Hapa na Pale: Nimekuja Kufanya Kazi Sio Kuuza Sura Wala Kujiuza!!!!-Ester
Mrembo na muigizaji wa filamu anayekuja kwa kasi, Ester Kiama amefunguka kuwa, wanaodhani ameingia kwenye fani ya uigizaji ili kutafuta wanaume wamebugi kwa kuwa yeye siyo mburula na hajui hata anaanzaanzaje kufanya hivyo.
Akizungumzia usumbufu anaoupata kutoka kwa vidume, Ester alisema wakati alipokuwa nje ya fani alikuwa hapati usumbufu lakini sasa ameamua kuonyesha kipaji chake anaonekana kama ameingia kujiuza kama wanavyofanya baadhi ya wasanii wasiojitambua.
“Mimi bwana siyo mburula,...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo517 Oct
Nay wa Mitego: Mpango wa kufanya filamu na Diamond upo pale pale
10 years ago
Bongo Movies08 Apr
Ester Kiama: Nammeneji Tu Dude Wala Si Mchepuko Wake
Baada minong’ono kuzagaa kila kona kuwa kuna uhusiano wa kimapenzi kati ya mwigizaji wa kike Ester Kiama na muongozaji na mwigizaji Kulwa Kikumba, mwanadada huyo amekanusha na kudai kuwa yeye ni meneja tu wa msanii huyo na anamsimamia kurudisha Bongo Dar es salaam.
Kweli nipo karibu sana na Dude kikazi na si kimapenzi kama wengine wanavyofikiria, nammeneji tu katika uwezeshaji wa kurudisha kipindi chake cha Bongo Dar es Salaam na masuala ya filamu, tumerekodi sinema yangu ya Ngoma...
11 years ago
Michuzi10 Mar
SIJAJA KUFANYA KAMPENI JIMBO LA KALENGA,NIMEKUJA KUTOA TAHADHARI TU-MAKAMU MWENYEKITI CCM, PHILIP MANGULA.
10 years ago
Michuzi13 Dec
LHRC WAJITOA KUFANYA UANGALIZI UCHAGUZI WA JUMAPILI KWA NJIA ZA KISASA,TIZAMA WATAKAVYOFANYA KAZI HAPA
Na Exaud mtei
Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa nchini Tanzania uchaguzi unaotarajiwa kufanyika siku ya jumapili ya mwisho wa wiki hii,kituo cha sheria na haki za binadamu LHRC leo kimetangaza kufanya uangalizi wa uchaguzi huo kwa njia ya TEHEMA yaani ICT-election monitoring katika mikoa...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar26 Sep
UCHAGUZI UTAKUWA HURU LAKINI SIO WA HAKI WALA HALALI.
Hakuna tena miujiza wala geni katika kufahamu hali halisi ya uchaguzi Zanzibar ikiwa mfuatiaji wa chaguzi zetu zote zilizo pita anaweka kumbukumbu zake vizuri, kuanzia sura,vitendo na kauli za viongozi wetu wote kuanzia wale wa Tume […]
The post UCHAGUZI UTAKUWA HURU LAKINI SIO WA HAKI WALA HALALI. appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Michuzi10 Oct
NEC:VIFAA VILIVYOKAMATWA SIO BVR, WALA HAVIHUSIANI VYOVYOTE NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI
![Jaji mstaafu Damian Lubuva akizungumza na viongozi wa Chadema. Kutoka kulia ni Wakili wa chama hicho, John Malya na Reginald Munisi](https://ci6.googleusercontent.com/proxy/jLtE2biSDW_Y_Ng4FizXZXBijoRBBntzWb_mcRq59Lx4kkMy2rfhhKzDmfwVrEU3I8MSN944V1ilLTRXlDhhk_qF4LUZBB0M3MaO4tSnBzLzqpcIUABP2op2-EIHAwdAhDuB2bB9SWmg=s0-d-e1-ft#http://mwanahalisionline.com/wp-content/uploads/2015/10/Lubuva-na-Malya-620x308.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/alJLWH62eMRe0KbYwsTbPfXiNUQdOMW9JT0JS*xfevSgiwlKp2tgpokvxEYG0SuXmZaF73drJHCQgH7dfycZMfemWGyCmrJA/1.jpg)
Hapa Emerson, pale Tegete …
10 years ago
Bongo Movies26 Jan
Hapa na Pale: Amanda Ajipoza Machungu na Paka!!
Mrembo na mwigizaji wa filamu, Sabrina Poshi ‘Amanda’ ameonekana kama anajipoza machungu kwa kugeuza paka kuwa kama mtoto wake kwa kumpakata na kumtunza kama binadamu.
Akipiga stori na GPL, Amanda alisema amefikia hatua hiyo kutokana kwa sababu anapenda sana watoto hivyo kwa kuwa hajajaliwa kuwapata ndiyo maana ameamua kumtunza paka huyo mdogo mwenye miezi miwili ambapo anampa mahitaji muhimu ikiwa ni pamoja na kumpakata kama mtoto.
“Jamani haka ndiyo kabebi kangu ninakapenda sana na...