Mashabiki wa mpira wanaoiunga mkono Palestina wavamia wachezaji wa Maccabi Haifa ya Israel uwanjani
![](http://1.bp.blogspot.com/-3LHWcdpx1Yc/U9FjZKqWiHI/AAAAAAAF51g/XIM6NmLIoPQ/s72-c/unnamed+(13).jpg)
MECHI kati ya timu Israeli ya Maccabi dhidi ya Lille ya Ufaransa iliahirishwa baada ya waandamanaji wanaoiunga mkono Palestina kuvamiwa uwanja.Waandamanaji hao walioripotiwa kuwa na asili ya Uturuki waliingia katika uwanja wa Austrian ambapo mchezo ulikuwa unaendelea na kuwavamia wachezaji wa Maccabi na kuzua vurugu.Mmoja wa wachezaji alionekana akizozana na shabiki kabla ya kuanza kurushiana makonde mazito. Hata hivyo wachezaji wa Maccabi walifanikiwa kutoka uwanjani bila kujeruhiwa. Tukio...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi03 May
HONDOHONDO: Kama ni mpira, CCM ni wachezaji wanaokasirisha mashabiki nchini
9 years ago
BBCSwahili30 Nov
Israel yadai kubaguliwa na Palestina
11 years ago
BBCSwahili26 Apr
Palestina kulitambua taifa la Israel
11 years ago
BBCSwahili06 Aug
Kerry: Israel na Palestina zungumzeni
11 years ago
Tanzania Daima22 Jul
Balozi Palestina ataka Israel ikemewe
BALOZI wa Palestina nchini, Nasri Abu Jaish, ameiomba Tanzania na jumuiya ya kimataifa kuikemea Israel iache kufanya mauaji ya kinyama kwa Wapalestina. Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari jijini...
11 years ago
BBCSwahili23 Jul
Israel,Palestina zaombwa kuacha mapigano
11 years ago
Mwananchi21 Jul
Balozi: Mgogoro wa Palestina na Israel si wa dini
10 years ago
BBCSwahili04 Jan
Israel kusitisha msaada kwa Palestina
11 years ago
GPLSHAMBULIO LA ISRAEL KATIKA SHULE YA UN PALESTINA LAUA 10