Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Benitez ahisi vyombo vya habari kumfanyia kampeni ili afukuzwe kazi

392319-rafael-benitez-pc-serious-7

Rafa Benitez

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Kocha wa Real Madrid, Rafa Benitez amesema anahisi kuna kampeni zinafanywa na vyombo vya habari kuhusu yeye, klabu na rais wa klabu, Florentino Perez kuhusu tuhuma mbalimbali zinazosemwa zinazoweza pelekea afukuzwe kazi.

Akizungumza na vyombo vya habari, Benitez alisema kuwa kuna habari zimekuwa zikitolewa na vyombo vya habari kuhusu uendeshaji wake wa klabu hiyo jambo ambalo sio sahihi.

“Kuna kampeni kati ya mimi, kuhusu klabu na Perez na kila...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

PROF. OLE GABRIEL AVIPONGEZA VYOMBO VYA HABARI KWA KAZI KUBWA WALIYOIFANYA YA KUANDIKA HABARI ZA UCHAGUZI ULIOFANYIKA HIVI KARIBUNI

Na Mwandishi Maalum  – Maelezo
Vyombo vya habari nchini vimepongezwa kwa kazi kubwa waliyoifanya ya kutoa taarifa kwa wananchi wakati wa uchaguzi mkuu uliofanyika mwishoni mwa mwezi wa 10 mwaka huu.
Pongezi hizo zimetolewa leo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel wakati akiongea na viongozi wa menejimenti ya wizara na taasisi zake kwenye kikao cha kazi kilichofanyika jijini Dar es Salaam.
Prof. Gabriel alisema kipindi cha uchaguzi vyombo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wamiliki wa vyombo vya Habari nchini MOAT wapinga mswada wa sheria ya Vyombo vya Habari

Mwenyekiti wa Umoja wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT), Dk. Reginald Mengi (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu mswada wa sheria ya vyombo vya habari ambao ulitaka kuwasilishwa bungeni kwa dharula. Kulia ni Mwanasheria, Godfrey Mpandikizi.

 Mkurugenzi Mtendaji wa Sahara Comminication, Samuel Nyalla (katikati), akizungumza katika mkutano huo. Kulia ni Saed Kubenea kutoka Mwanahalisi Publishers na Mwanasheria, Godfrey...

 

9 years ago

Vijimambo

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA CCM KUHUSU KUFUNGA KAMPENI

CCM inapenda kutoa taarifa kuhusu masuala kadhaa kwa wanachama, wapenzi na mashabiki wake na kwa umma wa Watanzania.

Kufunga Kampeni

CCM itafunga kampeni zake kwa utaratibu mpya na kwa kishindo.  Kampeni za CCM zitafungwa Kitaifa kwa mikutano mikubwa ya kampeni katika mikoa mitano. Mikutano hiyo itaongozwa na viongozi wa CCM Kitaifa waliopo madarakani na wastaafu. Mikoa hiyo na viongozi watakaoongoza mikutano hiyo ni kama ifuatavyo: 
1.    Mwanza – Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete, Mwenyekiti wa...

 

10 years ago

GPL

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA MASHAURIANO KATI YA VYOMBO VYA HABARI NA VYOMBO VYA ULINZI

Makamu wa Rais Dk.Mohammed Gharib Bilal akihutubia wakati akifungua mkutano huo. Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Shaban Lila (kulia) na  Rais wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Jaji mstaafu Thomas Mihayo wakifuatilia mkutano huo. …

 

10 years ago

Dewji Blog

Dkt. Bilal afungua mkutano wa mashauriano kati ya Vyombo vya Habari na Vyombo vya Ulinzi, Usalama na Sheria, Jijini Dar

01

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi mkutano wa Mashauriano kati ya Vyombo vya Habari na Vyombo vya Ulinzi, Usalama na Sheria, uliofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, leo Septemba 17, 2014. Mkutano huo uliandaliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT).(Picha na OMR).

Na Ismail Ngayonga, MAELEZO

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal amevitaka vyombo vya habari na...

 

10 years ago

Michuzi

Dkt. Fennela Afungua Kikao Kazi cha Maafisa Mawasiliano Serikalini na Wahariri wa Vyombo vya Habari

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akiwaeleza washiriki wa Mkutano huo umuhimu wa kuelimisha umma kuelekea upigaji kura ya maoni na kuwataka wahariri wa vyombo vya habari nchini kuwa mstari wa mbele katika kutekeleza suala hili la kitaifa.Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya JL Communication inayochapisha magazeti ya Jambo leo na StaaSpoti Bw. Theophil Makunga akitoa neno la shukrani kwa Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara pia...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA MASHAURIANO KATI YA VYOMBO VYA HABARI NA VYOMBO VYA ULINZI, USALAMA NA SHERIA, JIJINI DAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi mkutano wa Mashauriano kati ya Vyombo vya Habari na Vyombo vya Ulinzi, Usalama na Sheria, uliofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, leo Septemba 17, 2014. Mkutano huo uliandaliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT). Rais wa Baraza la Habari Tanzania, (MCT) Jaji Thomas Mihayo, akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani