BDX IX YA BOTSWANA LICHA YA KUJA NA MAJI YAO WAPIGWA MBILI SAFI MPIRA NI UWANJANI
Maofisa na wachezaji wa BDF XI ya Botswana wakitoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere wakiwa na maji yao ya kunywa. Timu hiyo leo Jumamosi inacheza na Yanga jijini Dar es Salaam katika mechi ya Kombe la Shirikisho. PICHA NA KHATIMU NAHEKA Amis Tambwe akiwa chini ya ulinzi kama hivi lakini aliwaponyoka na kukwamisha magoli mawili kila kipindi.KIKOSI cha BDF XI kilitua nchini tangu juzi Alhamisi tayari kuivaa Yanga leo na katika kuonyesha ipo makini, imekuja na maji ya kunywa ya...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi30 Aug
Bodi ya ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) yatembelea Eneo la Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Maji Kidunda
Meneja Usimamizi, Uendeshaji na Mazingira toka Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) Bi.Modesta Mushi akiwaonesha wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) ramani ya maeneo yatakayoguswa na Ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Kidunda lenye ujazo wa Mita milioni 190, wakati wa Ziara ya Bodi hiyo katika eneo la Mradi Mkoani Morogoro.Mkuu wa Msafara wa Timu ya Ulipaji fidia kwa Wakazi walio katika Eneo la Mradi Mhandisi John...
10 years ago
GPLBODI YA WAKURUGENZI YA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA MAJI TAKA DAR ES SALAAM (DAWASA) YATEMBELEA ENEO LA MRADI WA UJENZI WA BWAWA LA MAJI KIDUNDA
9 years ago
Michuzi24 Sep
MAMLAKA YA MAJI SAFI NA MAJI TAKA (DAWASA) MNADA WA HADHARA:
MALI ZITAKOZOUZWA: Meza za ofisi, Viti, Book case, Cupboard, File cabinets, 6 Photocopy m/c {Canon /Sharp} , Computer set, Printer, Scanner, A/c split unit & Window type na grili za milango...
10 years ago
GPLOMBI LA KUPANDA KWA BEI ZA MAJI SAFI NA MAJI TAKA
10 years ago
MichuziMAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MJINI MOSHI(MUWSA) YAKAMATA WEZI WA MAJI
11 years ago
MichuziMKUU WA MKOA WA KILIMANJARO AFANYA ZIARA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA MAJI TAKA MJINI MOSHI
10 years ago
MichuziENG. STELLA MANYANYA AKAGUA UJENZI WA MRADI WA MAJI SAFI NA MAJI TAKA SUMBAWANGA MJINI
11 years ago
MichuziMashabiki wa mpira wanaoiunga mkono Palestina wavamia wachezaji wa Maccabi Haifa ya Israel uwanjani
10 years ago
MichuziMAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MJINI MOSHI (MUWSA) YANASA MWIZI WA MAJI ENEO LA MAJENGO MJI MPYA.