Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


OFM YAFICHUA UCHAFU WA KUTISHA

WAandishi Wetu INATISHA! Hivi ndivyo unavyoweza kusema mara tu unapofika katika hospitali ya serikali ya Kijitonyama, iliyopo Sinza Mapambano jijini Dar es Salaam kwani kuna uchafu mwingi unaoenda tofauti kabisa na mazingira yanayostahili katika kituo hicho cha huduma za afya, Risasi Mchanganyiko linakuthibitishia.  .....Soma zaidi===>http://bit.ly/1J2DooD ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

OFM YAFICHUA MAGUMASHI YA KUSAJILI LAINI

Kikiosi cha OFM kikifanya uchunguzi kwa wakala magumashi. Stori: Waandishi Wetu/Amani WAKATI Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), ikiwasisitiza Watanzania na wamiliki wa kampuni za simu za mkononi kusajili laini zao kihalali ili kila mmoja abaki na taarifa sahihi, kitengo cha Oparesheni Fichua Maovu (OFM) cha Global Publisher mwanzoni mwa mwaka huu kilibaini usajili usiokidhi vigezo unaofanywa na mawakala wa Kampuni moja....

 

10 years ago

GPL

OFM YAFICHUA UDHAIFU MLIMANI CITY TENA

Deogratius Mongela na Chande Abdallah WIKI hii Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers kwa mara nyingine ilitimba eneo la kibiashara la Mlimani City jijini Dar ikiwa na mfano wa silaha aina ya bastola ‘toy’ ili kupima ulinzi kwenye eneo hilo kufuatia matukio mbalimbali ya uvamizi wa kutumia silaha na ugaidi ambapo ilibaini kuwa ulinzi ni hafifu. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1Mgtxzi ...

 

11 years ago

GPL

OFM KAZINI; KAMANDA WA OFM AKIRIPOTI JINSI ALIVYOMNASA MZUNGU AKIWA NA DENTI

Mshuhudie Kamanda hatari wa OFM aliyepania kuibadilisha Tanzania, akiripoti tukio la aina yake ambapo mara hii amemnasa mzungu aliyekuwa na denti wa kidato cha tatu gesti, tena usiku wa manane! Ungana na Global TV Online kupata full stori!

 

10 years ago

BBCSwahili

Ripoti yafichua udhalilishaji wanawake

Shirika la Human Rights Watch limeripoti udhalilishwaji kijinsia wanaofanyiwa wanawake nchini Somalia na askari wa kulinda amani

 

10 years ago

BBCSwahili

BBC yafichua usafirishaji watoto

BBC imepata ushahidi unao onesha namna wachezaji wa hadi umri wa miaka kumi na nne wanasafirishwa kinyume cha sheria kutoka bara Afrika na Asia kinyume na sheria za FIFA.

 

10 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA yafichua ufisadi wa Bil. 80

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimefichua tuhuma za ufisadi wa zaidi ya sh bilioni 80 zilizotolewa na Benki ya Dunia, kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo hapa...

 

10 years ago

Mtanzania

CWT yafichua siri sekondari kufungwa

Jumanne-SaginiChristina Gauluhanga na Patricia Kimelemeta
CHAMA Cha Walimu Tanzania(CWT) kimefichua siri ya baadhi ya shule za sekondari kufungwa kwa sababu ya kukosa chakula kikisema wakuu wa shule waliochukua uamuzi huo walifuata taratibu zote za sheria lakini serikali haikuwasikiliza.
Chama hicho kimesema kimeshangazwa na kauli ya Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI,Jumanne Sagini kutangaza kuwachukulia hatua wakuu wa shule hao akisema walikiuka taratibu...

 

9 years ago

BBCSwahili

Boko Haram yafichua kiwanda cha mabomu

Kundi la wapiganaji wa Kiislamu la Boko Haram wamezindua kiwanda wanachotumia kuunda mabomu na silaha zingine kali kaskazini mwa Nigeria

 

11 years ago

GPL

OFM YAMNASA!

Stori: Issa Mnally na Dustan Shekidele, Morogoro
OPARESHENI Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers si mchezo! Safari hii imenasa tukio la mchumba wa mtu aliyetajwa kwa jina moja la Jose kuuza mwili. Za mwizi 40: Mchumba wa mtu baada ya kunaswa na OFM akijiuza licha ya kuaga kuwa anakwenda kwa bibi yake. Tukio hilo lilijiri eneo maarufu la Baa ya Kaumba iliyopo katikati ya mji kwenye Mtaa wa Makongoro, mwishoni mwa wiki...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani