Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kiongozi wa zamani wa Ujerumani afariki

Chansela wa za zamanji wa Ujerumani Magharibi Helmut Shcimdt amefariki akiwa na umri wa miaka 96.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kiongozi wa zamani Chadema Z’bar ang’atuka

Aliyekuwa naibu katibu mkuu wa Chadema, Hamad Mussa Yussuf amejiondoa kwenye chama hicho na kujiunga na ACT Tanzania, huku akisema muungano wa Ukawa upo zaidi kwa masilahi ya Tanzania Bara kuliko Zanzibar.

 

9 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa zamani Israel Ehud Olmert kufungwa jela

Waziri mkuu wa zamani wa Israel Ehud Olmert ametakiwa kutumikia kifungo cha miezi 18 jela kwa makosa ya ulaji rushwa.

 

11 years ago

GPL

KIONGOZI WA ZAMANI WA MUNGIKI ASHAMBULIWA, WATANO WAPOTEZA MAISHA

Aliyekuwa kiongozi wa Kundi la Mungiki, Maina Njenga akiwa Hospitali ya Wilaya ya Nyahururu baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana. WATU watano wamepoteza maisha huku aliyekuwa kiongozi wa Kundi la Mungiki, Maina Njenga akijeruhiwa baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana nchini Kenya jana. Maina alikuwa akisafiri na wenzake kwa shughuli za kifamilia kabla ya kushambuliwa kwa risasi katika barabara ya Ol Kalou,...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Kamala aomboleza kifo cha Kiongozi wa zamani wa Singapore

Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akisaini Kitabu cha Maombolezo katika Ubalozi wa Singapore Ubelgiji. Singapore imempoteza Mhe. Lee Kuan Yew aliyewahi kuwa Kiongozi wa Singapore na ambaye aliwezesha nchi hiyo kuwa miongoni mwa nchi tajiri Diniani.

 

9 years ago

BBCSwahili

Kocha wa zamani wa Ghana afariki

Mchezaji maarufu wa kandanda wa Ghana aliyekuwa mchezaji na kocha Charles Kumi Gyamfi amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85

 

9 years ago

BBCSwahili

Beki wa zamani wa Wigan afariki

Beki wa zamani wa Wigan Athletic na Ivory Coast Steve Gohouri amefariki akiwa na umri wa miaka 34.

 

10 years ago

StarTV

Rais wa zamani wa Uturuki afariki dunia

Aliyekuwa rais wa Uturuki Kenan Evren ambaye aliongoza mapindunzi yaliyokumbwa na umwagikaji wa damu mwaka 1980 ameaga dunia kwenye hospitali moja mjini Ankara akiwa na umri wa miaka 97.

Mwaka uliopita alihukumiwa kifungo cha maisha gerezani kufuatia kuhusika kwake kwenye mapinduzi ya kijeshi.

Chini ya utawala wake watu kadha walinyongwa , maelfu wakakamatwa na vyama vya kisiasa vikapigwa marufuku.

Vyombo vya habari vilivyotangaza kinyume na mapinduzi hayo vilifungwa .

 

Generali Evren...

 

9 years ago

Michuzi

JK akutana na Kiongozi wa Ujerumani Angela Merkel jijini New York

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana  na kiongozi wa Ujerumani Chancellor Angela Merkel kwenye ubalozi wa kudumu wa Ujerumani Umoja wa Mataifa jijini New York Marekani jana  jioni.Rais Kikwete yupo katika ziara ya kikazi nchini Marekani ambapo mbali na kukutana na wadau wa Maendeleo anatarajiwa kutoa hotuba yake katika kikao cha 70 cha Baraza Kuu la Umioja wa Mataifa(UN General AssemblyRais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kiongozi wa Ujerumani Chancellor Angela Merkel kwenye...

 

10 years ago

GPL

WAZIRI MKUU WA ZAMANI IRELAND AFARIKI DUNIA

Albert Reynolds enzi za uhai wake. ALIYEWAHI kuwa Waziri Mkuu wa Ireland kwa miaka mitatu, Albert Reynolds amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 81. Kiongozi huyo aliyewahi kuongoza Chama cha Fianna Fáil na kushinda Tuzo ya Amani ya Nobel pia aliwahi kuwa Waziri wa Fedha (1988–91), Waziri wa Viwanda na Biashara (1987–88), Waziri wa Viwanda na Nishati (1982), Waziri wa Usafirishaji (1980–81) na Waziri wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani