Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BENKI YA DCB YAKABIDHI MSAADA WA KOMPYUTA KWA CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI ARNAUTOGLU

    Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto,Mhe.Dkt.Pindi Chana akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa Kompyuta katika  Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Arnautoglu  kilichopo Manispaa ya Ilala,leo jijini Dar es Salaam.     Meneja Masoko na Maendeleo ya Bidhaa wa DCB Commercial Bank,Bw.Boyd Mwaisame akifafanua jambo  wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa Kompyuta katika  Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Arnautoglu  kilichopo Manispaa ya Ilala,leo jijini Dar es Salaam.   ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MH. PINDI CHANA ATEMBELEA CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI ARNAUTOGLU, DAR

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Dkt. Pindi Chana (Mb.), leo tarehe 28 Oktoba, 2014 amefanya ziara katika Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Arnautoglu – Ilala, Dar es salaam, kwa lengo la kukagua maendeleo ya utoaji wa mafunzo kwa wananchi. Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Arnautoglu hutoa mafunzo ya muda mrefu, muda mfupi na mafunzo nje ya chuo, ambayo yote yamelenga katika kutoa stadi na maarifa mbalimbali yanayowawezesha washiriki kupata ujuzi ili waweze kujiajiri...

 

5 years ago

Michuzi

DCB FURSA MPYA YA ELIMU KWA WATANZANIA HADI CHUO KIKUU KUPITIA AKAUNTI ZA DCB SKONGA NA DCB MINI SKONGA.

Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya Biashara ya DCB, James Ngaluko (katikati), Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Godfrey Ndalahwa na Mkurugenzi wa Masoko, Rahma Ngassa (kulia), wakati wa uzinduzi wa DCB Skonga jijini Dar es Salaam hivi karibuni. (Picha ya Maktaba)

=======  ========   ========
KATIKA kuhakikisha wazazi na walezi wanakuwa na uhakika wa elimu ya watoto wao, Benki ya Biashara ya DCB imeongeza fursa zaidi kupitia akaunti yake DCB SKONGA kwa kuongeza DCB MINI SKONGA Ili kuunga mkono...

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya NBC yatoa msaada wa mafuta, kofia, pikipiki na kompyuta kwa albino

Mkuu Kitengo cha Wateja Binafsi wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) Mussa Jallow (wa tano kulia) akikabidhi msaada wa pikipiki kwa Mwenyekiti wa Chama cha Albino Tanzania Mkoa wa Pwani, Thomas Diwani Mponda katika hafla ambayo NBC pia ilikikabidhi msaada wa hundi ya shs milioni 3.2, kompyuta, kofia na mafuta maalumu ya ngozi vikiwa na lengo la kuwasaidia na matatizo yanayowakabili kutokana na hali hiyo inayotokana na kurithi vinasaba kutoka kwa wazazi. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es...

 

11 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII AFANYA ZIARA YA KIKAZI KATIKA CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI MUNGURI, KONDOA- DODOMA

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Dkt. Pindi Hazara Chana (wa tatu kulia) akipatiwa maelezo wakati akikagua utoaji wa mafunzo katika Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Munguri, Kondoa, akiwa ameambatana na Uongozi wa Wilaya ya Kondoa.
Mheshimiwa Dkt. Pindi Chana akiwa katika ziara hii ya Kikazi alipata fursa ya kutembelea miradi mbalimbali inayotekelezwa na Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Munguri, kondoa ambacho ni miongoni mwa vyuo 55 vinavyotoa mafunzo ya elimu ya...

 

11 years ago

Dewji Blog

DCB Benki watambulisha DCB Jirani na DCB Mobile Sabasaba

IMG_0003

Baadhi ya wananchi waliotembelea Banda la DCB Commercial Bank kwenye maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba wakipata maelezo juu ya huduma mbalimbali za DCB Commercial Bank.

IMG_00081

Baadhi ya wananchi waliotembelea Banda la DCB Commercial Bank kwenye maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba wakipata maelezo juu ya huduma mbalimbali za DCB Commercial Bank.

IMG_0012

Baadhi ya wananchi wakitembelea Banda la DCB Commercial Bank kwenye maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu...

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya NBC yakabidhi msaada wa madawati kwa shule ya Msingi Maweni-Kigamboni,Jijini Dar

Mkuu wa Kitengo cha Kudhibiti Hali Hatarishi wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Nicholaus Paul (wa nne kushoto) akikata utepe kuashiria makabidhiano ya msaada wa madawati yenye thamani ya zaidi ya sh milioni 3 yaliyotolewa na wafanyakazi wa kitengo cha mikopo ya makampuni cha benki hiyo kwa Shule ya Msingi Maweni. Hafla ya makabidhiano ilifanyika shuleni hapo, Kigamboni nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam jana. Wengine kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Mtaa wa Maweni, Sylvester Roche, Mwalimu...

 

5 years ago

Michuzi

RADIO FARAJA YAKABIDHI MSAADA KWA KAYA ZENYE KIPATO CHA CHINI KATIKA MANISPAA YA SHINYANGA




Na Simeo Makoba - Shinyanga.

Afisa Ustawi wa Jamii wa Manispaa ya Shinyanga Emmanuel Ng’habi amekabidhi msaada wa vitu mbalimbali ikiwemo vyakula na fedha taslimu kwa wazee wasiojiweza ambayo imechangwa na wadau mbalimbali wa Radio Faraja Fm Stereo iliyopo Mjini Shinyanga.

Ng'habi aliyekuwa ameongozana na Mwenyekiti wa Wenyeviti wa serikali za mitaa Manispaa ya Shinyanga Nassor Warioba na Wafanyakazi wa Radio Faraja Fm Stereo amekabidhi msaada huo Jumamosi Mei 16,2020.

Baadhi ya misaada...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani