Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BI VAILET WA MTANANA WILAYANI KONGWA AOMBA MSAADA ILI AKAFANYIWE UPASUAJI

Na John Banda,Kongwa.
Bi Vailet Sekwao (40) mkazi wa kijiji cha Mtanana Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma, anaomba msaada wa kifedha kiasi cha shilingi million mbili (2) ili aweze kufanyiwa upasuaji wa jicho lake ambalo lina uvimbe.
Akizungumza na mwandishi wetu katika kijiji cha Mtanana alisema kuwa anaomba msaada huo ili umwezeshe kugharima gharama za kumfikisha katika Hospitali ya Mhimbili na kufanyiwa upasuaji  wa uvimbe ulioko kwenye jicho.
Sekwao alisema kuwa uvimbe huo ambao ulinza kama...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MSAADA MKUBWA UNAHITAJIKA KWA DADA ELIZA ILI AWEZE KUFANYIWA UPASUAJI WA UVIMBE TUMBONI

Eliza Juma (30), mkazi wa Mtaa wa Mbwanga Manispaa ya Dodoma anaomba msaada wa hali na mali kutoka kwa yeyote ataeguswa ili aweze kufanyiwa upasuaji wa uvimbe tumboni ambao umekuwa ukiongezeka kila siku.
Akizunguma na waandishi wa habari mjini hapa Dodoma, alisema kuwa uvimbe huo ambao umekuwa ukiongezeka kila siku umekuwa kikwazo kwake katika kutekeleza majukumu yake ya kujipatia kipato.
Alisema kuwa uvumbe huo unaotokana na yeye kufanyiwa upasuaji wa utumbo aliofanyiwa miaka miwili...

 

5 years ago

Michuzi

DC NDEJEMBI APOKEA VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA WILAYANI KONGWA


Charles James, Michuzi TV

KATIKA kuendeleza mapambano dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa Corona Mkuu wa Wilaya ya Kongwa, Deo Ndejembi amepokea vifaa vya kujikinga na ugonjwa huo kutoka Taasisi ya Glaring Future Foundation (GFF).

Vifaa hivyo ambavyo ni Ndoo za kunawia na sabuni zake vimekabidhiwa kwa DC Ndejembi na Mkurugenzi wa taasisi hiyo, Aisha Msantu.

Akizungumza baada ya kukabidhiwa vifaa hivyo, DC Ndejembi ameipongeza taasisi ya GFF kwa moyo wao wa uzalendo wa kuiunga mkono serikali dhidi...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MAGUFULI APATA WADHAMINI WENGI KATIKA WILAYANI KONGWA, DODOMA


 Mchakato wa Udhamini ukiendelea katika kijiji cha Sagara Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma. Dkt. Magufuli akiagana na Wanachama wa CCM katika Kijiji cha Sagara waliojitokeza kumdhamini katika harakati za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea Urais kupitia Tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mkuu ujao.

Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mkoani Geita Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kulia  akikabidhiwa fomu yenye orodha ya Wadhamini kutoka Kijiji cha Sagara Wilayani Kongwa waliojitokeza...

 

5 years ago

Michuzi

KADIO AKAGU MAENDELEO YA JENGO LA KITUO KIPYA CHA POLISI MBANDE WILAYANI KONGWA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (Wa kwanza kulia), akimsikiliza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto, aliyekuwa akitoa taarifa ya Ujenzi wa Kituo Kipya cha Polisi Mbande Wilayani Kongwa, Jijini Dodoma ambacho Katibu Mkuu Kadio amekagua Maendeleo ya Ujenzi wa Kituo hicho akiwa ameambatana na Naibu Katibu Mkuu, Ramadhani kailima pamoja na baadhi ya Wakuu wa Idara na Vitengo.Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio...

 

10 years ago

Vijimambo

TASAF YAWAPATIA "MSHIKO" WA RUZUKU WATU WALIO NA KIPATO CHA UMASKINI WILAYANI KONGWA

Vikongwe hawa wa kijiji cha Mkoka, wilayani Kongwa mkoa wa Dodoma, wanaotoka kwenye kaya masikini ambao wako kwenye mpango wa kupatiwa ruzuku ya mwezi na TASAF, wakisubiri kupatiwa fedha hizo “mshiko” . Mpango huo wa TASAF awamu ya tatu, umewabainisha malofa ni wale waliokwenye umasikini uliopindukia ambao kipato chao ni chini ya dola moja ya Kimarekani kwa siku.Watu walio kwenye umasikini uliopindukia,  wakiwa kwenye foleni ya kupatiwa ruzuku ya kila mwezi ya shilingi elfu 10, kijiji cha...

 

11 years ago

Michuzi

KAMISHNA MSAIDIZI WA POLISI SUZAN KAGANDA ATOA VITENGE 15 NA TSHS. 100,000/= KWA AJILI YA MRADI WA UFUGAJI WA KUKU WILAYANI KONGWA

Na Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.   Kamishna Msaidizi wa Polisi Suzan Kaganda  ametoa vitenge 15 kwa ajili ya sare ya kikundi cha ngoma cha Kijiji cha Mlanga Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma na kutoa fedha tasilimu Tshs. 100,000/= kwa ajili ya kuanzisha mradi wa ufugaji wa kuku.  Ametoa vitu hivyo alipotembelea kikundi hicho ambacho pia kinajishughulisha na ulinzi shirikishi kijijini hapo na kuwaambia kuwa swala la maendeleo ni swala mtambuko hivyo amewataka kuweza kujishughulisha...

 

10 years ago

Michuzi

WATU WANNE MBARONI AKIWEMO M/KITI WA KIJIJI CHA IHANDA WILAYANI KONGWA DODOMA KWA TUHUMA ZA MAUAJI YAKIHUSISHA IMANI ZA KISHIRIKINA

Na. Sylvester Onesmo/Dorice Kigombe wa Jeshi la Polisi Dodoma.

Watu watatu wameuawa Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma katika matukio mawili tofauti yanayohusisha imani za kishirikina.
Akizungumzia matukio Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema tukio la kwanza limetokea tarehe 01/03/2015 majira ya saa 01:00hrs katika kitongoji cha Golani, kijiji cha Masinyeti, kata ya Iduo, tarafa ya Mlali Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma ambapo mtu mmoja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani