Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Bidhaa zenye viwango zinaongeza ajira’

IMEELEZWA kuwa faida ya kuzalisha bidhaa zenye viwango vya ubora unaokubalika kwenye masoko ya kimataifa unachangia kutengeneza ajira endelevu kwa watanzania. Akizungumza na Tanzania Daima jijiji Dar es Salaam, Msemaji...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Wafanyabiashara wadogo Afrika Mashariki watakiwa kuongeza uzalishaji zenye bidhaa zenye ubora

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amewataka wafanyabiashara wadogo wadogo wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuzalisha bidhaa zenye ubora ili kukidhi soko la kimataifa la bidhaa hizo.

Rais Magufuli amesema endapo bidhaa zenye ubora zitazalishwa ndani ya Nchi hizo ,malalamiko ya mara kwa mara ya wafanyabiashara hao kuhusu masoko yatafikia ukomo kutokana na kuwa na wateja wengi  kutoka nchi mbalimbali Duniani.

Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Said Meck...

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Nunueni bidhaa zenye ubora’

WATANZANIA wameshauriwa kununua bidhaa zenye ubora za Panasonic na kuachana na zingine zilizopo katika soko ambazo hazina ubora. Kauli hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam jana na Mkurugenzi  wa Masoko wa...

 

11 years ago

Habarileo

‘Zalisheni bidhaa zenye ubora unaotambuliwa TBS’

WAJASIRIAMALI wameaswa kuzalisha bidhaa zenye ubora badala ya kutengeneza na kuziuza kwa wananchi wakati bado hazijapimwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS). Aidha wajasiriamali 258 wamefikiwa na TBS na kupimiwa ubora wa bidhaa zao nchi nzima.

 

11 years ago

Michuzi

WATANZANIA WAMESHAURIWA KUTUMIA BIDHAA ZENYE UBORA

Ofisa masoko mkuu wa kampuni ya kimataifa inayo shughulika na maswala ya ubora(SGS) Bwana Hemed Hamza akipatiwa maelezo na Ofisa masoko kanda ya Afrika kutoka Kampuni ya Hawle Bwana Alois Ramaseder kuhusu vifaa vya mabomba ya maji safi na maji taka vinavyo tengenezwa na Kampuni ya Hawle ya Nchini Austria na anye shuhudia pamevaa suti nyeusi ni Mkurugenzi Mkuu wa Prima Business Consulting KG ya nchini Austria Bwana Dietmar Steininger maonyesho hayo ya vifaa vya maji safi na maji taka...

 

9 years ago

Mwananchi

TBS yataka uzalishaji wa bidhaa zinazokidhi viwango

Tanzania imetakiwa kuzalisha bidhaa zenye viwango katika zama hizi za utandawazi ili kukidhi mahitaji ya viwango vya kimataifa na kujihakikishia soko la bidhaa zinazozalishwa ndani ya nchi.

 

11 years ago

Habarileo

Wachina waahidi kulinda viwango vya bidhaa

CHAMA cha Wafanyabiashara wa Kariakoo kutoka China (KCCC) kimetoa ahadi ya kulinda viwango vya ubora wa bidhaa, zinazosambazwa na wanachama wake.

 

10 years ago

Michuzi

TFDA YATEKETEZA BIDHAA FEKI ZENYE THAMANI YA SH MIL.5, SIKONGE MKOANI TABORA

Baadhi ya bidhaa zilizoteketezwa na Maofisa wakaguzi wa TFDA wilayani Sikonge.Maofisa wakaguzi wa TFDA kanda ya kati wakijiandaa kuteketeza bidhaa zilizoisha mda wake ikiwemo vinywaji wilayani Sikonge (picha na Allan Ntana).
Na Allan Ntana, Sikonge
MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA) Kanda ya Kati imefanikiwa kukamata na kuteketeza bidhaa mbalimbali za chakula, vinywaji, dawa za binadamu na mifugo, vipodozi na vifaa tiba vilivyoisha muda wake na vingine feki vyenye thamani ya zaidi ya sh mil.5...

 

5 years ago

Michuzi

Kitengo cha uhandisi Mitambo kuhakikisha viwango vya bidhaa zinazalishwa ndani na nje ya nchi

*TBS iko kwa ajili ya kuweka Viwango vya Kitaifa.
*Miradi ya Ujenzi mbalimbali wa Serikali unatumia bidhaa za Viwanda vya ndani kutokana Viwango kufikiwa

Na Ripota wetu-Michuzi TV.

Kitengo Cha Uhandisi wa Mitambo wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kimesema kuwa Nondo, Bati na Misumari na bidhaa zingine za kiuhandisi zimekuwa na viwango na kukubalika katika Kanda mbalimbali

Akizungumza na michuzi Tv Afisa Viwango Mwandamizi Kitengo Cha Uhandisi Mitambo wa TBS Joseph Mwaipaja amesema kuwa tangu...

 

10 years ago

Michuzi

Programu ya kukuza ajira zenye staha kwa vijana kuzinduliwa jijini Dar es Salaam juni 5, 2015

 Mratibu wa Programu ya kukuza Ajira zenye Staha Dar es Salaam, kupitia Elimu ya Biashara na Maendeleo ya Ujasiriamali Bw. Dominic Ndunguru akiwasilisha mada kuhusu utekelezaji wa program hiyo jana jijini Dar es Salaam. Programu hii inaendeshwa kwa ubia wa asasi za kiraia za Tanzania Youth Vission Associataion (TYVA), Open Mind Tanzania (OMT)  na Youth For Africa (YOA).  Mshauri wa maswala ya Sera na Miradi ya Maendeleo wa Tanzania Youth Vision Association Bw. Elly Ahimidiwe Imbyandumi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani