TASAF YAWAPATIA "MSHIKO" WA RUZUKU WATU WALIO NA KIPATO CHA UMASKINI WILAYANI KONGWA
![](http://4.bp.blogspot.com/-25RhW-pcvFs/VSJle_nUhSI/AAAAAAAASBE/pj_k7YrppCc/s72-c/RUZUKU%2B1.jpg)
Vikongwe hawa wa kijiji cha Mkoka, wilayani Kongwa mkoa wa Dodoma, wanaotoka kwenye kaya masikini ambao wako kwenye mpango wa kupatiwa ruzuku ya mwezi na TASAF, wakisubiri kupatiwa fedha hizo “mshiko” . Mpango huo wa TASAF awamu ya tatu, umewabainisha malofa ni wale waliokwenye umasikini uliopindukia ambao kipato chao ni chini ya dola moja ya Kimarekani kwa siku.
Watu walio kwenye umasikini uliopindukia, wakiwa kwenye foleni ya kupatiwa ruzuku ya kila mwezi ya shilingi elfu 10, kijiji cha...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-eBO3zmYTl-A/VPWi_eJ8SoI/AAAAAAAHHT4/LohOaahrfsY/s72-c/POLISI%2BLOGO%2B-%2BCopy.jpg)
WATU WANNE MBARONI AKIWEMO M/KITI WA KIJIJI CHA IHANDA WILAYANI KONGWA DODOMA KWA TUHUMA ZA MAUAJI YAKIHUSISHA IMANI ZA KISHIRIKINA
![](http://4.bp.blogspot.com/-eBO3zmYTl-A/VPWi_eJ8SoI/AAAAAAAHHT4/LohOaahrfsY/s1600/POLISI%2BLOGO%2B-%2BCopy.jpg)
Watu watatu wameuawa Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma katika matukio mawili tofauti yanayohusisha imani za kishirikina.
Akizungumzia matukio Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema tukio la kwanza limetokea tarehe 01/03/2015 majira ya saa 01:00hrs katika kitongoji cha Golani, kijiji cha Masinyeti, kata ya Iduo, tarafa ya Mlali Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma ambapo mtu mmoja...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-9s7LQVci4Tk/XqA5SezPWHI/AAAAAAALn0c/pnd--DHQVUMsNr6Upobu98T637zSyfGIACLcBGAsYHQ/s72-c/Picha%2B3.jpg)
KADIO AKAGU MAENDELEO YA JENGO LA KITUO KIPYA CHA POLISI MBANDE WILAYANI KONGWA
![](https://1.bp.blogspot.com/-9s7LQVci4Tk/XqA5SezPWHI/AAAAAAALn0c/pnd--DHQVUMsNr6Upobu98T637zSyfGIACLcBGAsYHQ/s640/Picha%2B3.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/04/Picha-4-1.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima22 Apr
Miradi Tasaf mkombozi Kongwa
NI ukweli usiopingika kuwa Watanzania wengi ni maskini licha ya kuwa taifa lina rasilimali nyingi. Kuthibitisha ukweli huo ni kwamba kuna familia zinakula mlo mmoja kwa siku tena kwa shaka...
10 years ago
Dewji Blog11 May
TASAF yashindwa kukamilisha ujenzi wa meza za soko la kijiji cha Ndago, wilayani Iramba
Soko la Kijiji cha Ndago,wilayani Iramba lililoshindikana kukamilishwa kwa meza za kufanyia biashara kwa wananchi wa Kijiji hicho kutokana na TASAF awamu ya pili kujitoa kukamilisha ujenzi wa meza hizo kwa kukosa fedha za kufanyikazi hiyo,baada ya kutotengwa kwa fedha za kazi hiyo.(Picha zote na Jumbe Ismailly).
Na Jumbe Ismailly, Iramba
MFUKO wa Maendeleo ya jamii (TASAF) Wilaya ya Iramba,Mkoani Singida umeshindwa kukamilisha ujenzi wa meza za soko la Kijiji cha Ndago kwa zaidi ya...
11 years ago
MichuziTOTAL YAZINDUA AWANGO KUMALIZA TATIZO LA UPATIKANAJI WA UMEME KWA WATU WA KIPATO CHA CHINI TANZANIA
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-WUeP2wEX-UY/VXnEltXDM-I/AAAAAAAC6To/mvkpaAzTD54/s72-c/New%2BPicture.png)
TASAF yazindua Miradi ya kupunguza umaskini Njombe
Hayo yameelezwa mapema leo hii na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, IKULU bwana Peter Ilomo wakati akizindua kikao kazi cha kuanza kwa Viongozi na Watendaji wa Mkoa Njombe juu ya utekelezaji wa miradi hiyo ya kupunguza umaskini kwa ufadhili wa OPEC awamu ya tatu. Bw. Ilomo amesema...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Lt1VO7H_vh0/Xr18u9b6LfI/AAAAAAALqQI/XVZzWq9QHDc5WGUHbiiAYKP1tP0xd-r4ACLcBGAsYHQ/s72-c/1215be02-f0c6-4e64-b659-0a6642cf4873.jpg)
DC NDEJEMBI APOKEA VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA WILAYANI KONGWA
Charles James, Michuzi TV
KATIKA kuendeleza mapambano dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa Corona Mkuu wa Wilaya ya Kongwa, Deo Ndejembi amepokea vifaa vya kujikinga na ugonjwa huo kutoka Taasisi ya Glaring Future Foundation (GFF).
Vifaa hivyo ambavyo ni Ndoo za kunawia na sabuni zake vimekabidhiwa kwa DC Ndejembi na Mkurugenzi wa taasisi hiyo, Aisha Msantu.
Akizungumza baada ya kukabidhiwa vifaa hivyo, DC Ndejembi ameipongeza taasisi ya GFF kwa moyo wao wa uzalendo wa kuiunga mkono serikali dhidi...
11 years ago
Michuzi12 Aug
BI VAILET WA MTANANA WILAYANI KONGWA AOMBA MSAADA ILI AKAFANYIWE UPASUAJI
![](https://ci5.googleusercontent.com/proxy/P_we7srqQqqEb7XM-JLRblK9d3R1_upPoxZUTRZB8K08IjW3jBiWDr_2OxU8p-iMgmswlV9N3ui0QvKh1YYG4LGKbY2YBVAMzVgZkhWLQu1Go7jwixJgpqBNGA4po7ZhTOW_ImLuT9lsWQOtR3CLhFKAC764L2iAWdeXVr-zaTm5iv_t1MCDQgWlg1aeSyLtAkvDj5Lw6D42oP01oHGmXyGw8QQqB7bz59MjEGtFDPzSXJ7L9sE72T0i5DELEsXaNfu1vwDsYvMZVBw6vKWhtYUjt0vPmnokedV3wWogsviMyg5OWjgnbA7lYXYzSLsXeExUZcOH0-_3WvwFGjSz=s0-d-e1-ft#https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F1.bp.blogspot.com%2F-7Yb6-zxpu4c%2FU-okpkBOdbI%2FAAAAAAAAyW4%2FMWfOkf2W3Qs%2Fs1600%2Funnamed.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
Bi Vailet Sekwao (40) mkazi wa kijiji cha Mtanana Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma, anaomba msaada wa kifedha kiasi cha shilingi million mbili (2) ili aweze kufanyiwa upasuaji wa jicho lake ambalo lina uvimbe.
Akizungumza na mwandishi wetu katika kijiji cha Mtanana alisema kuwa anaomba msaada huo ili umwezeshe kugharima gharama za kumfikisha katika Hospitali ya Mhimbili na kufanyiwa upasuaji wa uvimbe ulioko kwenye jicho.
Sekwao alisema kuwa uvimbe huo ambao ulinza kama...
10 years ago
MichuziWAZIRI MAGUFULI APATA WADHAMINI WENGI KATIKA WILAYANI KONGWA, DODOMA