Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Beki wa zamani wa Wigan afariki

Beki wa zamani wa Wigan Athletic na Ivory Coast Steve Gohouri amefariki akiwa na umri wa miaka 34.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Kocha wa zamani wa Ghana afariki

Mchezaji maarufu wa kandanda wa Ghana aliyekuwa mchezaji na kocha Charles Kumi Gyamfi amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85

 

9 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa zamani wa Ujerumani afariki

Chansela wa za zamanji wa Ujerumani Magharibi Helmut Shcimdt amefariki akiwa na umri wa miaka 96.

 

10 years ago

StarTV

Rais wa zamani wa Uturuki afariki dunia

Aliyekuwa rais wa Uturuki Kenan Evren ambaye aliongoza mapindunzi yaliyokumbwa na umwagikaji wa damu mwaka 1980 ameaga dunia kwenye hospitali moja mjini Ankara akiwa na umri wa miaka 97.

Mwaka uliopita alihukumiwa kifungo cha maisha gerezani kufuatia kuhusika kwake kwenye mapinduzi ya kijeshi.

Chini ya utawala wake watu kadha walinyongwa , maelfu wakakamatwa na vyama vya kisiasa vikapigwa marufuku.

Vyombo vya habari vilivyotangaza kinyume na mapinduzi hayo vilifungwa .

 

Generali Evren...

 

10 years ago

GPL

WAZIRI MKUU WA ZAMANI IRELAND AFARIKI DUNIA

Albert Reynolds enzi za uhai wake. ALIYEWAHI kuwa Waziri Mkuu wa Ireland kwa miaka mitatu, Albert Reynolds amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 81. Kiongozi huyo aliyewahi kuongoza Chama cha Fianna Fáil na kushinda Tuzo ya Amani ya Nobel pia aliwahi kuwa Waziri wa Fedha (1988–91), Waziri wa Viwanda na Biashara (1987–88), Waziri wa Viwanda na Nishati (1982), Waziri wa Usafirishaji (1980–81) na Waziri wa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Rais wa zamani wa Misri Hosni Mubarak afariki dunia

Mubarak aliondolewa madarakani kwa mapinduzi 2011.

 

10 years ago

Vijimambo

MCHEZAJI WA ZAMANI WA KMKM NA TIMU YA TAIFA. MCHA KHAMIS AFARIKI DUNIA

                                             Marehemu Mcha Khamis Mcha.
Buriani Mchezaji wa Zamani wa timu ya KMKM na Miembeni Zanzibar Mcha Khamis Mcha aliyefarika jana Mjini Dar-es-Salaam akipata matibabu katika hospitali ya Muimbili. kwa mujibu wa habari za ndugu wa karibu wamesema alikuwa akisumbulia na matatizo ya mkojo. Mwili wa marehemu unatarajiwa kuwasili Zanzibar leo katika bandari ya Malindi saa.6 mchana kwa Boti ya Azam Marine, baada ya kuwasili mwili wa marehemu utapelekwa Kijiji...

 

11 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZ....: MCHEZAJI WA ZAMANI WA TIMU YA SIMBA,GEBBO PETER AFARIKI DUNIA MCHANA HUU

TAARIFA ILIYOIFIKIA GLOBU YA JAMII HIVI PUNDE,INAELEZA KUWA ALIEWAHI KUWA MCHEZAJI WA TIMU YA SIMBA,GEBBO PETER AMEFARIKI DUNIA MCHANA HUU KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI JIJINI DAR ALIKOKUWA AKIPATIWA MATIBABU YA MRADHI YALIYOKUWA YAKIMSUMBUA.
GLOGU YA JAMII INAFATILIA TARATIBU ZOTE ZA MSIBA HUO NA TUTAENDELEA KUTAARIFIANA KADRI TUTAKAVYOKUWA TUKIZIPATA.

 

11 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu wa Yanga wa zamani, George Johnson Mpondela ‘Castor’ afariki dunia, kuzikwa tabora jumatano


Katibu Mkuu wa Yanga  wa zamani, George Johnson Mpondela ‘Castor’ (kulia) enzi za uhai wake akiwa katika moja ya mikutano ya klabu hiyo. Kushoto ni mmoja wa wazee maarufu wa klabu hiyo Mzee Yusuf Mzimba. Na Mahmoud Zubeiry

 Katibu Mkuu wa Yanga SC wa zamani, George Johnson Mpondela ‘Castor’ amefariki dunia jana saa nne usiku katika hospitali ya Muhimbili, Dar es Salaam alikokuwa amelazwa kwa matibabu ya moyo.

Mtoto wa marehemu, Hilton Mpondela amemwambia mwandishi wa habari hii...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani