Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ben Pol kuzindua video ya Sophia Jumapili hii

Mkali wa Bongo Fleva,Ben Pol anatarajia kuzindua video ya ngoma yake ya Sophia Jumapili hii pande za Maisha Club,jijini Dar.Video hiyo imefanyika mkoani Dodoma chini ya producer Khalfan imeshakamilika kwa kiasi kikubwa.
‘’Video itaoneshwa kwa mara ya kwanza kwenye big screens na kutakuwa na perfomances kutoka kwa wasanii mbalimbali uwapendao,’’alisema Ben Pol.

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

2015 haiishi na ‘Sophia’ hewani, mpya ni hii..- ‘Ningefanyaje> Ben Pol Feat. Avril & Rossie M (+Video)

Mkali wa R&B kutoka Bongo TZ, Ben Pol anafunga mwaka 2015 huku akiacha kumbukumbu nzuri za headlines za hit ya ngoma ya ‘Sophia‘ ambayo imependwa na bado inapendwa na wengi… ukali wa ngoma hiyo ulifanya akina Quick Rocka, Peter Msechu nao kuingia studio kuiimbia copy ya aina yake, hicho ni kitu ambacho sio mara nyingi […]

The post 2015 haiishi na ‘Sophia’ hewani, mpya ni hii..- ‘Ningefanyaje> Ben Pol Feat. Avril & Rossie M (+Video) appeared first on...

 

10 years ago

GPL

10 years ago

Bongo5

Ben Pol kushoot video ya ‘Sophia’ Dodoma

Ben Pol ataifanyia video ya wimbo wake ‘Sophia’ mjini Dodoma. Akiongea na 255 ya Clouds FM, Ben amesema shughuli hiyo itaanza hivi karibuni. “Video ya wimbo wa Sophia nitaifanyia mkoani Dodoma kwakuwa uamuzi huo unatoka na ujumbe ambao uko kwenye wimbo huo ambao unahitaji mazingira ya uhalisia zaidi yanayopatikana mkoani humo,” alisema. “Kila kitu kipo […]

 

10 years ago

Bongo5

Ben Pol adai mapokezi ya Sophia yamemtisha kiasi cha kuifumua idea ya mwanzo ya video

Ben Pol amedai kuwa mapokezi ya wimbo wake mpya Sophia yamekuwa makubwa kuzidi matarajio yake kiasi kwamba amelazimika kurudi kwenye ‘drawing board’ kupanga upya jinsi atakavyotakiwa kuifanya video yake. Amedai kuwa awali alikuwa amepanga kuanza na video ya wimbo huo, mpango ambao uliahirishwa kwa mara mbili. “Lakini plan yetu tulivyokuwa tumeitengeneza kiasi kwamba huwezi amini […]

 

9 years ago

Bongo5

Ben Pol: Nafikiria kuzindua video ya ‘Ningefanyaje’ Bongo au Kenya

Ben SA-1

Baada ya Ben Pol kukamilisha zoezi la kushoot video ya wimbo wake ‘Ningefanyaje’ nchini Afrika Kusini, kitu kinachosubiriwa kwa hamu na mashabiki wake kwa sasa ni kuiona video hiyo.

Ben SA-1

Hit maker wa ‘Sophia’ ambaye amerejea nchini jana (Nov.11) ameiambia Bongo5 kuwa amepanga kuitoa video hiyo mwezi ujao (Dec) lakini bado hajawa na uhakika wa asilimia 100 kutokana na mipango mingine anayoifikiria.

“Kusema kweli mimi naikimbiza itoke mwaka huu kwasababu mwakani nina project zingine inabidi na...

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Ben Pol — Sophia

Huu ndo wimbo ambao ulikuwa unasubiliwa kwa hamu kutoka kwa Ben Pol wimbo unaitwa “Sophia” Producer Mswaki

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani