BENKI YA DUNIA NA IMF YAANZA MIKUTANO YA MWAKA MJINI WASHINGTON DC - MAREKANI
![](http://4.bp.blogspot.com/-4m77cdyoG4E/VDWHsoC4WSI/AAAAAAAGovs/Y3ovsSd_OMs/s72-c/unnamed%2B(28).jpg)
Kila mwaka Bodi ya Magavana ya Shirika la Fedha la Kimataifa na kundi la Benki ya Dunia hukutana kwa ajili ya kujadili kazi za Taasisi zinazowahusu. Mikutano hii imeanza tarehe 06 Octoba na itafikia kilele chake hapo tarehe 13, mwezi Octoba, 2014.Mikutano hii hufanyika mjini Washington DC kwa miaka miwili mfululizo na kwa mwaka wa tatu hufanyika kwa nchi mwanachama. Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile ndiye kiongozi wa ujumbe kutoka Tanzania...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog08 Oct
Benki ya Dunia na IMF yaanza mikutano ya mwaka mjini Washington DC — Marekani
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile akifurahia jambo na Bw.Herve’ Joly ambaye ni Mkurugenzi msaidizi na Mkuu wa idara ya Afrika sehemu ya Mashariki. Mara baada tu ya kuingia ukumbini.
Dr. Servacius Likwelile Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali akiwa pamoja na ujumbe kutoka Tanzania. Kutoka kushoto ni Kamishna wa Bajeti Bw.John Cheyo akifuatiwa na Bi.Mwanaidi Mtanda ambaye ni mhasibu mkuu wa Serikali na wa mwisho...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-U7ySRAhdeeQ/VThVMQUZgaI/AAAAAAAHSrU/Q0msbW4tHvU/s72-c/unnamed%2B(77).jpg)
WAZIRI WA FEDHA MHE. SAADA SALUM MKUYA KATIK MKUTANO WA MAJUMUISHO NA IMF, BENKI YA DUNIA WASHINGTON DC MAREKANI
![](http://1.bp.blogspot.com/-U7ySRAhdeeQ/VThVMQUZgaI/AAAAAAAHSrU/Q0msbW4tHvU/s1600/unnamed%2B(77).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-bQg5nHgm1YU/VThVNKUO2TI/AAAAAAAHSsQ/ZkcSx-Vy7Hk/s1600/unnamed%2B(79).jpg)
9 years ago
Dewji Blog07 Oct
Mikutano ya mwaka ya kundi la Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa yaanza rasmi nchini Lima
Dr. Servacius Likwelile Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali wa katikati akiwa pamoja na Gavana wa Benki kuu ya Tanzania Prof. Benno Ndulu kushoto na Bi. Natujwa Mwamba Naibu Gavana wa Benki kuu ya Tanzania kulia, wakiwa katika mkutano wa chombo kinachotoa mafunzo ya kusimamia mambo ya uchumi (MEFMI) nchini Peru – Lima. ( Picha na Eva Valerian, Peru – Lima).
Mikutano ya mwaka ya Bodi ya Magavana ya Shirika la fedha la Kimataifa na kundi la Benki ya Dunia kwa mwaka 2015...
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-7_t3ee1Lgmo/VhTVaToJ2xI/AAAAAAAEAD4/Rwqe2dOm-Hs/s72-c/IMG_4085.jpg)
MIKUTANO YA MWAKA YA KUNDI LA BENKI YA DUNIA NA SHIRIKA LA FEDHA LA KIMATAIFA YAANZA RASMI NCHINI LIMA LEO TAREHE 5/10/2015
![](http://4.bp.blogspot.com/-7_t3ee1Lgmo/VhTVaToJ2xI/AAAAAAAEAD4/Rwqe2dOm-Hs/s640/IMG_4085.jpg)
Mikutano ya mwaka ya Bodi ya Magavana ya Shirika la fedha la Kimataifa na kundi la Benki ya Dunia kwa mwaka 2015...
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-J7_qMw345u8/Vhbt4pAYQyI/AAAAAAAEAGo/3YC7vgonCmc/s72-c/IMG_4099.jpg)
MIKUTANO YA BENKI YA DUNIA NA SHIRIKALA FEDHA LA KIMATAIFA YAENDELEA MJINI PERU-LIMA
![](http://4.bp.blogspot.com/-J7_qMw345u8/Vhbt4pAYQyI/AAAAAAAEAGo/3YC7vgonCmc/s640/IMG_4099.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-W72SReU0sJw/VhbXESvefkI/AAAAAAAH-AQ/7QTuUHjSrw0/s72-c/unnamed%2B%252842%2529.jpg)
MIKUTANO YA BENKI YA DUNIA NA SHIRIKALA FEDHA LA KIMATAIFA YAENDELEA MJINI LIMA, Peru
![](http://1.bp.blogspot.com/-W72SReU0sJw/VhbXESvefkI/AAAAAAAH-AQ/7QTuUHjSrw0/s640/unnamed%2B%252842%2529.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-TwSGjDRNUNU/VhbXEUzU1ZI/AAAAAAAH-Ac/Mcz-FKOEPZY/s640/unnamed%2B%252843%2529.jpg)
9 years ago
Dewji Blog09 Oct
Mikutano ya Benki ya Dunia la Shirika la Fedha la Kimataifa yaendelea mjini Peru-Lima
Dr. Servacius Likwelile Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali akiwa na Magavana wa Benki ya Dunia na Shirika la fedha la kimataifa wa Mashariki na Kusini mwa Afrika kwenye majadiliano ya kukuzauchumi katika mkutano wa MEFMI. Aliyesimama mbele ni Bi. Arunma Oteh Makamu wa Rais na Mweka hazina.
Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile akiwa katika mkutano wa kamati ya maendeleo akifuatilia kwa makini majadiliano...
10 years ago
Dewji Blog15 Apr
Mikutano ya Majira Kipupwe imeanza rasmi Mjini Washington DC
Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier, akipata maelezo kutoka kwa Bw. Said Ngosha Magonya, ambaye ni Kamishina wa Fedha za Nje kuhusu utaratibu uliopangwa na Tanzania katika Mikutano hii ya majira ya kipupwe.
Mikutano ya majira ya Kipupwe imeanza rasmi tarehe 14/4/2015 na kuhudhuriwa na nchi mbalimbali wanachama zaidi ya 188. Mikutano hii huudhuriwa na maelfu ya wafanyakazi kutoka serikalini, waandishi wa habari, Mashirika na...
10 years ago
VijimamboMikutano ya Majira Kipupwe imeanza rasmi Mjini Washington DC.
Tanzania ni nchi wanachama katika Mikutano hiyo.Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya ndiye...