Uchaguzi FIFA,wawili wajitoa
Wagombea wawili kati ya wanne waliojitokeza kuwania urais wa shirikisho la vyama vya Soka Duniani FIFA wamejitoa katika kinyang'ang'anyiro hicho.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili12 Jan
Wanawake wawili wajitoa muhanga Nigeria
Watu 19 wapoteza maisha kaskazini Mashariki mwa Nigeria baada ya Wanawake wawili kujitoa muhanga
10 years ago
Michuzi13 Dec
LHRC WAJITOA KUFANYA UANGALIZI UCHAGUZI WA JUMAPILI KWA NJIA ZA KISASA,TIZAMA WATAKAVYOFANYA KAZI HAPA
Na Exaud mtei
Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa nchini Tanzania uchaguzi unaotarajiwa kufanyika siku ya jumapili ya mwisho wa wiki hii,kituo cha sheria na haki za binadamu LHRC leo kimetangaza kufanya uangalizi wa uchaguzi huo kwa njia ya TEHEMA yaani ICT-election monitoring katika mikoa...
10 years ago
BBCSwahili28 May
CAF: Uchaguzi wa FIFA uendelee mbele
Shirikisho la soka barani Afrika CAF limendekeza uchaguzi wa urais wa shirikisho la soka duniani FIFA uendelee mbele kama ulivyopangwa.
9 years ago
BBCSwahili20 Oct
FIFA kuendelea mbele na uchaguzi wa urais
Kamati kuu ya FIFA imeamua kuwa uchaguzi wa urais kumrithi Sepp Blatter utaendelea mbele mwezi februari mwakani
10 years ago
BBCSwahili20 Jul
FIFA kupanga tarehe ya uchaguzi wa rais
Rais wa shirikisho la soka duniani FIFA Sepp Blatter na bodi ya utawala ya shirikisho hilo pamoja na viongozi wengine wa juu wa shirikisho hilo wanakutana leo kupanga tarehe ya uchaguzi wa rais wa shirikisho hilo.
10 years ago
Michuzi30 Mar
9 years ago
BBCSwahili14 Oct
FiFa:Mwana mfalme ataka uchaguzi uharakishwe
Mgombea wa urais katika shirikisho la soka duniani Fifa mwana mfalme Ali Bin al-Hussein anasema kuwa kucheleweshwa kokote kwa uchaguzi wa kumteua mrithi wa Sepp Blatter kutaliyumbisha shirikisho hilo zaidi.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/5wu8U2MaqbgbydJFZA-b3B9kPEfCeMJxNLdJk9IgUONtagICWVP0W9RqiL4ZZflTqvgeJszQJDwsmCT66cXtPa-Y3RSLxfYh/150529064936_blatter_ali_640x360_pa_nocredit.jpg)
UCHAGUZI WA RAIS WA FIFA KUFANYIKA LEO USWISI
Rais wa FIFA Sepp Blatter (kushoto) na mpinzani wake Ali bin Hussein wa Jordan. Ali Bin Al Hussein.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania