LHRC WAJITOA KUFANYA UANGALIZI UCHAGUZI WA JUMAPILI KWA NJIA ZA KISASA,TIZAMA WATAKAVYOFANYA KAZI HAPA
Mkuu wa dawati la uangalizi wa chaguzi na bunge LHRC KHAMIS MKINDI akizungumza na wnahabari juu ya mfumo huo ambao watautumia katika uchaguzi huo unaotarajiwa kuanza mwishoni mwa wiki huu siku ya jumapili
Na Exaud mtei
Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa nchini Tanzania uchaguzi unaotarajiwa kufanyika siku ya jumapili ya mwisho wa wiki hii,kituo cha sheria na haki za binadamu LHRC leo kimetangaza kufanya uangalizi wa uchaguzi huo kwa njia ya TEHEMA yaani ICT-election monitoring katika mikoa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV21 Oct
Waangalizi wa EAC waahidi kufanya kazi kwa kufuata sheria katika Uchaguzi mkuu.
Timu ya Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu Tanzania kutoka nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), imezinduliwa jijini Dar es Salaam na kusema itafanya kazi yake kwa kufuata sheria za nchi na kanuni za jumuiya hiyo.
Timu hiyo ina jumla ya waangalizi 67 wa kutoka nchi NNEe kati ya tano ambao ni Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi, Mwenyekiti akiwa Makamu wa Rais wa zamani wa Kenya, Moody Awori.
Waangalizi hao miongoni mwao ni wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Tume za Taifa za Uchaguzi,...
5 years ago
BBCSwahili18 Mar
Coronavirus: Njia tano za kufanya kazi kutoka nyumbani
9 years ago
Bongo517 Sep
Njia za kukusaidia kufanya mabadiliko hata kama kubadilika ni kazi ngumu
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-NY0_pXMwCZs/XqgpndQvHII/AAAAAAAA34Q/1QCq1TFqoqgeAMzy0et4ePVm6Wk5YNK7wCNcBGAsYHQ/s72-c/haki.jpg)
LHRC KUZINDUA RIPOTI YA HAKI ZA BINADAMU TANZANIA 2019 KWA NJIA YA MTANDAO
![](https://1.bp.blogspot.com/-NY0_pXMwCZs/XqgpndQvHII/AAAAAAAA34Q/1QCq1TFqoqgeAMzy0et4ePVm6Wk5YNK7wCNcBGAsYHQ/s640/haki.jpg)
RIPOTI imepangwa kuzinduliwa Jumatano, Aprili 29, 2020 kupitia mtandao wa YouTube (Haki TV), mtandao wa Zoom na mitandao ya Twitter, Facebook na Instagram.
Kwa mujibu wa LHRC, hii ni mara ya kwanza kwa shirika hilo la utetezi wa haki za binadamu hapa nchini kuzindua ripoti kwa njia ya kidigitali tangu walipoanza kuchapisha ripoti hiyo mwaka...
11 years ago
CloudsFM10 Jun
NGOMA YA PROTOKO YA VICTORIA KIMANI YAMFUNGULIA NJIA PRODUCER TUDDY THOMAS KUFANYA KAZI NA WASANII WAKUBWA
Producer wa zamani wa studio ya Ngoma Records, Tuddy Thomas ambaye siku hizi anapatikana ndani ya studio ya nyumba ya vipaji Tanzania (THT) amefunguka kuwa wimbo aliomtengenezea msanii kutoka record label ya Chocolate City nazungumzia Prokoto ya Victoria Kimani , kupitia ngoma hiyo Tuddy amesema kitabu chake cha bookings kimejaa majina ya wasanii wakubwa kutoka nje ya Tanzania wanaotaka kufanya kazi na yeye.
11 years ago
BBCSwahili17 Dec
Bbc swahili: Habari kwa njia ya kisasa
10 years ago
Bongo Movies23 Jan
Hapa na Pale: Nimekuja Kufanya Kazi Sio Kuuza Sura Wala Kujiuza!!!!-Ester
Mrembo na muigizaji wa filamu anayekuja kwa kasi, Ester Kiama amefunguka kuwa, wanaodhani ameingia kwenye fani ya uigizaji ili kutafuta wanaume wamebugi kwa kuwa yeye siyo mburula na hajui hata anaanzaanzaje kufanya hivyo.
Akizungumzia usumbufu anaoupata kutoka kwa vidume, Ester alisema wakati alipokuwa nje ya fani alikuwa hapati usumbufu lakini sasa ameamua kuonyesha kipaji chake anaonekana kama ameingia kujiuza kama wanavyofanya baadhi ya wasanii wasiojitambua.
“Mimi bwana siyo mburula,...
10 years ago
BBCSwahili22 May
Uchaguzi FIFA,wawili wajitoa
10 years ago
BBCSwahili21 May
Ethiopia tayari kwa uchaguzi jumapili