BENKI YA CRDB NA TEKNOLOJIA KATIKA SOKA
Benki ya CRDB, imeendelea kuimarisha ushirikiano na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) katika upatikanaji wa Tiketi za kieelectroniki kwa wapenzi wa soka.
Mfumo wa kupatikana Tiketi kwa njia ya Kielectroniki unalengo la kuongeza mapato ya TFF na hata kwa Vilabu vinavyoshiriki katika ligi inayodhaminiwa na TFF.
Jumapili kesho, tarehe 14/9/2014, Mfumo wa kielektroniki utatumika tena kuwauzia wapenzi wa soka tiketi kwa ajili ya kwenda kushuhudia mechi kali kati ya Yanga na AZAM, kuwania Ngao ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziWAFANYAKAZI WA BENKI YA CRDB WAKISHIRIKI MICHEZO MBALIMBALI KATIKA SIKU YA FAMILIA YA CRDB
Watoto wakifurahia michezo mbalimbali katika viwanja vya Olasiti Garden
leo katika sherehe za siku ya familia ya CRDB ambazo hufanyika kila mwaka
na kuhudhuriwa na familia za wafnayakazi wa benki pamoja na familia za
wateja.
KWA PICHA...
10 years ago
Dewji Blog06 Oct
Benki ya CRDB yampa tunzo Mohammed Dewji ‘MO’ kwa ushiriki mkubwa wa benki hiyo katika wiki ya huduma kwa wateja
Meneja wa Benki ya CRDB wa tawi la Water Front, Donath Shirima akimpa tunzo pamoja na barua ya kumshukuru Afisa Mtendaji mkuu wa Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL GROUP), Mohammed Dewji ‘Mo’ kuwa ni mshiriki mkubwa wa benki ya CRDB katika tawi la Water Front wakati wa kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja iliyofanyika katika ofisi za MeTL GROUP, jijini Dar es Salaam.
Afisa Mtendaji mkuu wa Mohammed enterprises Tanzania Limited (MeTL GROUP), Mo dewji akionyesha barua ya...
10 years ago
MichuziBENKI YA CRDB YAVUTIA WATU WENGI KATIKA MAONYESHO YA SABASABA
Akizungumza katika Maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama sabasaba yanayofanyika katika viwanja vya Sabasaba, Ofisa wa benki hiyo, John Titus amesema kuwa banda lao linashughulika na kufungua akaunti na kumuhudumia mteja.
Aliongeza kuwa Benki ya CRDB pia imeweka Mobile Branch ambayo hufanya kazi zote zinazofanywa na benki hiyo ikiwemo huduma za kuweka fedha na kutoa.
Titus alisema pia...
5 years ago
Michuzi
Benki ya CRDB yawaalika wanahisa katika Mkutano Mkuu wa kihistoria wa Mwaka 2020


11 years ago
MichuziNEWS ALERT: BENKI YA CRDB KUJENGA TAWI LA KISASA KATIKA KIWANDA CHA DANGOTE, MTWARA
5 years ago
Michuzi
BENKI YA CRDB YAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI 2020 KWA KUHAMASISHA USAWA WA KIJINSIA KATIKA JAMII

Benki ya CRDB imefanya hafla ya kusherehekea ‘Siku ya Wanawake Dunia’ ikilenga kuhamasisha usawa wa kijinsia katika jamii. Akizungumza katika hafla hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela alisema Benki ya CRDB inachukulia kwa umuhimu suala la kumuwezesha mwanamke na ndiomana
Benki hiyo imetoa kipaumbele cha ajira kwa...
11 years ago
Michuzi
BENKI YA CRDB KUUZA HISA ZAKE KATIKA SOKO LA HISA LA NAIROBI
Hayo yalisemwa leo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Dk. Charles Kimei wakati wa siku ya kwanza ya mkutano mkuu wa wanachama wote unaofanyika hapa jijini Arusha.
Kimei alisema uuzaji wa hisa katika Soko la Hisa la Nairobi utafanya bei ya hisa za benki ya CRDB kupanda kutokana na ukweli kwamba katika soko la Dar...
11 years ago
MichuziBENKI YA UWEKEZAJI YA ULAYA (E.I.B), YAIPIGA JEKI BENKI YA CRDB
Akizungumza jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB, Dk. Charles Kimei alisema benki yake kwa kushirikiana na EIB imeamuwa kusaidia jamii nchini hivyo mkataba huo ni mwanzo wa ushirikiano endelevu utakaohamasisha upatikanaji wa ajira.
Alisema kufanyakazi na benki ya EIB...
11 years ago
Vijimambo16 Oct
MAMALAMIKO KUHUSIANA NA CRDB KADI ZA BENKI
"Ndugu zangu Mimi ni mdau mkubwa wa Blog yenu naomba kutoa kilipo changu Kuhusu Card za ATM za Benki ya CRDB.Nipo Uk mjini Birmingham na Leo ni Siku ya 16 nashindwa kutoa fedha kwa kutuma Card yangu.Nimemtuma mtoto ameenda Kijitonyama CRDB ulipo akaunti yangu bila...