BBC yafichua usafirishaji watoto
BBC imepata ushahidi unao onesha namna wachezaji wa hadi umri wa miaka kumi na nne wanasafirishwa kinyume cha sheria kutoka bara Afrika na Asia kinyume na sheria za FIFA.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili08 Sep
Ripoti yafichua udhalilishaji wanawake
10 years ago
Tanzania Daima16 Nov
CHADEMA yafichua ufisadi wa Bil. 80
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimefichua tuhuma za ufisadi wa zaidi ya sh bilioni 80 zilizotolewa na Benki ya Dunia, kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo hapa...
9 years ago
GPLOFM YAFICHUA UCHAFU WA KUTISHA
10 years ago
Mtanzania15 Apr
CWT yafichua siri sekondari kufungwa
Christina Gauluhanga na Patricia Kimelemeta
CHAMA Cha Walimu Tanzania(CWT) kimefichua siri ya baadhi ya shule za sekondari kufungwa kwa sababu ya kukosa chakula kikisema wakuu wa shule waliochukua uamuzi huo walifuata taratibu zote za sheria lakini serikali haikuwasikiliza.
Chama hicho kimesema kimeshangazwa na kauli ya Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI,Jumanne Sagini kutangaza kuwachukulia hatua wakuu wa shule hao akisema walikiuka taratibu...
10 years ago
GPLOFM YAFICHUA MAGUMASHI YA KUSAJILI LAINI
10 years ago
GPLOFM YAFICHUA UDHAIFU MLIMANI CITY TENA
9 years ago
BBCSwahili03 Nov
Boko Haram yafichua kiwanda cha mabomu
11 years ago
MichuziBBC yazindua studio zake nchini,kipindi cha asubuhi cha Amka na BBC kuruka moja kwa moja kutokea dar
11 years ago
Dewji Blog12 Aug
BBC Swahili yazindua studio nchini, Kipindi cha asubuhi cha amka na BBC kuruka moja kwa moja kutokea Dar
Mkuu wa Habari wa BBC Idhaa ya Ulimwengu,Bi. Nikki Clarke akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Kituo cha kurushia Matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya BBC jijini Dar es Salaam,katika Jengo lao lililopo Mikocheni.Kushoto ni Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili ya BBC, Ali Saleh.(Picha zote na Othman Michuzi).
BBC Idhaa ya Ulimwengu, imezindua ofisi zake jijini Dar es Salaam. Ofisi za Dar es Salaam zina studio ambazo zinatumika kuandaa matangazo maarufu ya redio ya asubuhi, Amka na BBC, na pia...