Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Benki ya Dunia yatoa mabilioni kukuza BRN

BENKI ya Dunia imetoa Dola za Marekani milioni 122 kwa ajili ya kusaidia, kukuza na kuendeleza Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) katika Sekta ya Elimu kwa lengo la kuimarisha na kuboresha elimu ya msingi na sekondari.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Benki ya Dunia yatoa bilioni 74/- kuboresha maji

BODI ya Wakurugenzi wa Benki ya Dunia, imeidhinisha msaada kwa Tanzania zaidi ya Sh bilioni 74 kusaidia upatikanaji wa huduma ya maji safi, salama na maji taka kwa familia masikini za mijini na vijijini.

 

5 years ago

Michuzi

BENKI YA DUNIA YATOA MKOPO WA SHILINGI BILIONI 175,KULETA MAPINDUZI KATIKA ELIMU YA UFUNDI NCHINI

  WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako akikata utepe kuashiria uzinduzi wa magari. WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amesema Benki ya Dunia imetoa mkopo wa  Sh. Bilioni 175 kwa Serikali ya Tanzania kwa ajili ya kuleta mapinduzi katika vyuo  vinne vinavyotoa elimu ya ufundi  hapa nchini.
Waziri Ndalichako ameyasema hayo leo Juni 3, 2020  jijini Dar es Salaam wakati akikabidhi magari manne kwa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT)...

 

9 years ago

Habarileo

Poland yatoa mabilioni kupaisha kilimo nchini

SERIKALI ya Poland imetoa mkopo wenye thamani ya Sh bilioni 220 kwa Tanzania utakaoinua kilimo nchini ambao sehemu ya fedha itatumika kujenga kiwanda cha trekta na nyingine kujenga maghala ya chakula nchini.

 

11 years ago

Michuzi

NBC yatoa mkopo wa mabilioni ya shilingi kwa Mohamed Enterprises

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Mizinga Melu (wa tatu kushoto) akisaini hati za makubaliano ya mkopo wa shs bilioni 100 na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya Mohamed Enterprises Ltd (METL), Mohamed Dewji kwa ajili ya kampuni dada ya METL ya Star Oils inayoshughulika na biashara ya uagizaji na usambazaji mafuta. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wanaoshuhudia ni baadhi ya watendaji wakuu wa NBC, METL na Star Oils. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Mizinga...

 

9 years ago

Dewji Blog

BREAKING NEWS: Serikali yatoa tamko juu ya mabilioni ya fedha za miradi ya MCC

5a

Kamishna Mkuu wa bajeti kutoka Wizara ya Fedha na Uchumi, Johnny Cheyo (Picha ya Maktaba).

Na Rabi Hume, Modewjiblog

[DAR ES SALAAM] Kufuatia suala la Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) wa Marekani kuonya juu ya hali ya kisiasa Zanzibar na matukio mengine yanayotokea hapa nchini huku ikielezwa kuwa inaweza kuathiri vigezo vya kuiwezesha Tanzania kupata msaada huo, Mapema leo Serikali ya Tanzania kupitia Wizara yake ya Fedha na Uchumi mbele ya waandishi wa habari, wamewatoa hofu watanzania...

 

10 years ago

Vijimambo

MAREKANI YATOA DOLA BILIONI 30 KWA AJILI YA KULINDA MAZINGIRA, KUKUZA UHIFADHI NA UTALII

Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu na balozi wa marekani Mark Childress wakisaini  mkataba wa dola Za kimarekani million 14.5 katika hotel ya Treetops Lodge ilivyo hifadhi ya wanyamapori inayosimamiwa na wananchi (WMA)  ya Randlen monduli Arusha Kwa ajili ya mradi wa kulinda mazingira, kukuza uhifadhi na utalii nchini Tanzania. (Picha na Loveness Bernard) Waziri wa maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu akibadilishana mkataba na balozi wa marekani Mark Childress.

Serikali iya Marekani...

 

5 years ago

Michuzi

WATU WANNE MIKONONI MWA POLISI KWA TUHUMA ZA WIZI WA MABILIONI YA FEDHA YA BENKI YA NBC, POLISI TISA NAO MBARONI

Na Said Mwishehe, Michuzi Globu ya jamii
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu wanne waliokuwa wafanyakazi wa kampuni ya ulinzi ya G4S Security kwa tuhuma za wizi wa Sh.1.280,000,000, Dola za Marekani 402,000 na Euro 27,700 huku pia likiwashikilia askari wa polisi tisa kwa tuhuma za kuchukua sehemu ya fedha hizo kutoka kwa mmoja ya watuhumiwa. 
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam , Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa amewataja...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Benki yatoa vitabu vya mil.1.4/-

BENKI ya Afrika, Tawi la Mtwara imetoa msaada wa vitabu 118 vyenye thamani ya sh. milioni 1.4 kwa Shule ya Sekondari ya Bandari ya mkoani hapa. Akizungumza mara baada ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani