha Top 20 […]

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani